Elections 2010 Mchakato wa chaguzi ndogo za bunge leo umeendaje?

kiche

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
456
195
Wakuu naomba waliopo kwenye maeneo kulikofanyika chaguzi ndogo zilizoahirishwa oct 31 mfano mpanda mjini watupe hali ilivyoenda,naamini vituo vimeshafungwa.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom