Mch. Rwakatare amepanga kukanusha tuhuma za umafia kesho kwenye ibada

kuna tetesi kuwa ameunda Tasj force ya kumufuatilia aliyetoa siri za kikao cha umafia. Pia ameanda mpango wa kuwaalika wachungaji wageni ili wamusafishe hapo. Mwaka 2006 Mch Shansi kutoka Drc aliyekuwa anafadhiliwa na Rwakatare alikamatwa na kufukuzwa nchini na tukio hilo lilisababisha kufukuzwa wachungaji wake zaidi ya 10 akiwemo Kanali Mwakang'ata, Mch Kantunz, Mch Fred Rwegasira, Mch Chegele, Mch Aliphonce Temba, Mch Math Komanya, Mch Francis, Mch Emanuel, ambao mpaka sasa ni maadui.Matha Komanya alifukuzwa lakini kwa sasa amerejeshwa.
hivyo upo uwezekano baadhi ya wachungaji wakafukuzwa kwa tuhuma za kutoa siri
 
Join Date : 17th June 2011
Posts : 31

Rep Power : 0
naona umejiunga rasmi ili kumsafisha...ameshachafuka huyo,kwanza hana upako wowote,ni mkavu kama sisi,nshasali sana tu kanisani kwake ni opportunist mzuri.
 
kuna tetesi kuwa ameunda Tasj force ya kumufuatilia aliyetoa siri za kikao cha umafia. Pia ameanda mpango wa kuwaalika wachungaji wageni ili wamusafishe hapo. Mwaka 2006 Mch Shansi kutoka Drc aliyekuwa anafadhiliwa na Rwakatare alikamatwa na kufukuzwa nchini na tukio hilo lilisababisha kufukuzwa wachungaji wake zaidi ya 10 akiwemo Kanali Mwakang'ata, Mch Kantunz, Mch Fred Rwegasira, Mch Chegele, Mch Aliphonce Temba, Mch Math Komanya, Mch Francis, Mch Emanuel, ambao mpaka sasa ni maadui.Matha Komanya alifukuzwa lakini kwa sasa amerejeshwa.hivyo upo uwezekano baadhi ya wachungaji wakafukuzwa kwa tuhuma za kutoa siri
.Kweli kama kuna kitu cha kumuomba Mungu akuepushe ni njaa. Yaani njaa inayasumbua haya madume kiasi cha kupangwa pangua na mwanamke katika huduma. Hawaisomi biblia au wanafanya makusudi tu? Maana biblia imemkataza mwanamke kumtawala wala kumfundisha mwanamume. Na katika nafasi ya uchungaji(ukuhani) aliojipachika huyu mama ni batili. Hakuwahi kutokea akawepo kuhani katika ardhi ya Israel ila mmoja tu, nae ni Yezebeli. Yezebeli hakuwa binti abraham ila ni mwanamke aliyeolewa israel na Ahabu kwa sababu za kisiasa. Yeye alikuwa ni binti wa Ethbaal kuhani wa Istate, mfalme wa sidoni. Aliwaua manabii katika nyumba ya Bwana huko yerusalemu na kuweka huko wa kwake jinsi alivyoona inafaa..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom