Mchakamchaka wa CUF hadi 2015 tishio kwa afya ya CDM

Great Thinker jaribu kufafanua vurugu zinazofanywa na CDM ni zipi?

Kaka ugrit thinka sio nywele hata vichaa wawenazo ni kwamba jf team awajaweka brain chalenje ya kuwa memba tungejikuta hata mia hatufiki humu ndani wengne ni mizigo ya haja kubwa ukiona michango yao we wapotezee tu watakuumiza kichwa
 
Nimeyakumbuka maneno ya Nyerere kuwa anashangaa vyama vya upinzani haviwezi hata kuunganisha itikadi. CUF badala ya kuona CCM ndio tatizo wanaona Chadema ndio wa kupigana nao. CUF mnatumika tu na CCM mwisho mtajuta
 
SSM B inafanya kazi. Amegharamiwa kufanya hivyo na hizo kadi zilizorudishwa ni za kuchongwa!!! Mwana CDM hawez kurudisha kadi la mamluki wanaweza. Haiwezi CDM!!

Hata hivyo walikuwa wakikosea wakati wakisema uovu wa CCM ila katika kusema "gamba" na "gwanda" midomo ilikuwa ikitetemeka na hivyo kuwa wakirudia kuweka neno "Gwanda" as if walikuwa wakitamani sana ku-link matatizo ya CCM na chadema deliberately.

By the way fogery ni ugonjwa wa CCM, CUF wameonyesha wenyewe jana kuwa wanaweza waletea watanzania fake hata ktk vitu visivyo fake.
 
Doh cuf ipi ya kuwatishia cdm. Hiyo ni nguvu ya soda tu . Itaisha na mtakaa kimya, cdm m4& inazidi kusonga mbele. Nyie mnatumiwa tu na mme wenu ccm ili kugawa kura za cdm. Ila hamtafanikiwa kwa jina la mungu. Tulianza na mungu tutamaliza na mungu. Cdm daima
 
Hali imezidi kuwa taabani kwa CDM baada ya CUF kuzindua kauli mbiu ya Mchakamchaka hadi 2015. CDM poleni sana kwani katika kipindi kifupi mtaondokewa na wanachama pamoja na wafuasi wengi. Mara ya CUF kuzindua rasmi harakati zao za kuelekea 2015, makundi ya vijana waume kwa wake, walionekana wakirudisha kadi za CDM kwa vile wamechoshwa na vurugu zinazofanywa na CDM siku hadi siku na hivyo kuharatarisha ustawi wa nchi yetu.

CHADEMA hatutishiki na vyama vya majuha na mazuzu kama CUF.
 
Anamelemeta............anamelemeta...cuf anamelemeta...anamelemeta,mlisema cuf aolewi na ccm mbona kaolewa? Wee bibie CUF mumeo CCM anendelea na VUA UHAI VAA UMAUTI na wewe unakuja na mchakamchaka!!!!!!!!!!!!vp tutafika?
 
kwa hali ya kisiasa ilivyo kwa sasa nakuambia sasa CUF tutashuhudia ikirejea mahala pake, naamini tutaishangaa kwa jinsi ninavyoona walivyojipanga. Siasa za visasi zitaighalim cdm, kwani future ya taifa inakuwa hatarini kwahiyo wananchi waliowengi hawapendi cdm iwafikishe inakoelekea. Cdm inaonekana kuwa tishio kwa ccm kwa kuwa muda mwingi wanazungumza madhaifu ya ccm na sio sera zao, kitu ambacho kinajenga chuki kubwa baina yao na cdm. Mpaka sasa hali ya kewa inaonesha kwenye kampeni zijazo hivyo vyama viwili vitakuwa ni tishio kwa nchi. sasa wananchi wapenda taifa lao wameanza kuchoshwa na siasa hizo. kama kwenye kuhuisha chama tu mko mnauwana je kwenye kampeni zenyewe itakuwaje
Nyie watu wa UAMSHO WATU dhaifu sana ndo mana mnaolewa na magamba kila wakati,CDM iko pale pale ita wa-shughulikia mafisadi wote na kurudisha pesa zote zilizoibwa kama ninyi mnaona hilo ni kulipa* kisasi kivyenu na bwn wenu CHAMA CHA MABWEPANDE
 
halafu shekh wambie wenzio huku kiwalani kuna lori za watu 2 zilivunja spring kwa kuzidisha watu kutoka uwanjani tunadaiwa na wenyewe wanatishia kuhamia CDM eti huko hamna usombaji wa watu kwa malori tufikishie taarifa
 
