Mchague mwenyewe nani anaongoza kwa kupost,kureply na kulike

Nazidi kupata maoni yenu kwa wale mulio na wasiwasi sitanii nipo serious jinsia yangu ni mwanaume miaka 29,heaven on earth msamehe bure huyu jamaa
 
umemaliza.................Why cant you mind you OWN DAMN BUSSINESS na kuachana na mimi........

huku mtandaoni huwa tunalala na kuamka wote!!!!!!!!na ningekuwa nalala hum post yako
ningeiona sa hivi!!!!!!!!!mwanaume type yako HASARA sana ambae huna kazi zaidi ya kufatilia
nani anashinda na nani hashindi mtandaoni...UKOME KUNIFATILIA huo ushauri ungeanza kwa kuipatia
familia yako!!!!!!!jina langu lenyewe hujui kuandika MAISHA YANGU HAYAKUHUSU..UFANISI WANGU KAZINI
HAUKUHUSU.......

Otherwise unless tunatafutiana BAN nakwambia kabisaaaa

Mhh punguza hasira Heaven on Earth

Hizo Keys za keyboard zilitoaje sauti wakati unaandika huu ujumbe.
 
Last edited by a moderator:
mbona karusha mate sana......!!!! kwelii nini?
wana mmu tunapoelekea mwisho wa mwaka napenda kufahamu kwa mwaka huu ni nani ametisha kwa kuanzisha sred,kuchangia ktk sred kwa wengine na kulike,tiririkeni
NB
atakayeshinda kuna zawadi yake hutakiwi kujitaja
 
Back
Top Bottom