jmushi1
Platinum Member
- Nov 2, 2007
- 24,989
- 22,521
Nadhani Nyerere altaifisha makampuni ambayo kwa kiasi kikubwa yalistrive kwa sababu ya jasho la wananchi ama rasilimali zake, na kuendelea kumilikiwa na watu hao ni sawa na kuweka serikali rehani ama mfukoni mwa watu hao...Kwa hiyo ndio maana Nyerere akataifasha mali zao?
Kutokana na upepo wa Nationalism uliokuwepo kwa kipindi kile na aina ya Taifa mwalimu alilotaka kujenga, then yes, that step was a neccessary one.
Mostly mwalimu alfanya hayo for national security purposes...