Wataka kuanzisha vita ya baridi weye!Even on Earth anatisha maana yeye huwa analala mtandaoni kabisa.Sijui huwa anafanya kazi saa ngapi?Maana kila post utakayofungua lazima utakuta ame coment chochote.Kazi ndiyo msingi wa maisha kukaa sana kwenye mitandao ya kijamii kunapunguza uchumi pia.Ndiyo maana siku hizi hakuna Division 1 za points 3 kwa form six na point 7 kwa form 4 kwa sababu matoto yanashinda face book na jamii forum hayasomi.Vivyo hivyo kwa mfanyakazi anaye base sana kwenye mitandao ya kijamii sana ufanisi wake ktk kazi unashuka kabisa na hatimae anaporomoka kiuchumi.Take care!
Mkuu mbona umekua mkali sana.Nafikiri huu ni mtazamo wako huenda wengine wamejiajiri na wameweka system vizuri sasa inawafanyia kazi au wameajiriwa na wanaweza kupanga majukumu yao vizuri. Heaven on Earth njoo huku unahitajika.Even on Earth anatisha maana yeye huwa analala mtandaoni kabisa.Sijui huwa anafanya kazi saa ngapi?Maana kila post utakayofungua lazima utakuta ame coment chochote.Kazi ndiyo msingi wa maisha kukaa sana kwenye mitandao ya kijamii kunapunguza uchumi pia.Ndiyo maana siku hizi hakuna Division 1 za points 3 kwa form six na point 7 kwa form 4 kwa sababu matoto yanashinda face book na jamii forum hayasomi.Vivyo hivyo kwa mfanyakazi anaye base sana kwenye mitandao ya kijamii sana ufanisi wake ktk kazi unashuka kabisa na hatimae anaporomoka kiuchumi.Take care!
Kulingana na uzi hu nadhani jibu lako lilitakiwa kuishia hapo nilipo Bold, hayo mengine ni ushauri ambao ulipaswa kuanzishiwa uzi mwingie, OverEven on Earth anatisha maana yeye huwa analala mtandaoni kabisa.Sijui huwa anafanya kazi saa ngapi?Maana kila post utakayofungua lazima utakuta ame coment chochote.Kazi ndiyo msingi wa maisha kukaa sana kwenye mitandao ya kijamii kunapunguza uchumi pia.Ndiyo maana siku hizi hakuna Division 1 za points 3 kwa form six na point 7 kwa form 4 kwa sababu matoto yanashinda face book na jamii forum hayasomi.Vivyo hivyo kwa mfanyakazi anaye base sana kwenye mitandao ya kijamii sana ufanisi wake ktk kazi unashuka kabisa na hatimae anaporomoka kiuchumi.Take care!