Beatrice Kamugisha
JF-Expert Member
- May 18, 2019
- 762
- 6,980
Mchungaji Gwajima alisimamia mchakato wa Lowasa kuingia UKAWA, akasimamia Dr. Slaa kwenda ughaibuini baada tu ya kampeni 2015, kisha akasimama kuinanga CCM kabla ajaingia madarakani JPM.
Baada yakuingia JPM akabadilika na mwisho akaingia kwenye meza yamazungumzo na kuomba radhi Jambo lililopelekea azawadiwe Ubunge.
Kwa nafasi yake kiimani wakati anayafanya haya huko sirini aliongozwa na roho gani? Je, toba ya haya uifanya sirini au upo wakati utafika atatubu adharani kwamba aliishi kidunia zaidi kuliko kusimamia imani? Lini ataomba toba kwa kujitaftia vyeo vya Dunia kwa ila huku akiiacha kweli?