Mch. Msigwa: Kuna uwezekano baadhi ya mawaziri wetu akili zao zimedumaa

Mungi

JF Gold Member
Sep 23, 2010
16,975
9,566
Anasema kila mara tumekuwa tukisikia kuna maradhi ambayo yamesababisha watoto wamedumaa.
Anasema sote tunavyojua watoto wanaodumaa huwa hawana uwezo wa kufikiri, kuhoji, yaani wapo wapo tu.
Anasema kwa hali tunayoona kwa mawaziri wetu kuna baadhi ya mawaziri wamedumaa, hata Katibu wao Mkuu Kinana amekiri kuna mawaziri mizigo.

Kuna kila sababu ya kukiondoa ccm madarakani, imechoka hakina uwezo, tulete chama mbadala CHADEMA. Wamebadilisha mawaziri wengi matatizo yako pale pale. Hata huyu Hawa Ghasia tukisema aondolewe atakayeletwa ni mzigo tu.

CHAMA CHA MAPINDUZI NI CHAMA CHAKAVU
Mchungaji Msigwa leo bungeni ameliamusha bunge na kulichangamsha alipo sema ccm ni chama chakavu hivyo akawaomba Watanzania kuwa wakati umefika kukiondoa chama hiki madarakani maana kime chakaa.Amesma kina watu wale wale namawazo yale yale hivyo hata kumuondoa Hawa ghasia haiwezi kusaidia maana hata watakao kuja wata kuwa vilevile.Amesema dawa ya kudumu ni kuwaondoa wote waongoze wengine.
Source TBC bungeni
 
Kauli hii ya Mh Msigwa imemkera Mh Lukuvi na hivyo kuomba muongozo kwa spika kufutwa kwa kauli hii.
Naibu spika amesema atatoa maamuzi baadae.
 
hajaelewa maana chakafu kitu kilichoka hakifai ccm tena kila sekta wizi tuu
 
Ni kweli kabisa, kwani uwongo?! Baraza la mawaziri la Tanzania wamedumaa, na ni vihiyo
 
tumemuondoa ngereja wamemleta ngereja umeme bado wa mgao, tumemuondoa waziri maige na kuja kagasheki ni yale yale.
 
Mchungaji Msigwa leo bungeni ameliamusha bunge na kulichangamsha alipo sema ccm ni chama chakavu hivyo akawaomba Watanzania kuwa wakati umefika kukiondoa chama hiki madarakani maana kime chakaa.Amesma kina watu wale wale namawazo yale yale hivyo hata kumuondoa Hawa ghasia haiwezi kusaidia maana hata watakao kuja wata kuwa vilevile.Amesema dawa ya kudumu ni kuwaondoa wote waongoze wengine.
Source TBC bungeni
 
anasema kila mara tumekuwa tukisikia kuna maradhi ambayo yamesababisha watoto wamedumaa.
Anasema sote tunavyojua watoto wanaodumaa huwa hawana uwezo wa kufikiri, kuhoji, yaani wapo wapo tu.
Anasema kwa hali tunayoona kwa mawaziri wetu kuna baadhi ya mawaziri wamedumaa, hata katibu wao mkuu kinana amekiri kuna mawaziri mizigo.

Kuna kila sababu ya kukiondoa ccm madarakani, imechoka hakina uwezo, tulete chama mbadala chadema. Wamebadilisha mawaziri wengi matatizo yako pale pale. Hata huyu hawa ghasia tukisema aondolewe atakayeletwa ni mzigo tu.

Chama cha mapinduzi ni chama chakavu

source please
 
Haihitaji shule yoyote mbona kujua kama CCM ndio walioharibu hii nchi.... 52 years of independence na bado hawaachi kuiibia nchi yao wenyewe.. Shame on them
 
Back
Top Bottom