Mchague mwenyewe nani anaongoza kwa kupost,kureply na kulike

mtzmweusi

JF-Expert Member
Apr 20, 2013
6,697
2,000
wana mmu tunapoelekea mwisho wa mwaka napenda kufahamu kwa mwaka huu ni nani ametisha kwa kuanzisha sred,kuchangia ktk sred kwa wengine na kulike,tiririkeni
NB
atakayeshinda kuna zawadi yake hutakiwi kujitaja
 
MUYOOL

JF-Expert Member
Nov 7, 2012
561
195
Even on Earth anatisha maana yeye huwa analala mtandaoni kabisa.Sijui huwa anafanya kazi saa ngapi?Maana kila post utakayofungua lazima utakuta ame coment chochote.Kazi ndiyo msingi wa maisha kukaa sana kwenye mitandao ya kijamii kunapunguza uchumi pia.Ndiyo maana siku hizi hakuna Division 1 za points 3 kwa form six na point 7 kwa form 4 kwa sababu matoto yanashinda face book na jamii forum hayasomi.Vivyo hivyo kwa mfanyakazi anaye base sana kwenye mitandao ya kijamii sana ufanisi wake ktk kazi unashuka kabisa na hatimae anaporomoka kiuchumi.Take care!
 
Eli79

JF-Expert Member
Jan 9, 2013
28,061

Wataka kuanzisha vita ya baridi weye!
 
Ablessed

JF-Expert Member
Mar 19, 2013
4,616
2,000
Even on Earth anatisha maana yeye huwa analala mtandaoni kabisa.Sijui huwa anafanya kazi saa ngapi?Maana kila post utakayofungua lazima utakuta ame coment chochote.Kazi ndiyo msingi wa maisha kukaa sana kwenye mitandao ya kijamii kunapunguza uchumi pia.Ndiyo maana siku hizi hakuna Division 1 za points 3 kwa form six na point 7 kwa form 4 kwa sababu matoto yanashinda face book na jamii forum hayasomi.Vivyo hivyo kwa mfanyakazi anaye base sana kwenye mitandao ya kijamii sana ufanisi wake ktk kazi unashuka kabisa na hatimae anaporomoka kiuchumi.Take care!
Mkuu mbona umekua mkali sana.Nafikiri huu ni mtazamo wako huenda wengine wamejiajiri na wameweka system vizuri sasa inawafanyia kazi au wameajiriwa na wanaweza kupanga majukumu yao vizuri. Heaven on Earth njoo huku unahitajika.
 
Last edited by a moderator:

Mazindu Msambule

JF-Expert Member
Feb 22, 2012
6,233
2,000
Even on Earth anatisha maana yeye huwa analala mtandaoni kabisa.Sijui huwa anafanya kazi saa ngapi?Maana kila post utakayofungua lazima utakuta ame coment chochote.Kazi ndiyo msingi wa maisha kukaa sana kwenye mitandao ya kijamii kunapunguza uchumi pia.Ndiyo maana siku hizi hakuna Division 1 za points 3 kwa form six na point 7 kwa form 4 kwa sababu matoto yanashinda face book na jamii forum hayasomi.Vivyo hivyo kwa mfanyakazi anaye base sana kwenye mitandao ya kijamii sana ufanisi wake ktk kazi unashuka kabisa na hatimae anaporomoka kiuchumi.Take care!
Kulingana na uzi hu nadhani jibu lako lilitakiwa kuishia hapo nilipo Bold, hayo mengine ni ushauri ambao ulipaswa kuanzishiwa uzi mwingie, Over
 
Hornet

JF-Expert Member
Apr 29, 2013
20,678
2,000
wana mmu tunapoelekea mwisho wa mwaka napenda kufahamu kwa mwaka huu ni nani ametisha kwa kuanzisha sred,kuchangia ktk sred kwa wengine na kulike,tiririkeni
NB
atakayeshinda kuna zawadi yake hutakiwi kujitaja

mtzmweusi
 
Last edited by a moderator:

Islam005

JF-Expert Member
Nov 1, 2008
2,976
2,000
Hii thread haina uzito wowote kwani aliyeileta ndio kwanza amejiunga mwaka huu na ana posts chache sana. Shindano lolote katika jamii yoyote ni vyema kuendeshwa na watu wenye uzoefu katika jamii hiyo, angalia majaji wa mashindano yoyote utakuta ni ma'expert katika sehemu hiyo. Mfano ni mashindano ya kule chit chat utawakuta waendeshaji ni wadau kama Arusha one etc so this shindano is NOT VALID.
 
Last edited by a moderator:

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom