MCHAGA KASANDA

Red Scorpion

JF-Expert Member
Feb 1, 2012
5,736
4,252
MZARAMO V/S MCHAGA.

Mzaramo alitangaza anatibu magonjwa yooooooote kwa tsh. 100,000/= Na kama akishindwa kukutibu anakurudishia laki yako nakukuongeza laki nyingine.
MCHAGA akaona hii fursa yakujipatia hela aiwezi mpita akaenda kutibiwa.

MZARAMO: "unaumwa nini?"

MCHAGA: "Sisikii ladha ya aina yoyote mdomoni kabisaaaa.."

MZARAMO: "sawa, toa laki kabisa.."

Mchaga akatoa.

MZARAMO akamuagiza msaidizi wake; "Naomba kikopo no.27 mpe anywe huyu.."

MCHAGA akanywa akatema faster; "Puh puu puu, Aisee huu si mkojo huu..?"

MZARAMO: "Umepona karibu tena.."

Mchaga aka-mind sana Kesho yake akarudi tena hakuamini ameliwa pesa yake.

MCHAGA: aisee nina tatizo la kumbukumbu nasahau sanaaaaa.."

MZARAMO akamwambia "hakuna tabu, toa laki tukupe tiba..'

MCHAGA akatoa pesa akijua leo lazima afanikiwe..'

MZARAMO: "nesi naomba kikopo no.27.."

MCHAGA: "ASA CHALII ANGU HICHO SI CHA JANA CHA MKOJO HICHO AISEE..?"

MZARAMO: umepona kumbukumbu unayo

Kama umeipenda [HASHTAG]#Share[/HASHTAG] na wengine wasome
 
Noma sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom