Mch. Rwakatare amepanga kukanusha tuhuma za umafia kesho kwenye ibada | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mch. Rwakatare amepanga kukanusha tuhuma za umafia kesho kwenye ibada

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mwamakula, Jul 2, 2011.

 1. M

  Mwamakula JF-Expert Member

  #1
  Jul 2, 2011
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 1,893
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Kuna taarifa kutoka kwenye vyanzo vya karibu na mch. Rwakatere vinaonyesha kuwa , tayari ameipata cd iliyochezwa kanisani fgbf church na sasa anasema sauti hiyo si yake , na ni njama za kumchafua, watu wameigiza sauti yake, na shetani anamwandama kumuvuruga.  Sauti hizo zinapztikana kwenye you tube: Bomu la kakobe the part 1 & part 2:

  Mch getrude rwakatare amepanga kukanusha kesho kwenye ibada ya asubuhi kanisani kwake mikocheni b assemblise of god.

  Lakini baadhi ya wazee wa kanisa wametonya kuwa baada ya kusikiliza cd hiyo wamekiri kuwa ni ya rwakatare ila wamelaumu kuwa kuna mtu wake wa karibu amemuharibia mambo yake kwa sabababu za kisiasa.
   
 2. Somoche

  Somoche JF-Expert Member

  #2
  Jul 2, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 3,823
  Likes Received: 922
  Trophy Points: 280
  wote wachafu tu hawa
   
 3. Fisadi Mkuu

  Fisadi Mkuu Member

  #3
  Jul 2, 2011
  Joined: Mar 4, 2011
  Messages: 72
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Akikanusha ndo ataharibu kabisaaa ,bora tu ajimazie yaishe
   
 4. chipanga

  chipanga JF-Expert Member

  #4
  Jul 2, 2011
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 661
  Likes Received: 141
  Trophy Points: 60
  Kayataka mwenyewe, asimsingizie shetani.
   
 5. f

  fukunyungu JF-Expert Member

  #5
  Jul 2, 2011
  Joined: May 16, 2011
  Messages: 726
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  na akome
   
 6. n

  nguluvisonzo JF-Expert Member

  #6
  Jul 2, 2011
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 511
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35  Hawa watu ni balaa kubwa,dini ni ngao yao ukichunguzi hutaamini wanachofanya,katika fomu za maadili hilo kanisa sijui lipo upande gani ni mali yake au waumini wake?.siku ya mwisho moto utakuwa mkubwa sana kwasababu ya hawa jamaa viongozi uchwara wa makanisa.
   
 7. palalisote

  palalisote JF-Expert Member

  #7
  Jul 2, 2011
  Joined: Aug 4, 2010
  Messages: 8,352
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
 8. Kiby

  Kiby JF-Expert Member

  #8
  Jul 2, 2011
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 5,202
  Likes Received: 1,007
  Trophy Points: 280
  Badala ya kuenda kukanusha tuhuma hizo habari maeleo, anataka kuzifanyia kanisani. Halafu ataiita ibaada? Mbona yeye ni mwanasiasa na ana uwezo wa kuyafanyia hayo mambo ukumbi wa habari maelezo? Hapa sasa utakuta kanisani kwake kuna watu walilazimishwa kufunga na kuomba kwa hizi siasa. Ni hii ndio aina ya wakristo tulio nao siku hizi, Tumekwisha! Yezebeli aliwahi kuwafungisha waisrael kwa Mungu wa kweli, lakini ilikuwa hila ya kumfitinisha Naboth, ili alidhulumu shamba lake. Isije ikawa historia inajirudia.
  .
   
 9. lukindo

  lukindo JF-Expert Member

  #9
  Jul 2, 2011
  Joined: Mar 20, 2010
  Messages: 7,891
  Likes Received: 6,081
  Trophy Points: 280
  ujenzi wa 'Mnara wa Babel' naona unaenda vizuri
   
 10. A

  ASKOFU MSAIDIZI JF-Expert Member

  #10
  Jul 2, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 209
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mch.rwakatare .juzi alisema shetani ndiye aliyepoteza form ya maadili na kushindwa kutangaza mali zake, sasa anasema shetani kaingiza sauti yake kwenye cd kwa sababu za kisiasa!!!
   
