Mchakamchaka wa CUF hadi 2015 tishio kwa afya ya CDM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mchakamchaka wa CUF hadi 2015 tishio kwa afya ya CDM

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MAFILILI, Sep 10, 2012.

 1. MAFILILI

  MAFILILI JF-Expert Member

  #1
  Sep 10, 2012
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 1,916
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Hali imezidi kuwa taabani kwa CDM baada ya CUF kuzindua kauli mbiu ya Mchakamchaka hadi 2015. CDM poleni sana kwani katika kipindi kifupi mtaondokewa na wanachama pamoja na wafuasi wengi. Mara ya CUF kuzindua rasmi harakati zao za kuelekea 2015, makundi ya vijana waume kwa wake, walionekana wakirudisha kadi za CDM kwa vile wamechoshwa na vurugu zinazofanywa na CDM siku hadi siku na hivyo kuharatarisha ustawi wa nchi yetu.
   
 2. USTAADHI

  USTAADHI JF-Expert Member

  #2
  Sep 10, 2012
  Joined: May 10, 2011
  Messages: 1,518
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  kumbe mnawawinda chadema tu! mbona mtadhalilika vibaya ? ambapo bwana (ccm) na mkewe(cuf) wote mtaungwa ndoano
   
 3. kande kavu

  kande kavu JF-Expert Member

  #3
  Sep 10, 2012
  Joined: Sep 17, 2011
  Messages: 235
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kazi kweli kweli.

  Yaani wewe unaona umeleta habari kubwaaaaaa hapa jamvini? Ni kwamba, watu wa intelijensia tunafahamu jinsi bibi na bwana mlivyopanga chumbani.

  Tunafahamu jinsi mtapaji (CCM) alivyokuchomekea kwa kukuingizia watu wake kwenye mkutano wako.

  Mkuu hiyo ni hatari kwani unaweza kuathirika kimawazo ifikapo 2015.Kifupi bila CCM kuchomeka, usingeweza hata kujaza kidongo chekundu.

  Regards,

  CDM.
   
 4. m

  mjuaji Senior Member

  #4
  Sep 10, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 166
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  T2015cdm
   
 5. zethumb

  zethumb JF-Expert Member

  #5
  Sep 10, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 606
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  halafu CUF mna kauli mufilisi, utasikia MAPANGA SHAA, LEO, MCHAKAMCHAKA, utadhani wanafunzi wa primary za vijiji! Kitu M4C vitu vya akili! CUF umefulia kweli, wala si tishio sio kwa TLP wala PPT-Maendeleo!
   
 6. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #6
  Sep 10, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,197
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Mimi sina chama lakini kwa muono wangu naona imekuwa ngumu kwa CCM kwasababu ndio chama Tawala ambacho wanachama wote walikuwa ni wake kabla ya kuja kwa vyama vingi. CDM na CUF wanachukua wa CCM
   
 7. M

  Mkwe21 JF-Expert Member

  #7
  Sep 10, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 1,837
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  Mbona Hii ya CUF binafsi nimeipenda!! Kwani hata Hata jiwe linahitaji kupata Habari ya Mabadiliko!! Sasa kwa walichokisema jana CUF nadhan nawapongeza sana kwa kusaidia Kuboresha kampeni za M4C. Kama mmewapa hela ili waaribu Ujue Imekula kwenu!!! Pia nataka Kujua lile Zuio la sensa Jana lilikuwa Limekwisha?
   
 8. t

  timbilimu JF-Expert Member

  #8
  Sep 10, 2012
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 4,779
  Likes Received: 151
  Trophy Points: 160
  Mkuu MAFILILI, CDM hawakufika hapo walipo leo kwa bahati tu,bali wamefanya kazi kubwa ya siasa. Sina tatizo na CUF kujiimarisha na kujitanua kisiasa,lakini nikiungalia uongozi wake sioni kama hata wanaelewa kinachoendelea sasa. CUF inayo safari ndefu kisiasa kurudi ktk kiwango cha miaka 10 iliyopita. Uongozi wa Lipumba na Seif hauna ushawishi tena kwa kizazi cha vijana,ambao ndilo kundi kubwa la wapiga kura sasa.
   
 9. MAFILILI

  MAFILILI JF-Expert Member

  #9
  Sep 10, 2012
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 1,916
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Sensa imeisha jumamosi, Septemba 8, 2012
   
 10. Uhalisia Jr

  Uhalisia Jr Senior Member

  #10
  Sep 10, 2012
  Joined: Sep 10, 2012
  Messages: 134
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mi nadhani kuna vyama vinapumulia mashine bwana CUF c yule aliekua 2000 wala 2005, ni upepo tu upeni siku 90+1.
   
 11. Las Mas Bobos

  Las Mas Bobos JF-Expert Member

  #11
  Sep 10, 2012
  Joined: Jun 15, 2012
  Messages: 993
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mwenye akili timamu anafahamu kuwa kwenye mashindano ya mbio, unamkimbiza wa mbele yako na si wa nyuma yako.

  Sasa mmeanza kupata akili kwa kutambua wa mbele yenu ni nani. Ila nawapa pole, DSM, TANGA, MTWARA na LINDI sio ndio nchi nzima. Tabora tumeshaichukua.

  Kazi mliyopewa na CCM hela yake msile kwanza, huenda mkalazimika kurudisha
   
 12. M

  Mr.Mak JF-Expert Member

  #12
  Sep 10, 2012
  Joined: Feb 23, 2011
  Messages: 2,635
  Likes Received: 496
  Trophy Points: 180
  kwa hali ya kisiasa ilivyo kwa sasa nakuambia sasa CUF tutashuhudia ikirejea mahala pake, naamini tutaishangaa kwa jinsi ninavyoona walivyojipanga. Siasa za visasi zitaighalim cdm, kwani future ya taifa inakuwa hatarini kwahiyo wananchi waliowengi hawapendi cdm iwafikishe inakoelekea. Cdm inaonekana kuwa tishio kwa ccm kwa kuwa muda mwingi wanazungumza madhaifu ya ccm na sio sera zao, kitu ambacho kinajenga chuki kubwa baina yao na cdm. Mpaka sasa hali ya kewa inaonesha kwenye kampeni zijazo hivyo vyama viwili vitakuwa ni tishio kwa nchi. sasa wananchi wapenda taifa lao wameanza kuchoshwa na siasa hizo. kama kwenye kuhuisha chama tu mko mnauwana je kwenye kampeni zenyewe itakuwaje
   
 13. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #13
  Sep 10, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Bibi na Bwana ni haki yenu kupeana sapoti!

  Hamtushangazi.......mke lazima umsifie mumeo hali kadhalika mume pia hana budi kumsifia mkewe!. (CCM A na CCM B)
   
 14. Uhalisia Jr

  Uhalisia Jr Senior Member

  #14
  Sep 10, 2012
  Joined: Sep 10, 2012
  Messages: 134
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mi nahitaji elimu ya siasa japo bibi yangu asiejua kusoma atambue serikali inapaswa kumfanyia nini, mengine ni kupaka rangi upepo tu.
   
 15. F

  Froida JF-Expert Member

  #15
  Sep 10, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 7,900
  Likes Received: 1,328
  Trophy Points: 280
  Sijawahi kuona Raisi anayeshindwa hata kufanya plot za assacination,yaani KIkwete kutuma wauaji watekeleze mpango bila kuleta mtafaruku kwa wananchi ameshindwa anaweza nini sasa siasa kashindwa,kuongoza nchi kashindwa ,kulea watoto wake wawe na akili kashindwa ,mjamma kweli ni zigo kwenye gunia
   
 16. Root

  Root JF-Expert Member

  #16
  Sep 10, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 26,204
  Likes Received: 12,918
  Trophy Points: 280
  Yaani naona baada ya ndoa ya kwanza kuwashinda wamemtoroka bwana wao wanatangaza ndoa mpya heheh CDM hawaoi walio olewa. Kwa mwendo huu ni sawa na kukimbiza Jet kwa mguu heheh
   
 17. HUGO CHAVES

  HUGO CHAVES JF-Expert Member

  #17
  Sep 10, 2012
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 1,852
  Likes Received: 235
  Trophy Points: 160
  CUF katika siasa za tanzania ina nafasi yake ,chadema ina nafasi yake pia na ccm pia ila kinachotokea hapa kuna watu kama kalonzo musyoka kwa hulka hawana tofauti na CUF
   
 18. c

  cheichei2010 JF-Expert Member

  #18
  Sep 10, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 932
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  "Ukiona kichwa hakifikiri vizuri,basi tumia Masaburi"
  kama vile Prof.aliyebobea kwa uchumi wa dunia,halafu anakuja kugomea sensa.Hata kichaa wa Milembe hawezi fanya huo upuuzi.
   
 19. l

  lupasulwisye Senior Member

  #19
  Sep 10, 2012
  Joined: Sep 5, 2012
  Messages: 104
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndoa yenu cuf na ccm vipi?mbona hatujasikia kama talaka imetolewa.watanzania tunawatakia mwisho wenu mwema
   
 20. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #20
  Sep 10, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,354
  Trophy Points: 280
  Sijui prof nini kimemvutia huko..?Tishio lipi sasa?mwanachama, mbunge diwani au nani atapotea?Nilidhani CUF ile tabia ya Bundi kuimba wimbo wa Kasuku imeisha nikadhani hata wamejaribu kuwa kunguru kumbe bado ni mabundi.CDM hawawezi kuwa that low.Hadi ku weka viongozi wa dini fake kufanya maombi.
   
Loading...