Elections 2010 mchakachaka jimbo la kibaha mjini!

komagi

Member
Nov 1, 2010
62
2
wana ccm wahaha kumuomba aliyekuwa mgombea kijana kabisa na machachari wa chadema Mh. Habib Mchange asitishe wazo lake la kupinga matokeo. yadaiwa mawasiliano yafanywa kutoka uongozi wa juu wa chama cha ccm. kijana agome mngindo na mzaliwa wa hapahapa kibaha mjini akataa katukatu.
 
CCM ni majambazi. unaweza kuamini wanalazimisha kutangaza matokeo ya kijana wa Chadema kuwa ya CCM? Jana jioni polisi walipigwa mawe na wananchi wenye hasira wakati wanataka watawanyike ili watangaze matokeo yao fake. Please Chadema HQ wahini hapo Kibaha msaidieni huyu kijana hawa majambazi ni hatari sana
 
Hivi NEC Taifa wanaweza kutengua matokeo ya Ubunge wakipelekewa malalamiko? Sheria zinasemaje?
 
Hawa majambazi ni wakuwapeleka mahakamani na kupigwa kifungo cha kutosha
 
Hawa majambazi ni wakuwapeleka mahakamani na kupigwa kifungo cha kutosha

Hii kjama iko wazi ni wanasheria wetu kukusanya ushahidi na kufungua kesi, tutawamwaga tu!!! sehemu zote zenye hali kama hii hatuna budi kufanya hivi!!!
Watabana Wataachia
 
Ashikilie msimamo, na alindwe muda wote na asiwe peke yake, atembee na company ya chama!
 
CCM wanadhani sisi wote hapa ni chadema.
wamekosea kufikiri.
mimi naiunga mkono CHADEMA kwa 100% kwa sababu tangu awali ni chama makini chenye mkakati chanywa kwa WATANZANIA.

CHADEMA itadumu na tutaijenga ndani na nje.
tutawaandama ccm mpaka makaburini kwao nakwambia
 
Back
Top Bottom