 11. A

  ASKOFU MSAIDIZI JF-Expert Member

  #11
  Jul 2, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 209
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huwezi kuigiza sauti ya mtu kwa dakika 23. Hapa hakuna ujanja isipokuwa toba na malipizo, nashauli mch rwakatare aende atubu chumbani kwake, halafu aindoe mwenyewe kesi aliyofungua kwa kuwatumia mch dez patrick , apate ujasiri wa kukutana na kakobe na kuomba msamahaa ili mungu aone toba hiyo ikiambatana na malipizo.

  Cd hiyo ya tarehe 10/12/2010 inaonyesha dhahili kuwa kesi hiyo imeandaliwa na mch. Rwakatare na inatakiwa kuondolewa na yeye mwenyewe ndipo aendelee kuhubili.

  Damu ya hukumu ya kesi hiyo ipo kichwani kwa rwakatare na kama anakataaa kama pilato basi hata pata amani wala usingizi kama yaliyomtokea pilato
   
 12. Bundewe

  Bundewe JF-Expert Member

  #12
  Jul 2, 2011
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 401
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Tatizo huyu mama yuko kibiashara sana, Mara shule, uchungaji (kiongozi), mara siasa, vyote yeye. Anakoelekea siasa zitamshinda, na atakosa waumini kwenye kanisa lake maana wengi watapoteza imani naye. Haiwezekani Mchungaji kiongozi uchezewe na shetani mara kwa mara kiasi hicho.
   
 13. A

  ADAMSON Senior Member

  #13
  Jul 2, 2011
  Joined: May 23, 2011
  Messages: 126
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mama pambana sasa na shetani huyo ili tuamini kwamba mungu wako ni kama mungu wa elia aliesima,isha jua
   
 14. Mwendabure

  Mwendabure JF-Expert Member

  #14
  Jul 2, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,054
  Likes Received: 296
  Trophy Points: 180
  Swadaktaaaa! Weli seidi. Umeonaeee!
   
 15. samirnasri

  samirnasri JF-Expert Member

  #15
  Jul 2, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 1,377
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  tatizo haya makanisa ambayo kuna kuwa na mtu mmoja mwenye sauti yamekaa kibiashara zaidi. Mbona hatusikii walutheri wamewachafua wakatoliki au waanglikana,...
   
 16. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #16
  Jul 2, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  unadhan wana washauri hawa kunguru???????wao wameweka maslahi mbele,kaacha vikao kawah sadaka kanisani....lol
   
 17. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #17
  Jul 2, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  sema wewe........uchizi wao wa maslah wanauleta hadi kwenye ibada..........sasa wataleta mitafaruku hata kwa waumini wao
   
 18. f

  fazili JF-Expert Member

  #18
  Jul 2, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 1,192
  Likes Received: 404
  Trophy Points: 180
  siasa za madhabahuni noma. hii ni dhambi ya uongo na adhabu yake ni kuumbuka mbele za dunia nzima
   
 19. samito

  samito JF-Expert Member

  #19
  Jul 2, 2011
  Joined: May 16, 2011
  Messages: 621
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  hajui kama uongo ni dhambi? tena kwa mchungaj ndo zaid? asijaribu kupotosha ukwel madhabahuni, maana anaweza akaanguka na asinyanyuke tena, shetan yupo kazin. Mungu awasaidie hawa wa2mish
   
 20. menyidyo

  menyidyo JF-Expert Member

  #20
  Jul 3, 2011
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 1,339
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  sijaweza kufika mikocheni wiki hii. masumbufu yadunia yanabana. hebu tupeni taarifa rasmi. tuanze kwa mama rwakatale au kakobe. lakini kakobe alisha maliza j2 iliyopita. kwa mama patakuwa patamu zaidi. sasa nne ndo anapanda madhabahuni eeh?
   
Loading...