Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mchagga ni yupi hasa?

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by kilimasera, Jan 29, 2011.

 1. kilimasera

  kilimasera JF-Expert Member

  #1
  Jan 29, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 3,072
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  > > There is no Chagga tribe but just different groups of people living on
  > > the southern slopes of Mount of Kilimanjaro with the following
  > > characteristics:
  > > WAMACHAME (Business entrepreneurs) Huwezi kujua nani mwanamke na ni
  > > nani mwanaume. Kila kitu ni pesa. Yaani hata kama ni mkeo wa ndoa
  > > inakuwa hivi " kama hutoi pesa ya mbege ndoa yangu sikupi babangu"
  > > Basi kule Machame chakula cha ndoa au nimesemaje? Kufanya mapenzi ni
  > > kwa kipimo. Ukiwa katikati mama anakwambia STOOOOOOP! Hapo shilingi
  > > Elfu 20 zako ndio zimekwisha; Ukitaka ongezandio uendelee. Yahye,
  > > unasikia nasema MKE WA NDOA! Wamachame hao! Uchumba tu, lazima upeleke
  > > Kapati la mbeho!
  > > WAKIBOSHO (Specialized bandits) Mama akiwa anapiga soga na mwenziwe
  > > utawasikia hivi"Yaani Dadangu, we acha tu yule Alex wangu siku hisi
  > > amepefuka kweli; Ana akili we acha tu! Haibi tena mfukoni siku hisi,
  > > ameunda kundi lake la ujambasi, Krisimasi hii lasima nitaletewa
  > > fitenge file fya Kongo. Binti naye, AKIOLEWA NA KYASAKA, baba na mama
  > > wanamwambia " Hivi wewe huyu mwanaume kwani ni ndugu yako ? Leta hizo
  > > pesa sake tujengee huku kwetu Manka!!
  > > WAURU (The Elites)Very boring people, wakikaa ni kuongea kuhusu shule
  > > tuuuuuuuuu, masomo, digrii. Yaani yukanoti bilivu! Babu wa miaka 70
  > > bado madaftari yake ya primary ameweka sandukuni!! Atawaonyesha
  > > wajukuu zake wote: "Ona hand writing yangu ilivyokuwa nzuri wakati
  > > nafundishwa na Father Wilson Payatt. Wanakumbuka majina ya waalimu wao
  > > hasa wazungu tangu chekechea.Uzuri wao, wanamwogopa sana Mungu.
  > > Kengele ya KANISANI ikilia saa sita mchana utaona wazee wote kilabuni
  > > wanaamka na kusali sala ya mchana ndio wanaendelea kunywa
  > > mbege.Wanapenda maparachichi hao! We acha tu!!
  > > WA OLD MOSHI (The Mechanics)!Actually Mama Mkapa ni beauty Queen kule
  > > kwao. Yaani mimi sisemi we nenda kachague mwenyewe.Taabu, Wanaume ni
  > > wabishi! Kama mkia wa mbuzi!Wanakunywa kisusio hata cha Nguruwe!! Na
  > > Gongonyingiiiiiiiii iiiiiiiii (Wenyewe waita Crysta-pen!)
  > > WAMARANGU (The handsome liars)!Wanaume wote ni waongo. Actually kuna
  > > somola "jinsi ya kudanganya" shule zote za primary kule Marangu. Both
  > > wanaume na Wanawake maisha ni raha tupu.Kwa Mmarangu halisi, kwanza
  > > ananunua gari, anachapamaisha, nae kulala kwenye gari wakati kodi ya
  > > nyumbainamshinda ni jambo la kawaida.
  > > WAROMBO: (The salesmen)!Kazi mtindo mmoja! Hawana tofauti ni kuruti wa
  > > Jeshi!Wanawake tunawaita "KUBOTA" aina ya matrekta waliyosambazwa
  > > Kilimanjaro na Wajapani miaka ya 1970. Watafutaji wa pesa!!!! We acha
  > > tu. Wahindi hawaoni ndani!Lakini ukimchezea anakuua na kukimbilia
  > > Kenya kupitia Tarakea.Ushauri wa bure! Rafiki yangu uamue mwenyewe
  > > lakini kwa ushaurimwepesi mwepesi nenda Uru (wasomi) au Rombo
  > > (wachapakazi) . Chaguo ni lako
   
 2. M

  MPadmire JF-Expert Member

  #2
  Jan 29, 2011
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 2,061
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 180
  Ni Kweli hakuna kabila la wachagga.

  wachagga wana baadhi ya vitu common ambavyo ni vyakula, vinywaji, shule na business

  Ila lugha ni tofauti kila unapovuka bonde au mto.

  Almost kila tarafa/wilaya lugha inatofautiana

  Pia wachagga ni wachapakazi, wapo makini na wanachofanya na hasa kinachotafutwa ni mafanikio tuu.

  kama yupo darasani anafanya vizuri, kama ni biashara faida ni lazima, kazini kampuni lazima ifanye vizuri.

  Uzinzi hapana kabisa, kazi na masomo tu.
   
 3. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #3
  Jan 29, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,887
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 135
  Mh jaman, mi m2 wa mbeya, ndugu zangu wananambia nicioe mchaga, et wanaua waume zao, yana ukwel hayo? Lakn cha ajabu kila attempt naangukia huko, wat i can do?
   
 4. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #4
  Jan 29, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,289
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  kazi kweli kweli......:A S 20::A S 20:
   
 5. UPOPO

  UPOPO JF-Expert Member

  #5
  Jan 29, 2011
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 1,050
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  We oa uone kama atakuua!
   
