Tetesi: Mchakato UVCCM; Mgombea Uenyekiti Mwesiga, Kangoye wakamatwa na TAKUKURU Mbeya, TAKUKURU wamgomea January Makamba

Naomba muache kukiponda na kukisingizia rushwa chama cha maharamia sisi rushwa kwetu hamna ndo maana hata mnyeti tulimpandisha cheo tena cha kuteuliwa na mkulu mwenyewe kwa sababu ya kukataa rushwa hadharani, acheni tutimize ilani yetu kwa wananchi wanaotuamini
 
Halafu kuna ma-Dr mapumbavu yanakuja na utafiti wa kisenge eti Rushwa imepungua nchini katika awamu hii ya uongozi? Mamamaye,, REPOA wamefulia! Rushwa inapunguaje wakati kubwa la viongozi linatoa mabilioni ya walipa kodi kwa mambo ya kijinga? Mamamaye ma-Dr wa REPOA!
kawaangalie ma dr wote huko REPOA na vyuo wanakofundisha au walikotoka utagundua ni wale wasakatonge wanaosubiria kuteuliwa
 
ila mimi binafsi sioni contribution ya Kubenea kwenye kukua ama kukomaa kwa Chadema.Yaani ni li mzigo flani hivi amazing.
 
Hata mkuu wao huwa anakata fungu kwa wapinzani tusishange hivi vifaranga



Swissme
Nchi ya viwanda na umeme mgao. Hatari sana.
Utakuta watu huko kijijini hawajui umeme utawakuta wapo busy. Tunataka viwanda, huwa natamani niwapige hata makofi.
Rushwa kwa ccm ni kawaida kbsa.
 
Hahahahaaaa,,,,,kipaumbele chake ni kuua CDM
Na wananchi wenye akili nusu nusu wanapumbazwa sana. Viongozi wa Chadema wanabambikiziwa kesi zingine hata hazipo ili mradi waonekane wabaya kwa wananchi.
Nilisikitika sana kesi aliyebambikiziwa Lijuakali na wenzake. Ina uma sana
Namfahamu sana bwana yule na roho yake mbaya, lkn ukweli na haki utatawala milele ni suala la muda tu.
Alitaka kumpoteza Lissu, utafikiri yy ataishi milele
 
Si mwajifanya sasa tumepata mwarobaini wa matatizo ya wananchi?Sasa kama nawe umeona hataweza kupambana na rushwa kama hao watangulizi wake,basi amini ccm wote ni wasanii hivyo watakiwa kung'olewa madarakani mara moja na kwa gharama yoyote.
Inawezekana wakawa wasanii lkn waondolewe single nani? Lowassa ambaye ana kashfa hizo hizo? ccm wameonyesha kushindwa kwenye maeneo mengi tatizo hakuna mbadala wake aliye imara.
 
Mabwabwa wa lumumba huwezi kuwaona hapa kwenye uzi,wanachungulia kwa mbali hku wakisubiria rushwa za wagombea wao ufisadi lumumba ni jadi yao
c3f9ab13517b3458a79e5910956fc344.jpg
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom