Mungi
JF Gold Member
- Sep 23, 2010
- 16,975
- 9,566
Anasema kila mara tumekuwa tukisikia kuna maradhi ambayo yamesababisha watoto wamedumaa.
Anasema sote tunavyojua watoto wanaodumaa huwa hawana uwezo wa kufikiri, kuhoji, yaani wapo wapo tu.
Anasema kwa hali tunayoona kwa mawaziri wetu kuna baadhi ya mawaziri wamedumaa, hata Katibu wao Mkuu Kinana amekiri kuna mawaziri mizigo.
Kuna kila sababu ya kukiondoa ccm madarakani, imechoka hakina uwezo, tulete chama mbadala CHADEMA. Wamebadilisha mawaziri wengi matatizo yako pale pale. Hata huyu Hawa Ghasia tukisema aondolewe atakayeletwa ni mzigo tu.
CHAMA CHA MAPINDUZI NI CHAMA CHAKAVU

Mchungaji Msigwa leo bungeni ameliamusha bunge na kulichangamsha alipo sema ccm ni chama chakavu hivyo akawaomba Watanzania kuwa wakati umefika kukiondoa chama hiki madarakani maana kime chakaa.Amesma kina watu wale wale namawazo yale yale hivyo hata kumuondoa Hawa ghasia haiwezi kusaidia maana hata watakao kuja wata kuwa vilevile.Amesema dawa ya kudumu ni kuwaondoa wote waongoze wengine.
Source TBC bungeni