 6. Masika

  Masika JF-Expert Member

  #6
  Jan 29, 2011
  Joined: Sep 18, 2009
  Messages: 731
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Uchambuzi yakinifu ingawa jukwaa la utani
   
 7. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #7
  Jan 29, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,205
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Jamani maparachichi..tena na ndizi za kuchoma..makande..ndizi..wali maharage hata ugali unanoga!Ngoja nikapate raha Moshi mie...nyie endeleeni tu kututangaza!
   
 8. kilimasera

  kilimasera JF-Expert Member

  #8
  Jan 29, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 3,072
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  kuua hakuhitaji kujaribu maana roho ikiishapotea hairudi tena
   
 9. LD

  LD JF-Expert Member

  #9
  Jan 30, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 3,014
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Karibuni Rombo jamani!!
  Tindikalikali wala usiogope, sisi hatuui watu bwana!!

  Kwani we unachesea hela, Tatiso watu wanachesa na hela aisee ndo maana mtu anaamua kutorokea kenya.
   
 10. gwankaja

  gwankaja JF-Expert Member

  #10
  Feb 17, 2012
  Joined: May 16, 2011
  Messages: 1,017
  Likes Received: 596
  Trophy Points: 280
  ukabila mpaka lini?
   
 11. gwankaja

  gwankaja JF-Expert Member

  #11
  Feb 17, 2012
  Joined: May 16, 2011
  Messages: 1,017
  Likes Received: 596
  Trophy Points: 280
  mh ina maana ukioa mchaga unatakiwa usife?
   
 12. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #12
  Feb 17, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,515
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Hapo kwenye uzinzi siku hizi wanakuja kwa kasi
   
 13. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #13
  Feb 17, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,515
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  What you believe is what is happen
   
 14. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #14
  Feb 17, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,515
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Hapo ni sawa na kusema ujaribie makali ya panga shingoni
   
 15. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #15
  Feb 17, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,515
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Kitu kukuru na kisusio vipi?
   
 16. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #16
  Feb 17, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,515
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Nadhani zote walizozinukuu hapo ni imani tu juu ya wachaga na siamini kama kuna ukweli ndani yake
   
 17. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #17
  Apr 16, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,887
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 135
  kufa hakujaribiwi mkuu
   
 18. M

  Mmeku Ashitsie Member

  #18
  Oct 14, 2016
  Joined: Sep 13, 2016
  Messages: 11
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 5

  Wewe unayesema hakuna kabila la Wachagga kwanza kabisa naamini wewe si Mchagga maana ungekuwa Mchagga usingeongea hivyo

  Kwa kukusaidia tu ni kwamba Wachagga wanafanana kwa kila kitu, hiyo tofauti iliyopo ni maeneo tu wanayotoka lakini mambo mengine yote wanaenda sawa

  Kwanza mila na desturi za Wachagga wote ni moja yaani kuanzia vyakula vya asili, vinywaji vya asili, majani na miti ya asili, uchumba, ndoa, uongozi, majina ya machifu, imani za kidini kila kitu ni kimoja

  Pili Wachagga huwezi kuwatenganisha kwani muingiliano wao ni wa kindugu zaidi hapa namaanisha koo au familia za kichagga zinapatikana maeneo yote ya uchagga, kwa mfano utakuta Massawe anapatikana Rombo, Kilema, Kirua Vunjo, Old Moshi, Uru, Kibosho na Machame
  Ukikuta Temba anapatikana KIbosho, Uru, Old Moshi, Marangu
  Ukikuta Ngowi anapatikana, Kibosho, Uru, Old Moshi, Marangu, Rombo
  Ukikuta Kimaro anapatikana Machame, Kibosho, Uru, Old Moshi, Marangu, Rombo
  Sasa kwa akili yako watu hawa unawatofautisha vipi?

  Yani unaanzaje kunishawishi kwamba Urassa aliyeko Machame na Urassa aliyeko Rombo sio ndugu, wakati hatujasikia Urassa aliyepo Tanga?

  Pia Wachagga wanafahamiana, wanatambuana na wanafahamu kwamba wao ni wachagga na mtu ambaye si mchagga wanajua si mwenzao na wanamuita kyasaka au (mndu o nuka) wakimaanisha mtu wa porini, kwa mfano unaweza kuulizwa huyo mtu ni mchagga?, unasema ee ni mchagga kutoka Rombo au Uru au Sanya Juu, lakini kama si mchagga utasikia tu hapana si mchagga ni kyasaka yaani hatokei sehemu yoyote ya uchagga

  Mfumo wa Umangi na lugha zote zinafanana ila kuna kuwepo utofauti mdogo unasababishwa na ule umbali wa kijiografia kutoka sehemu moja mpaka nyingine

  Ni kawaida kutokea utofauti kidogo wa lugha pale jamii zinapokuwa zimegawanyika kiuongozi hata kama ni jamii moja

  Naamini mpaka hapo nimekusaidia kwa kiasi kama unataka kufahamu zaidi vipo vitabu vingi sana vinavyowahusu Wachagga katika maktaba karibu zote za vyuo vikuu nchini upitie utafahamu zaidi

  Kwa maelezo zaidi nifuate inbox

  Karibu sana
   
 19. idaz

  idaz JF-Expert Member

  #19
  Oct 14, 2016
  Joined: Sep 1, 2013
  Messages: 622
  Likes Received: 150
  Trophy Points: 60
  Wachaga wana kaz kweli...kila kitu ni wao...kiwe kizuri au kibaya..vyote mchaga...sawa..but niliye mchaga napata maswali mengi mno!
   
Loading...