Mch Gwajima: Je Mange ni kati ya wale wanawake 2 uliowasema ukiwa unalia katika wheel chair?

Deborah akimtuma Jemedari Barak kwenda kupambana na jeshi la Wakanani.
Akimtaka ajipe moyo kama mwanaume na apambane maana Mungu yupo naye!View attachment 603664
Mtumishi hii kitu sio mchezo.Lazima uipende Biblia. Mfalme wa amani ALISEMA IJUE KWELI NA KWELI IKUWEKE HURU. mstari km huu ndio adui mkubwa sana wa ujamaa. Waoga wapo tayari kumnyamazisha na kumlaumu sana Deborah, kuliko kunagalia magari ya deraya, majeshi na mbabe mbele yao. Great people walisoma Biblia vyema sana, na huko ndipo walipopata siri nyingi,huko ndipo walipopata maswali ya msingi .
 
Ungejionyesha basi kuwa wewe ni straight, angalau km ungeweza kuwa na akili timamu kuchambua issue. Au hata ungeonyesha kuwa unaweza meza kitu usiyoipenda.Ungeonyesha kuwa unaweza jenga hoja kuondoa uzito wa hii kitu inayoonekana. Ila kulia na matusi km mwehu ni kuonyesha siku zenu zinahesabika ktk hii vita.

Nijadili nini mimi upuuzi tu hapo umeandika, tafuta wenzako mjadili
 
ukiwa msomaji biblia utaelewa haya aloandika mtoa mada! mie nimeona neno Mange nimejikuta nachekelea tu !ht sijawah iona hyo video !neno MANGE limenifanya nicomment !nyts
 
ukiwa msomaji biblia utaelewa haya aloandika mtoa mada! mie nimeona neno Mange nimejikuta nachekelea tu !ht sijawah iona hyo video !neno MANGE limenifanya nicomment !nyts
Mkuu ukiwa unategemea habari za tanzania,na wasomi wao na ccm yao, na mitizamo yao,Utakuwa ktk mzunuko fulani wa ujinga wa kutosha kukuaminisha wenye akili ndio wajinga. Utakuwa ktk wale Yesu aliwasamehe na kuwaombea kwa Baba wasamehewe kwa vile wanafanya uovu bila kujua watendalo.
 
Ukisoma Kitabu cha Waamuzi 4 utakutana hicho kisa.

Hao wanawake wa kwenye Biblia nadhani ni Deborah na Jaeli.

Deborah ndiye alikuwa nabii au mwamuzi mwanamke aliyewaambia Waisraeli wasikate tamaa bali wapambane kiume dhidi ya mkono wa mfalme Jabin Mkanani.

Mfalme Jabini alikuwa na jeshi lenye magari ya nyuma yanayokokotwa na farasi yapatayo 900.

Ili jeshi lilikuwa ni tishio na liliweza kuitawala Israeli yote kwa miaka 20.

Ila siku ya vita kati ya Israeli na jeshi la Kanani lililongozwa na jemedari wake,mvua kubwa ilinyesha katika bonde majeshi haya yalipopanga kukutaniwa kwa ajili ya mapambano.

Magari haya ya chuma yalinasa kwenye tope na hivyo kushindwa kukotwa na farasi.

Hivyo waisraeli wengi wakauwa wakanani wengi mpaka jemedari wa jeshi la Wakanani jemedari Sisera akakikimbia kuponya roho yake.

Sisera baada ya kudhibitiwa na jeshi la Waisraeli alikimbilia katika nyumba ya mwanamke muisraeli aitwae Jaeli.

Baada ya jemedari Sisera kupewa maji na maziwa na Jaeli,alipitiwa na usingizi na kulala fofofo.

Na ndipo Jaeli akatumia mwanya huo kumgongelea nondo ndefu ya hema jemedari Sisera,na ikapenya toka pajini mwa uso hadi chini ya sikio na kukita ardhini.

Ikiwa ndiyo mwisho wa jemedari jasiri Sisera,ambaye wanaume waoga walimshindwa ila wanawake wawili majasiri waliweza!

Kama Mange ni Deborah,Jaeli je ni nani?

Du. What a stupid generation. Speak your politics ,fit them just the way you like. Now you have turn to The HOLY Bible you want to to make an exegesis to fit your chademansis. Mind. Of all the people Mange with such a dirty mouth. Attacking innocent children ,people who are above her ,every 7/24 sitting in Innstagram. While ana familia. Then Leo muishike biblia na kuweka upuuzi huu. Jamani MUngu Sio abunuasi. „njia zake Sio njia zetu ,mawazo yake Sio mawazo yetu. Kama mbingu ilivyo juu zaidi ya dunia mawazo ya MUNGU NI above ya mwanadamu. Siasa za majitaka misweke kwenye dini. MTAWATAMBUA kwa matunda yao. MUNGU HAna usanii. Nyumba ya MUNGU haiwezi kuwa sehemu ya mipasho. „Yesu aliwachapa wale waliokuwa wanafanya biashara hekaluni ....

