TANZIA Mch. Christopher Mtikila afariki baada ya kupata ajali, Msolwa - Chalinze mkoani Pwani

teamlowassa, ukweli unabaki kuwa lowassa afya yake sio imara, hawezi kutuongoza kama taifa, tunataka rais aliye na afya imara. Tunaposema lowassa hana afya ya kutosha, sio tusi, tunasema ukweli, msichanganye madawa kuwa tunamtakia lowassa mauti, tunampenda lowassa na ametutumikia kama waziri mkuu, tunampenda sana, na tunamtakia maisha marefu sana mzee wetu, ila kiafya hayuko sawa, kazi ya urais inahitaji body & soul, iko very demanding!
naona vijana wa lowassa mnatoka nje ya mada.
Afya ya lowassa lazima tuiongelee, mtake msitake, anagombea urais na anaonekana hayupo na afya ya kutosha ukilinganisha na wagombea wengine.

lazima tuseme na nyie ni watu wazima mjifunze hata ukubwani sio mbaya, mjifunze kusikia msiyoyapenda.

bado wewe!get ready! Nawaonya hamuelewi tu!
 
Ikulu sio icu-mtikila

hebu FaizaFoxy njoo urudie maneno yako pendwa hapa
hii dunia mapito anakufa mmoko mmoko tu
r.i.p rev


Kifo ni kifo na ugonjwa ni ugonjwa.

Ikulu siyo ICU - Mtikila.

Na Lowassa hatumchagui, ni mgonjwa sana tena mpaka anafanya mavituz (kama chato).
 

Mkuu asante kutuletea hii taarifa na kuifanya jf iendelea kuwa chaneli ya be the first to know, lakini habari kama hizi za vifo, hazipaswi kutolewa bila verification!.

Vifo vinavyotokana na ajali, verification hufanya na competent authorities kama medical doctor au polisi na sio mashuhuda!.

Mode: Tuwe makini sana!.

Kama ni kweli

Mode nakuomba uzifunge rasmi thread zangu hizi
Uso kwa Uso na Mtikila- Akataa Hongo ya Millioni 100! -


Mtikila Kutinga Arumeru!. Adaiw Shetani ni Afadhali Kuliko .


Kitendo Cha Rev. Mtikila Kugomea Arrest!, Kinastahili Pongezi


RIP Mchungaji Mtikila.

Pasco
Pamoja na cautions zako zote hizo..ila na wewe ukawepa RIP!Umeshathibitisha?
 
Mungu hapendi mzaha kwani yeye ndiye humpa mja wake afya na maradhi kwa hiyo basi kifo chake ni fundisho kwa wengine km akina Mwigulu et el.

pole sana kwa wafiwa, Mungu awatie nguvu katika kipindi hiki kigumu cha majonzi, Bwana ametoa Bwana ametwaa, jina lake linimidiwe.

NB:
Kifo cha mch. mtikila ni ujumbe mzito kwa akina NAPE, MWIGULU, LUSINDE, MAKONGORO NYERERE, BULEMBO, MSUKUMA na wengine mnaojiona mna mandate ya kukadiria uhai wa mtu wakati hiyo ni kazi ya Mungu na ni SIRI yake peke yake. Kumbuka marehemu Celina Kombani pia alikashifu afya ya Lowassa alipohamia CDM. akisema bora amehama angetufia bure acha akifie huko chadema…kama mna akili na utashi ACHENI KUKASHIFU UHAI WA WATU fanyeni kampeni za kukinadi chama chetu
 
Alimkashifu lowasa kuhusu ugonjwa,mpaka akatishia kumshitaki mahakamani kwamba kwa nini anagombea wakati ni mgonjwa

Ukawa mnatisha, kumbe ndiyo maana Dr. Slaa alihama nyumba baada ya vitisho vyenu. Anawajueni, mtie ila yeye alizoea kuwashambulia CCM Waungwana.
 
TEAMLOWASSA, ukweli unabaki kuwa Lowassa afya yake sio imara, HAWEZI KUTUONGOZA kama taifa, tunataka rais aliye na AFYA imara. TUNAPOSEMA LOWASSA HANA AFYA YA KUTOSHA, sio tusi, tunasema UKWELI, msichanganye madawa kuwa tunamtakia Lowassa mauti, Tunampenda Lowassa na ametutumikia kama waziri mkuu, TUNAMPENDA SANA, na tunamtakia maisha marefu sana mzee wetu, ila KIAFYA HAYUKO SAWA, kazi ya urais inahitaji body & Soul, iko very demanding!
Naona Vijana wa Lowassa mnatoka nje ya mada.
AFYA YA LOWASSA LAZIMA TUIONGELEE, mtake msitake, anagombea urais na anaonekana hayupo na afya ya kutosha ukilinganisha na wagombea wengine.

LAZIMA TUSEME na nyie ni watu wazima mjifunze hata ukubwani sio mbaya, mjifunze kusikia msiyoyapenda.


Ahsante Mkuu Barafu ya Moto,

Ugonjwa ni ugonjwa tu na msiba ni msiba tu. Wanajamvi tutumie busara. Hatufurahii ugonjwa au mauti kwa Mtanzania yeyote, au hata binadamu yeyote. Ila tunasema uongozi wa taifa siyo lelemama. Uongozi mwa mkoa , wilaya , kijiji au shirika, kampuni, idara, taasisi ni mtihani tosha sembuse Uamiri Jeshi Mkuu ! Pili ukisha jitokeza kugombea uongozi wa umma uwe tayari kujadiliwa, lazima uwe na stamina ya kuhimili mihemko na hoja -of course baadhi zenye maudhi matupu. Hiyo ndiyo siasa.

Ugua pole Mzee Lowasaa na Mungu akupe ahueni ! Na Mungu akuweke Mzee Mtikila mahali pema peponi. Wewe kazi yako umeimaliza na Watanganyika watakukumbuka.
 
Vipi Celina Combani? Hata yeye alisema bora Lowasa kahama ili akafie Chadema.. Na kifo chake kichunguzwe pia?

Kweli kabisa;hata sasa hivi anaweza kuunda tume yake ichunguze vifo vya celina na mtikila hakuna wa kumzuia hii ni nchi huru
 
Apumzike kwa amani........liwe fundisho kwa tuliobaki tujifunze kuwaombea wengine mema tutabarikiwa sana!
 
mmezidi kumdhihaki Mungu,pigo baada ya pigo...ni mwaka wa Mungu kulipa kisasi!

"nec wametuwekea jambazi na marehem kugombea urais"-by NAPE
 
R. I. P CM

NUMEONA video yake ya mwisho Star Tv . Kweli mungu hupanga kabla sisi kuzaliwa. Inadhihirisha mwabadamu si chembe mbele ya mipango ya Mungu. Midomo yetu tunashindwa kuitawala.
 
Heri wafao kabla ya lowasa kwani wamekufa kwa ajali na ajali haina kinga. Hii ni tofauti na kumuingiza mgonjwa ikulu kwani hilo lina kinga. Ya sababu gani kuendelea kuishi na ugonjwa huku ukipigania kuingia ikulu kwenye mlima wa majukumu badala ya kupigania afya yako? Je siyo kwamba unakimbia ikulu kwa ajili ya kuweka mazingira mazuri ya kulinda mali zako zenye maswali meeeengiiii?

Kweli sikio la kufa....Kwa hiyo wewe unafikiri uko vizuri kwa sababu ya juhudi zako za kupigania afya yako! Pole sana kuna kweli bado hujaijua!
 
Back
Top Bottom