[Mchakato Majimboni]TBC Mnaogopa kilicho mpata Tido kututendea haki Arumeru

kinganola

Senior Member
Aug 16, 2011
117
30
Hawa jamaa wanaogopa kweli kulipoti Habari za kampeni hususani swaga za CDM kwa kuhofia kupigwa chini na JK kama alivyo mfanya Tido Mhando.Tunamkumbuka sana huyu mzee kwa kuwa mpenda haki na mtenda haki.Mlio baki hapo vaeni tu kanga na mashati ya kijani tujue moja.Too much Ubaguzi hamuoni hata aibu,Folish kabisa.
 

Attachments

  • tbc.jpg
    tbc.jpg
    7.5 KB · Views: 113
Back
Top Bottom