Mch Temba Alphonce nabii wa uongo Zambia

Mwamakula

JF-Expert Member
Nov 7, 2010
1,890
382
MchALIPHONCE TEMBA NI MPIGA DEBE WA CCM NA ALITIMULIWA UDSM BAADA YA KUPINGA MABADILIKO YA KATIBA NA KUPINGA MAANDAMANO YA CDM UKIMBI WA NKURUMA MWAKA HUU. Temba Ndiye alikuwa mpiga Debe wa Kikwete na aliitwa Dododoma na Yusuma Makamba akamkabidh Jk bible na kumuhakikishia ushindi kabla hajachakachua kura.Baadaye aliungana na Mch Rwakatare na kusema Jk chaguo la Mungu.Mch Tembe ndiye aliyehamasisha watu kuiunga na Deci na ni mpiga debe wa Babu loliöndo
 
Sijakuelewa vizuri. Unamaanisha nini hasa. Be specific please!!
 
Mbona title inasema nabii wa uongo zambia lakini umezungumzia mambo ya Tz?. Ni vizuri ueleze pia hayo ya Zambia.
 
Matoto ya CHADEMA yanaumwa.....................Huyu si chizi kabisa? Sasa kaandika nini hapa?
 
Mkuumwamakula, umeshindaje?, bado una-hangover ya valu nini?!, rudi basi jibu hoja.
 
nadhani anazungumzia habari picha ya front page ya gazeti la mwananchi toleo la leo 28-09-2011
 
Uyu jamaa mchungaji Temba nafikiri ndo aliyeonekana front page ya gazet la Mwananch jana(?)..il apate media attention alsafir na gazet adi kwa Sata na picha akaituma Mwananchi..akampa Sata zawadi ya bango limeandkwa "IF GOD SAY YES,NO BODY CN SAY NO"..Lakn sijajua ubaya wake
 
Mch ALPHONCE TEMBA NI TAPELI .ANAPENDA KUWA KARIBU NA KIKWETE NA KUJIPATIA FEDHA ILI AHUJUMU UPINZANI. Alipita kuhamasisha Deci,Makanisani na kutapeli pesa nyingi. Alipita radio Mlimani, praise power ,Times radio,wapo radio,Itv, star tv, n.k na kuwambia watu kuwa Deci ni Mpango wa Mungu.Sasa hapa Tz, yeye hana kanisa hata huko Kibangu hajulikani .Yeye anajulikana kwa utapeli.
 
Temba ni mtu maka pesa ,ktk Makanisa na kutapeli waumini na Wachungaji. Amewahi kutapeli watu kule Botswana na akafukuzawa.Hapa k
 
Temba na Mtikila wanataka CCM ISHINDE IGUNGA NA Mtikila atatua Igunga ijumaa keshokutwa baada ya kutokea Ghana na Lengo vurugu
 
Back
Top Bottom