Eti albadili. Yani humu kuna either Watoto wa shule ya msingi or mapungasese na mashirikina. Je Lema kutembea na Flash Sio matunda ya albadiri. Sooo stupid
 
Mkuu ukiwa unategemea habari za tanzania,na wasomi wao na ccm yao, na mitizamo yao,Utakuwa ktk mzunuko fulani wa ujinga wa kutosha kukuaminisha wenye akili ndio wajinga. Utakuwa ktk wale Yesu aliwasamehe na kuwaombea kwa Baba wasamehewe kwa vile wanafanya uovu bila kujua watendalo.

hakika!
 
Mange n mjinga tu kama ulivyo wewe, who is mange...wtf
Kam humjui anakuwsha nini?Utamchukiaje kuku hujawahi mwonja?Si utakuwa mjinga sana.Unachukia kitu hukijui ? Ndio mnategemea kuwa wagunduzi.Mtasubiri sana kufafanuliwa na mwenyekiti ,kwa hili sidhani hadi mzame nalo.
 
Du. What a stupid generation. Speak your politics ,fit them just the way you like. Now you have turn to The HOLY Bible you want to to make an exegesis to fit your chademansis. Mind. Of all the people Mange with such a dirty mouth. Attacking innocent children ,people who are above her ,every 7/24 sitting in Innstagram. While ana familia. Then Leo muishike biblia na kuweka upuuzi huu. Jamani MUngu Sio abunuasi. „njia zake Sio njia zetu ,mawazo yake Sio mawazo yetu. Kama mbingu ilivyo juu zaidi ya dunia mawazo ya MUNGU NI above ya mwanadamu. Siasa za majitaka misweke kwenye dini. MTAWATAMBUA kwa matunda yao. MUNGU HAna usanii. Nyumba ya MUNGU haiwezi kuwa sehemu ya mipasho. „Yesu aliwachapa wale waliokuwa wanafanya biashara hekaluni ....

Eti albadili. Yani humu kuna either Watoto wa shule ya msingi or mapungasese na mashirikina. Je Lema kutembea na Flash Sio matunda ya albadiri. Sooo stupid
Unanikumbusha boya fulani tukiwa nae ktk flight . kulikuwa na wazungu kadhaa na wengine nilikuwa nao safari moja.JAMAA ALIKUWA ZOBA FULANI KM WEWE, ALIKUWA AKISIFIA UJAMAA NA KIONGOZI WA TZ KWA MBWEMBWE.KWA VILE ALIAMINI ANAONGEA KITU NZURI SANA INAYOWEZA ONEWA WIVU NA WATU WA NJE ALIAMUA KUSWITCH KTK KIINGEREZA KIKAVU CHA KIBONGO AMBACHO HADI UPATE MAANA.UNAYO SHUGHULI. WALE WAZUNGU WALIISHIA KUSHANGAA SANA.JAMAA KAONA NINI CHA KUMVUTIA HADI AJARIBU HIVYO KUWAFIKISHIA UJUMBE, NA UJUMBE WENYE KUTIA HURUMA HIVYO. WALIKUWA WANAMFANANISHA NA MTU ALIYEBAKWA HALAFU ANAJARIBU KUSIFIA MBAKAJI NA TABIA YA UBAKAJI. KWANI MANGE AKIWA NA DIRTY MOUTH HAWEZI TUMIA HUO MDOMO KUONGEA CLEAN WORDS? Hujasoma Injili Yesu aliwauliza wale jamaa waliomfumania yule dada asiye na dhambi awe wa kwanza kutupa jiwe?Wewe umetukana chadema,na kushughudia uongo dhidi ya Lema na lissu, na Mbowe,na lowasa mara ngapi? umesafisha mdomo n akili yako?

Nani kakuambia Yesu alikuja kwa ajili ya wazima? kaja kukomboa, mkombozi haji kukomboa walio huru. Au ccm ndivyo mnafanya km shetani baba yenu?Shetani hudhani hivyo na kuingilia vilivyositawi ili abomowe.Km mlivyo bomoa halmashauri za majiji, km mlivyobomoa biashara za hoteli, km mlivyobomoa kila mlichogusa.

Nani kakuambia kila kitu Yesu alileta kipya?ahakuja kutengua ila kukalimisha.Na hakuleta mambo magumu aliyoweza yeye tuu.ila alikuja kuyaishi pia maisha haya ili tujifunze kwake,na tuishi hivyo.Asingetupa kuliko uwezo wetu isingekuwa haki.
 
Unamuongelea Gwajima mwenye majini ktk utumishi wake hebu tuondolee ujinga hapa.. Mtu anatumia majini halafu unasema ni Yohana mbatizaji?
Hebu toa ushahid kuwa anatumia majini kwenye utumishi wake.

Kwa wakristo ni hali ya kawaida hasa ukiwa na imani kweli kwa Mungu na ukimwamin Yesu kristo basi jua roho mtakatifu daima yupo nawe maana ndiyo Yesu kristo alituachia
 
Teh teh, off course wahurumie hao jamaa.Asiye upande wa Mungu wetu ana haki ya mitazamo yake ya laana kumwona Mungu wetu ni adui yake na kumwita shetani kwa vile keshamwita shetani mungu. Gwajima aliamuru mapepo yalitoka kwa muumini aliyekuwa akiombewa yaende kwa haramia wa jiji. Angeweza yafukuza na kuyaambia yarudi yalipotoka ila kwanini. Kwa vile lazim yatii mari kwa jina la Yesu akayaambia yaende kwa muovu. Hawataki kukubali hiyo kweli.
 
Back
Top Bottom