Hali imezidi kuwa taabani kwa CDM baada ya CUF kuzindua kauli mbiu ya Mchakamchaka hadi 2015. CDM poleni sana kwani katika kipindi kifupi mtaondokewa na wanachama pamoja na wafuasi wengi. Mara ya CUF kuzindua rasmi harakati zao za kuelekea 2015, makundi ya vijana waume kwa wake, walionekana wakirudisha kadi za CDM kwa vile wamechoshwa na vurugu zinazofanywa na CDM siku hadi siku na hivyo kuharatarisha ustawi wa nchi yetu.
Walisema hivyo hivyo kule Igunga, oooh tuna mtaji wa kura Elfu Kumi, moyoni wakajifariji Profesa anatokea mkoa huu huu, Chadema wakaweka Helkopta nao wakaweka,

wakaungana na CCM ikasadikika ile helkopta walipewa na CCM, Igunga Helkopta zikawa zinapishana angani..... end of the day waliambulia kura elfu 2000! kuiga kubaya na siku zote panga mikakati yako bila kucheza ngoma ya wengine utapotea sasa wameona M4C ina mashiko wao wanaleta V4C! haya tuone

Nyote mnatetemeka CCM na shoga yake Chadema ,mnaelewa fika kuwa CUF ni wanaume wasiotaka mchezo mchezo,watawala wanalijua hilo ,waswahili wanasema kujikwaa si kuanguka ,umefika ule wakati ambao waTz wamekielewa walichofanyiwa CUF ,kuporwa ushindi wa wabunge na kupewa CDM, najua mtakataa ila ukweli ndio huo ,uamuzi ni kuwa CUF ina wabunge wengi kutoka Zanzibar hivyo liwalo naliwe wasipewe ubunge huku T/bara ,ndicho hivyo.

Harafu inajulikana wazi kuwa wenye ubavu wa kupambana na mtawala kwa hapa Tanzania ni CUF na historia inaonyesha hivyo ,wenye maamuzi yasio rudi nyuma wala kuyumba ni CUF na akuna Chama kingine chenye msimamo tarehe zinaonyesha hivyo. CUF imekuwa kimya ili hawa wanaojiadai kuunga ushoga na CCM wapumuliwe na ccm ,na dalili za kukatwa kidomo zimeshaonekana na sasa wamedumaa hawajui la kufanya ,wapowapo tu,subirini wanaume wa kazi washike kasi ,mtajua kama embe ntunda.
 
Hahahahaaaaaaaa!!! Aseeeee!!
Karibu ndizi mzuzu yakhe. . . . . Naona njaa imekubana
ImageUploadedByJamiiForums1347365972.914767.jpg
 
Nimeyakumbuka maneno ya Nyerere kuwa anashangaa vyama vya upinzani haviwezi hata kuunganisha itikadi. CUF badala ya kuona CCM ndio tatizo wanaona Chadema ndio wa kupigana nao. CUF mnatumika tu na CCM mwisho mtajuta

Hebu tofautisha kati ya CUF a CCM, ukiweza nakupa treat ya 2days bed and breakfast Serena hotel.
 
halafu CUF mna kauli mufilisi, utasikia MAPANGA SHAA, LEO, MCHAKAMCHAKA, utadhani wanafunzi wa primary za vijiji! Kitu M4C vitu vya akili! CUF umefulia kweli, wala si tishio sio kwa TLP wala PPT-Maendeleo!

mmesahau nyie na operesheni sangara alafu mpaka leo viongozi wenu wa cdm hawajawaambia maana yake nini
 
Nyote mnatetemeka CCM na shoga yake Chadema ,mnaelewa fika kuwa CUF ni wanaume wasiotaka mchezo mchezo,watawala wanalijua hilo ,waswahili wanasema kujikwaa si kuanguka ,umefika ule wakati ambao waTz wamekielewa walichofanyiwa CUF ,kuporwa ushindi wa wabunge na kupewa CDM, najua mtakataa ila ukweli ndio huo ,uamuzi ni kuwa CUF ina wabunge wengi kutoka Zanzibar hivyo liwalo naliwe wasipewe ubunge huku T/bara ,ndicho hivyo.

Harafu inajulikana wazi kuwa wenye ubavu wa kupambana na mtawala kwa hapa Tanzania ni CUF na historia inaonyesha hivyo ,wenye maamuzi yasio rudi nyuma wala kuyumba ni CUF na akuna Chama kingine chenye msimamo tarehe zinaonyesha hivyo. CUF imekuwa kimya ili hawa wanaojiadai kuunga ushoga na CCM wapumuliwe na ccm ,na dalili za kukatwa kidomo zimeshaonekana na sasa wamedumaa hawajui la kufanya ,wapowapo tu,subirini wanaume wa kazi washike kasi ,mtajua kama embe ntunda.

kitu umeandika kinaonyesha hali halisi ya mazingira unayoishi! umejaa chuki,wivu na hasira ya mafanikio ya wengine.
 
Wacheni nchecheto CUF yaja ! Hakuna CCM wala shoga yake Chadema wote wanatakiwa wakae chonjo kwani saa mbaya ! mambo yenu ya kukaa bungeni mkipashana na kusutana ,wengine mkinuna wengine wakiwatoa nje ,ni vichekesho vitupu ntu na shogae !
 
Back
Top Bottom