Tetesi: Mchakato UVCCM; Mgombea Uenyekiti Mwesiga, Kangoye wakamatwa na TAKUKURU Mbeya, TAKUKURU wamgomea January Makamba

Baba la ufisadi na mwalimu mkuu wa ufisadi yuko Chadema
014553bd61a29521ac01a1daab9d294b.jpg
 
kamwe CCM hawawezi kuacha Rushwa kwa sababu hiyo ndiyo huwasaidia siku zote kuwa jukwaani kwenye maonyesho
 
Mtoa taarifa umetoa taarifa yako kishamba na wew huna mamlaka ya kuzungumzia taarifa iliyopo ktk taasisi Fulani bila kibali nyie ndio mkikamatwa ili mtoe ushahid mnaanza kuhaha kutafuta Huduma ya wadau kifupi taarifa yako ni umbea kama umbea mwingine na tutakupuuza
Mtampuuza Lumumba!
 
January Makamba anaingiaje humo? Au anataka kupandikiza ''watu wake'' ili waanze michakato yao ya kumpromote kama mtu anayekubalika sana ndani ya Chama kwa malengo ya uRais?
 
Sasa bora yupi, yule anaetuhumiwa kudanganya umri au huyu anaegawa rushwa?
Tafakari
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom