Mchakamchaka wa jeshi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mchakamchaka wa jeshi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mzalendo Mkuu, Jun 18, 2011.

 1. Mzalendo Mkuu

  Mzalendo Mkuu JF-Expert Member

  #1
  Jun 18, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 738
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Jana saa 1.40 asubuhi maeneo ya akiba nilikutana na kundi la askari likikimbia MCHAKAMCHAKA.

  Walinikumbusha mengi na mbali sana. Huu mchakamchaka tumekimbia shule ya msingi, tumekimbia sekondari na tumekimbia Jeshini pia. Waliopita Kwiro, Mzumbe na Makutupora wataunga mkono hili.

  Kwa bahati mbaya haya mambo hayapo tena kutokana na madiriko ya mazingira ya kazi na utendaji. Turudishieni mambo haya vijana wetu wajifunze ukakamavu, ujasiri na UZALENDO.
   
Loading...