Mch.Lwakatare anaiba umeme -Prof Muhongo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mch.Lwakatare anaiba umeme -Prof Muhongo

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by qq.com, Jul 28, 2012.

 1. qq.com

  qq.com JF-Expert Member

  #1
  Jul 28, 2012
  Joined: Jan 9, 2012
  Messages: 370
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  amesema bungeni leo kuwa anaiba kuypitia shule yake ya st mary amekutwa ameiba umeme wa sh milioni 10 kuwa kesi iko polisi
   
 2. BABU CHONDO

  BABU CHONDO JF-Expert Member

  #2
  Jul 28, 2012
  Joined: Jun 6, 2011
  Messages: 859
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Wachungaji wana mambo!

  Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
   
 3. Rutunga M

  Rutunga M JF-Expert Member

  #3
  Jul 28, 2012
  Joined: Mar 16, 2009
  Messages: 1,556
  Likes Received: 229
  Trophy Points: 160
  huyu si mbunge aliyeteuliwa na RAIS? tanzania bwana!
   
 4. marejesho

  marejesho JF-Expert Member

  #4
  Jul 28, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 6,539
  Likes Received: 830
  Trophy Points: 280
  Sasa si wapeleke kesi mahakamani?
   
 5. N

  Nguto JF-Expert Member

  #5
  Jul 28, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,650
  Likes Received: 627
  Trophy Points: 280
  Jamani St Marys sio Rwakatare. Hiyo shule ni kampuni ambayo inashitakiwa yenyewe kwa kuiba umeme. Mhusika hapa ni mkuu wa shule na mhasibu kwa nini hawakulipaia umeme wanaotumia. Hii soo si ya mchungaji.
   
 6. The Fixer

  The Fixer JF-Expert Member

  #6
  Jul 28, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 1,361
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Ni upepo tu utapita ! Lakini angekuwa Sheikh Ponda hapa comments zingeshafika 200
   
 7. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #7
  Jul 28, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,541
  Likes Received: 2,239
  Trophy Points: 280
  Unganisha Dot ili upate core!
   
 8. M

  Mmwaminifu JF-Expert Member

  #8
  Jul 28, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 1,096
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  Mkuu mi nilijua mchungaji au sheikh akiiba wote wanakuwa wezi bila kujalisha dini!
   
 9. B

  Boniface m Member

  #9
  Jul 28, 2012
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 50
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 15
  Wengi wanafikiri shule za st marys ni za mchungaji lwakatare,sio kweli jamani yeye alikuwa msimamizi kwa hapa tz,na sasa kunja msimamiz mwingine,nadhan prof huyo alifikiri ni mali ya mchungaji.
   
 10. Rutunga M

  Rutunga M JF-Expert Member

  #10
  Jul 28, 2012
  Joined: Mar 16, 2009
  Messages: 1,556
  Likes Received: 229
  Trophy Points: 160

  aisee? kwa mawazo haya kumbe watanzania bado tuna kazi ngumu kuelekea wenzetu walipo
   
 11. Makala Jr

  Makala Jr JF-Expert Member

  #11
  Jul 28, 2012
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 3,397
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Taasisi nyingi tu zinaiba umeme lakini kwa kuanzia na huyu mama anayesimamia hizi shule ni sahihi. Tukisema shule siyo zake,naye ni msimamizi basi tumtuhumu nani? Hata askari polisi akiua raia wa nchi jirani hawezi kuwajibika mkuu wa kituo bali Amiri jeshi mkuu. Kwa hiyo generally mama mchungaji ni mwizi!
   
 12. bemg

  bemg JF-Expert Member

  #12
  Jul 28, 2012
  Joined: Apr 25, 2010
  Messages: 2,706
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Ole wao mafarisayo wanaosafisha kikombe nje kumbe ndani ni kichafu
   
 13. Remote

  Remote JF-Expert Member

  #13
  Jul 28, 2012
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 14,875
  Likes Received: 1,561
  Trophy Points: 280
  Ingekuwa shule ya wakatoliki ponda povu lingemtoka
   
 14. Nyanya mbichi

  Nyanya mbichi JF-Expert Member

  #14
  Jul 28, 2012
  Joined: Nov 10, 2011
  Messages: 3,203
  Likes Received: 1,332
  Trophy Points: 280
  kingmaker mbona ukienda caspian pale kipawa ana mita kumi ukizisoma zinasoma 00000 kama hawatumii umeme vile
   
 15. BabaDesi

  BabaDesi JF-Expert Member

  #15
  Jul 28, 2012
  Joined: Jun 30, 2007
  Messages: 2,793
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145

  ...Tupunguze kutetea Ujinga. Hatutafika. Hao uliowataja hapo WAMEAJIRIWA na Nani? Ingekuwa ni suala la kusifia St Marys kuwa ni shule inayoongoza kwa kutoa watoto vichwa huu ufafanuzi wako tusingeuona Hapa! Acheni Hizo.
   
 16. M

  Makupa JF-Expert Member

  #16
  Jul 28, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,742
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Nilishasema siku nyingi ,hawa wachungaji wa madhehebu ya kilokole ni wahuni wanaotumia kanisa kuficha madhambi yao
   
 17. Osaka

  Osaka JF-Expert Member

  #17
  Jul 28, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 1,766
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Watakuwa wamefanya 'tampering' hao!
   
 18. Xidian

  Xidian JF-Expert Member

  #18
  Jul 28, 2012
  Joined: Jun 2, 2012
  Messages: 507
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Si kila kitu kwenye taasisi fulani mmiliki anahusika. Wakati mwingi tu mambo mengine yanafanyika kinyemela na wafanyakazi bila mmiliki kujua, kwa hiyo kumhukumu mama wa watu sio kitu kizuri .
   
 19. Imany John

  Imany John Verified User

  #19
  Jul 28, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 2,776
  Likes Received: 262
  Trophy Points: 180
  Ndo mana akawa anaiponda jf ili asiletewe kwere
   
 20. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #20
  Jul 28, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,627
  Likes Received: 9,838
  Trophy Points: 280
  yawezekana wanaoiba ni wale anaowatumia kuendesha shule yeye hana taarifa...suala hapa ni je kule kanisani kwake haibi??
   
Loading...