Getang'wan
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 3,075
- 3,413
Kwa maana ndiye amekamatwa mbeya na takokuruBaba la ufisadi na mwalimu mkuu wa ufisadi yuko Chadema
Kwa maana ndiye amekamatwa mbeya na takokuruBaba la ufisadi na mwalimu mkuu wa ufisadi yuko Chadema
Na ile mahakama ya mafisadi mbona haijatumika kumshughulikia?!Walk the talk!!! Huu wimbo umepoteza radha.Baba la ufisadi na mwalimu mkuu wa ufisadi yuko Chadema
Naisubiri kesi yake kwa hamu. A person is not guilty till proven otherwise in a court of law. Kesi yake imeishia wapi?! Ewe mtanzania amka.CCM haitakagi wala rushwa...hata fisadi kuu tulikata likahamia huko chadema
Alifanya huku CCM na alikuwa na wenzake wengi tu amewaacha huku.Alitoka cha gani kabla ya kuwa CDM???Kafanya ufisadi gani toka afike CDM???Wewe ni zero brain
Atasema UKAWA alivyo mpuuziWanaongoza ni akina nani?
Hahahaaa,,,,hapo lazima akae kimyaKwa maana ndiye amekamatwa mbeya na takokuru
Analaana ya CCM.Atasema UKAWA alivyo mpuuzi
Ukiwa CCM sifa ni kujitoa akiliNa ile mahakama ya mafisadi mbona haijatumika kumshughulikia?!Walk the talk!!! Huu wimbo umepoteza radha.
kawaangalie ma dr wote huko REPOA na vyuo wanakofundisha au walikotoka utagundua ni wale wasakatonge wanaosubiria kuteuliwaHalafu kuna ma-Dr mapumbavu yanakuja na utafiti wa kisenge eti Rushwa imepungua nchini katika awamu hii ya uongozi? Mamamaye,, REPOA wamefulia! Rushwa inapunguaje wakati kubwa la viongozi linatoa mabilioni ya walipa kodi kwa mambo ya kijinga? Mamamaye ma-Dr wa REPOA!
Nchi ya viwanda na umeme mgao. Hatari sana.Hata mkuu wao huwa anakata fungu kwa wapinzani tusishange hivi vifaranga
Swissme
Na wananchi wenye akili nusu nusu wanapumbazwa sana. Viongozi wa Chadema wanabambikiziwa kesi zingine hata hazipo ili mradi waonekane wabaya kwa wananchi.Hahahahaaaa,,,,,kipaumbele chake ni kuua CDM
Inawezekana wakawa wasanii lkn waondolewe single nani? Lowassa ambaye ana kashfa hizo hizo? ccm wameonyesha kushindwa kwenye maeneo mengi tatizo hakuna mbadala wake aliye imara.Si mwajifanya sasa tumepata mwarobaini wa matatizo ya wananchi?Sasa kama nawe umeona hataweza kupambana na rushwa kama hao watangulizi wake,basi amini ccm wote ni wasanii hivyo watakiwa kung'olewa madarakani mara moja na kwa gharama yoyote.