Mchakamchaka wa CUF hadi 2015 tishio kwa afya ya CDM

Sijui prof nini kimemvutia huko..?Tishio lipi sasa?mwanachama, mbunge diwani au nani atapotea?Nilidhani CUF ile tabia ya Bundi kuimba wimbo wa Kasuku imeisha nikadhani hata wamejaribu kuwa ngukuru kumbe bado ni mabundi
Hawa ni magamba wanataka wapinzani wagombane ili wapate unafuu, mmeliwa tuliisha wagundua kabla hamjaanza. Kwanza CUF wenyewe wanalenga mikoa sita tu, CDM inalenga nchi nzima. Kwani hapo tatizo liko wapi? JIFARIJINI MAGAMBA LAKINI KUMBUKA MWISHO WENU UNAKARIBIA
 
aaaaa wapi mbona cuf mambo yalimshinda siku nyingi akaamuwa kuolewa si umeeona kuna mawaziri znz ....jana wamepewa coverage na tbccm&partner .......helcopter igunga .
Igunga cuf walipata kura 11000 2010 lakini 2011 kura 2000 cdm kura 0 to 23000 wapi na wapi we jifurahishe tu
 
kwa hali ya kisiasa ilivyo kwa sasa nakuambia sasa CUF tutashuhudia ikirejea mahala pake, naamini tutaishangaa kwa jinsi ninavyoona walivyojipanga. Siasa za visasi zitaighalim cdm, kwani future ya taifa inakuwa hatarini kwahiyo wananchi waliowengi hawapendi cdm iwafikishe inakoelekea. Cdm inaonekana kuwa tishio kwa ccm kwa kuwa muda mwingi wanazungumza madhaifu ya ccm na sio sera zao, kitu ambacho kinajenga chuki kubwa baina yao na cdm. Mpaka sasa hali ya kewa inaonesha kwenye kampeni zijazo hivyo vyama viwili vitakuwa ni tishio kwa nchi. sasa wananchi wapenda taifa lao wameanza kuchoshwa na siasa hizo. kama kwenye kuhuisha chama tu mko mnauwana je kwenye kampeni zenyewe itakuwaje
Ndiyo mbinu mliyopewa na 'mume' wenu wa ndoa CCM? Endeleeni tu lakini tunawahakiikishia kwamba tunazijua mbinu zenu zote maana Mzee wenu mwenye sura ya ngedere (Wahasira) alishaupasha umma eti CDM itakufa karibuni! CDM haipo hapo ilipofika kutokana na bahati au ridhaa ya CCM bali kwa kazi makini ya makamanda wake. Kama mnabisha ingieni uwanjani kule Rukwa na Igunga mkachumbiwe. CUF ni iCCM B na imeshalewa sumu katika tende na haluwa za fisadi CCM alizowahonga kule
Zanzibar! Sasa wanaweweseka mithil ya wagonjwa wa maruhani.
 
Kama ccm wameogopa hii m4c cuf wao watapata wapi huo ujasiri. Hiv kule MERU walikua wapi wasioneshe misuli yao hatimae wakaambulia patupu.
 
CUF wana idadi ya wanachama Temeke na Ilala.wasijifurahishe kwa viwatu walivyosaidiwa na mumeo ccm kwa malori jana.MZIKI WA CHADEMA mtausikia kilomita 2015.
 
Hali imezidi kuwa taabani kwa CDM baada ya CUF kuzindua kauli mbiu ya Mchakamchaka hadi 2015. CDM poleni sana kwani katika kipindi kifupi mtaondokewa na wanachama pamoja na wafuasi wengi. Mara ya CUF kuzindua rasmi harakati zao za kuelekea 2015, makundi ya vijana waume kwa wake, walionekana wakirudisha kadi za CDM kwa vile wamechoshwa na vurugu zinazofanywa na CDM siku hadi siku na hivyo kuharatarisha ustawi wa nchi yetu.
Vp? Kwani wewe ushawapa kadi yako ya CHADEMA? Kama bado unasubiri nini. Jiunge na mchakamchaka wenzio tupo katka M4C, mpaka kieleweke!!
 
.. sijaelewa.Kujaza watu wengi kwenye mikutano hapo ndio kuchukua nchi? mbona hakuna hata mbunge mmoja wa CUF Dsm
.. Sasa CUF wanapambana na CDM kwani ndio wenye dola?
 
Tatizo kuu la CUF ni kuwa hakina viongozi wenye uwezo na elimu ya kutosha! Mwenye elimu ni Lipumba peke yake!!
Nyota ya chama huonekana bungeni, namna chama kinavyopangilia na kujenga hoja zake Bungeni, hoja zenye maslahi kwa wananchi!
CUF pa1 na kuwa na wabunge zaidi ya 30 ila m1 peke yake(Magnalena Sakaya) kidogo ndio anahoja, ambapo anafunikwa na kijana kama J. Nassari, kwa stail hii wazindue operation hata 100 hamna kitu!!!!
 
CUF sio tishio lolote kwa CHADEMA.
Hao walio jaa kwenye mkutano wengi ni CCM A kumpa sapoti mke wao(CCM B)
 
Tatizo kuu la CUF ni kuwa hakina viongozi wenye uwezo na elimu ya kutosha! Mwenye elimu ni Lipumba peke yake!!
Nyota ya chama huonekana bungeni, namna chama kinavyopangilia na kujenga hoja zake Bungeni, hoja zenye maslahi kwa wananchi!
CUF pa1 na kuwa na wabunge zaidi ya 30 ila m1 peke yake(Magnalena Sakaya) kidogo ndio anahoja, ambapo anafunikwa na kijana kama J. Nassari, kwa stail hii wazindue operation hata 100 hamna kitu!!!!

Eliah G Kamwela says thanks for this very useful post.
 
Hali imezidi kuwa taabani kwa CDM baada ya CUF kuzindua kauli mbiu ya Mchakamchaka hadi 2015. CDM poleni sana kwani katika kipindi kifupi mtaondokewa na wanachama pamoja na wafuasi wengi. Mara ya CUF kuzindua rasmi harakati zao za kuelekea 2015, makundi ya vijana waume kwa wake, walionekana wakirudisha kadi za CDM kwa vile wamechoshwa na vurugu zinazofanywa na CDM siku hadi siku na hivyo kuharatarisha ustawi wa nchi yetu.
Great Thinker jaribu kufafanua vurugu zinazofanywa na CDM ni zipi?
 
SSM B inafanya kazi. Amegharamiwa kufanya hivyo na hizo kadi zilizorudishwa ni za kuchongwa!!! Mwana CDM hawez kurudisha kadi la mamluki wanaweza. Haiwezi CDM!!
 
hali imezidi kuwa taabani kwa cdm baada ya cuf kuzindua kauli mbiu ya mchakamchaka hadi 2015. Cdm poleni sana kwani katika kipindi kifupi mtaondokewa na wanachama pamoja na wafuasi wengi. Mara ya cuf kuzindua rasmi harakati zao za kuelekea 2015, makundi ya vijana waume kwa wake, walionekana wakirudisha kadi za cdm kwa vile wamechoshwa na vurugu zinazofanywa na cdm siku hadi siku na hivyo kuharatarisha ustawi wa nchi yetu.

naona magamba na magamba watoto wanaimbo wimbo wa m4c
 
Hali imezidi kuwa taabani kwa CDM baada ya CUF kuzindua kauli mbiu ya Mchakamchaka hadi 2015. CDM poleni sana kwani katika kipindi kifupi mtaondokewa na wanachama pamoja na wafuasi wengi. Mara ya CUF kuzindua rasmi harakati zao za kuelekea 2015, makundi ya vijana waume kwa wake, walionekana wakirudisha kadi za CDM kwa vile wamechoshwa na vurugu zinazofanywa na CDM siku hadi siku na hivyo kuharatarisha ustawi wa nchi yetu.

Kweli cdm ndio inatawala....vipi ccm hali yao sio taabani? Mnakumbuka shuka asubuhi....
 
Hali imezidi kuwa taabani kwa CDM baada ya CUF kuzindua kauli mbiu ya Mchakamchaka hadi 2015. CDM poleni sana kwani katika kipindi kifupi mtaondokewa na wanachama pamoja na wafuasi wengi. Mara ya CUF kuzindua rasmi harakati zao za kuelekea 2015, makundi ya vijana waume kwa wake, walionekana wakirudisha kadi za CDM kwa vile wamechoshwa na vurugu zinazofanywa na CDM siku hadi siku na hivyo kuharatarisha ustawi wa nchi yetu.

Kwa taarifa yako,ccm ndiyo itakayo athirika na si CDM.ACHA USHABIKI.CDM INAWANACHAMA 80%wajanja,15%wapole kama njiwa na 05% makunguru.chukueni kunguru wa zenji.
 
kumbe mnawawinda chadema tu! mbona mtadhalilika vibaya ? ambapo bwana (ccm) na mkewe(cuf) wote mtaungwa ndoano

Hebu mkumbushe Igunga 2010. Mgombea wao alijigamba eti ana mtaji wa kura elfu 10. Lakini mwisho wa siku ilikuwaje? Hakuna cha mchakamchaka wala nini
 
Great Thinker jaribu kufafanua vurugu zinazofanywa na CDM ni zipi?

Kaka ugrit thinka sio nywele hata vichaa wawenazo ni kwamba jf team awajaweka brain chalenje ya kuwa memba tungejikuta hata mia hatufiki humu ndani wengne ni mizigo ya haja kubwa ukiona michango yao we wapotezee tu watakuumiza kichwa
 
Back
Top Bottom