MCC: Vita kati ya Serikali ya Magufuli na vibaraka (Wadau wa Richmond, Dowans na Symbion)

Wao wenyewe na historia yao ya kabla ya mapinduzi..wenye asili ya uarabu/sultans dhidi ya wenye asili ya africa...baada ya mapinduzi hawajaweza kuzika tofauti zao...na hii ilichangiwa na nature ya vyama walivyovianzisha kuwa na muelekeo wa ki ethnicity
Kwa hio mkaona muwaongezee na Jina jipya 'machotara' sio?
 
Usitake kuwaondoa watu kwenye mada, uchaguzi wa Zanzibar usiwe mada , nimelizungumzia vizuri sana, kwanini leo uwe sababu? 1997 watu walikufa kule Zanzibar Marekani walikuwa wapi? Mpaka inakuja kuundwa serikali ya Umoja wa Kitaifa nani alisikia kauli ya Marekani? LOWASSA bado alikuwa CCM na alikuwa akifanya kazi aliyotumwa vizuri sana, sasa baada ya kutoka imekuwa NONGWA? Watanzania lazima tusimame imara , nyie mnaotaka kutupeleka LIBYA na MISRI mshindwe na mregee na LOWASSA wenu.
wewe tatamadiba unaonyesha una chuki na laigwanan kwanza ushaambiwa masharti ya hizo fedha za mcc fanya utafiti je mwaka 1997 tulikuwa tunapokea hizo hela? kama jibu siyo basi marekan asingeweza kuonyesha effect yoyote mana hakuwa na mkataba wowote wa kutufunga naye
 
Haujui ulisemalo, kachimbe vizuri utajua Symbions siyo kama unavyo ijua. Hiyo ni kampuni ya Kijasusi ya Marekani na ndiyo maana ina operate kwenye nchi ambazo Marekani inaziingilia kijeshi kwa kisingizio cha kutetea demokrasia. Kama umelala, amka.
Most idiotic comment I have ever heard
Marekani inaingilia kijeshi Tanzania?
 
Shirika la misaada ya Marekani, MCC limesitisha msaada wake wa awamu ya pili kwa Tanzania kwa kisingizio cha Uchaguzi wa Zanzibar na Sheria ya Makosa Mitandaoni.

Uongo mkubwa. Marekani siyo wageni wa siasa za Zanzibar, wapo siku zote, Adui namba moja wa Marekani ni Muislamu kutokana na dhana yao potofu kwamba Ugaidi duniani unatekelezwa na Waislamu. Vita yao ya Ugaidi katika nchi za kiislamu zinadhihirisha hilo. Kauli ya Mgombea urais mmoja nchini humo iladhihirisha hilo. Zaidi ya 85% ya ndugu zetu wa Zanzibar ni Waislamu. Leo Marekani ni rafiki yao? Kichekesho.

Marekani ni Wakeukaji wakubwa wa haki za binadamu na faragha. Ni marekani haohao walioingia mgogoro na Ujerumani na Brazil kutoakana na kitendo cha kuingilia mawasiliano ya marais wa nchi hizo, Marekani hata ukienda Chooni unamulikwa na Kamera. Nani wa kulalamikia vitendo hivyo? Au kwa sababu wao ni baba wa Dunia? Kunya anye kuku, akinya Bata Kaharisha.

SITISHO hilo limekuja siku chache baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Daktari John Pombe Magufuli kusema kuwa anakerwa sana na Mikataba isiyo na tija kwa Taifa na kutolea mfano mkataba unaoifanya Kampuni ya SYMBIONS ya Marekani kufanya shughuli zake nchini.

Aidha SITISHO hilo la MCC awamu ya pili limeungwa mkono kwa haraka sana na CHADEMA(chama ambacho Aliyejiuzulu kwa kashfa ya RICHMOND ambayo mitambo yake ilinunuliwa na SYMBIONS, kampuni ambayo inatoka katika nchi inayositisha msaada wa MCC aligombea urais kupitia kwa chama hicho na kugharagazwa na rais anayejongoza Serikali inayokataa kulamba miguu ya Wazungu). Tamko hilo limetolewa kupitia kwa Waziri Kivuli- Mambo ya nje. Tena akisema kuchelewa kusitishwa kwa msaada wa MCC kumechelewa sana.

Tatizo siyo Uchaguzi wa Zanzibar wala Sheria ya Makosa Mitandaoni, tatizo ni RICHMOND, DOWANS NA SYMBIONS.

Richmond ndiyo ilipelekea Edward Lowsssa kushinikizwa kujiuzulu nafasi ya Uwaziri Mkuu mwaka 2008. Mpaka leo Lowassa anasema Mkataba wa Richmond ulikuwa halali na kwamba kujiuzulu kwake kulitokana na watu kuitaka nafasi ya Uwaziri Mkuu na siyo Mkataba feki wa Richmond.

Symbions , Kampuni ambayo ilinunua mitambo ya Richmond na ambayo mpaka leo inalipwa mamilioni ya pesa ambazo ni jasho la walipa kodi wanyonge pamoja na kufanya shughuli zake Tanzania, inaendesha shughuli zake sana katika nchi ambazo zimeumizwa sana na Marekani kwa njia ya vita kwa kisingizio cha kutetea haki za binadamu. Symbions iko katika nchi za Iraq, Mashariki ya Kati, Haiti, Afighanistan na zingine nyingi.

Ujasiri wa LOWASSA kusimama tena bila aibu na kusema RICHMOND ilikuwa halali hautokani na kitu kingine bali U-KIBARAKA wake kwa Marekani. Mahojiano yake na gazeti la "THE CITIZEN" la Mei 30, 2015 alipoulizwa kama mkataba wa Richmond ulikuwa halali unathibitisha ukweli huu pale alipojibu na kusema "It took a former US Secretary Of State, Hillary Clinton and US president, Barack Obama to come to Tanzania to confirm that the power generating plant was Okay" akimaanisha "Iliwachukua Katibu wa Ikulu ya Marekani , Hillary Clinton na Rais wa Marekani , Barack Obama kuja Tanzania kuthibitisha kuwa mtambo wa kuzalisha Umeme ulikuwa safi"(Tafsiri yangu). Kwa undani juu ya mahojiano kati ya LOWASSA na gazeti la the citizen, soma hapa: http://www.thecitizen.co.tz/News/Ric...z/-/index.html

Aliyekuwa Mbunge wa Igunga (CCM) na mshirika mkubwa wa Lowssa, ROSTERM AZIZ, ambaye kwa sasa kimya chake hakuna ajuaye kina maana gani na hakuna ajuaye alipo kwa sasa ni alikuwa mdau mkubwa sana wa RICHMOND, DOWANS na SYMBIONS. Rosterm alijaribu kukanusha kuwa hakuw na ubia wowote na Richmond , lakini mmoja wa waanzilishi wa Richmond, bwana GIRE alithibitisha kuwa Rosterm alikuwa ni mmoja wa wamiliki wa RICHMOND. GIRE alithibitisha hilo wakati anawasilisha nyaraka mbele ya Mahakama ya kimataifa kitengo cha Biashara(International Chamber of Commerce-ICC) wakati wa Sakata la TANESCO na DOWANS. soma hapa:http://www.theeastafrican.co.ke/news...z/-/index.html

Moja ya Changamoto ambayo Nchi za Kiafrika ambazo zinaonekana kuwa na misimamo ya kukataa kuwalamba miguu WAZUNGU ni pamoja na kuwa na VIBARAKA wa Wazungu ndani ya nchi hizo. Kenya, Uganda, Zimbabwe, Rwanda, Libya, Misri, Tunisia na nyingine nyingi zimekumbana na changamoto hiyo. Kenya, Uganda na Zimbabwe zinaelekea kuishinda changamoto hii siyo kwa sababu nyingine, bali misimamo ya Wananchi wake kupitia masanduku ya kura , upashanaji habari kupitia mitandao ya kijamii, vyombo vingine vya habari n.k. Misri, Tunisia, Libya wananchi wake hivi sasa wanajuta kwa sababu waliwafuata VIBARAKA.

NI zamu yetu Watanzania, kuamua kusuka au Kunyoa. Mwaka 2020 siyo mbali, kwa mara ya kwanza tutashuhudia MAREKANI wakitoa mapesa mengi kuhakikisha VIBARAKA wake wanaingia ikulu. Ni lazima wafanye hivyo kwa sababu sasa wanaamini chini ya JPM ni vigumu sana kujipenyeza kwenye rasilimali zetu.

Ni wajibu wetu Wananchi kusimama kama walivyosimama Uganda, Kenya, Zimbabwe, Rwanda n.k
Serikali nayo ifanye juhudi zote kung'amua haraka sana misaada yenye masharti kama MCC, kung'amua vibaraka wa Wazungu kama akina ROSTERM na Washrika wake.

Ujinga na ukenge unatujazia upupu humu jf
 
Mafikirio mapama lakini yamejaa mavi na mkojo...nipo nje nakula upepo
 
Kwa hiyo ukiukwaji wa Demokrasia huko Zanzibar ni halali kwa kuwa 85% ya watu huko ni waislam ambao hawatakiwi na Marekani?
Demokrasia gani ya kumpa mtu wa hovyo kutawala nchi ? Zanzibar ni nchi ya kimapinduzi , vibaraka wa waarabu hawana nafasi ya kuongoza hata tukinyimwa misaada miaka mia
 
Acha kupotosha marekani adui wa kiislam kivipi? Tawalla za saudi,Bahrain,Qatar na Kuwait zote anazilinda marekani kama swala la ugaidi vikundi vya kiislam vinasumbua dunia nzima kuanzia Philippines,china,Thailand,India,Pakistan,Indonesia,na mashariki ya kati yote
 
Wazungu ni watu tu Kama wewe, walimuweza Gadafi kwakuwa wananchi walikubali kutenganishwa na serikali Yao ila Kama sisi wananchi tutakuwa kitu kimoja na serikali ya JPM hao wazungu itakula kwao Kama Zimbabwe
wazungu huwajui wewe shikamooo wazungu
 
Wazungu ni watu tu Kama wewe, walimuweza Gadafi kwakuwa wananchi walikubali kutenganishwa na serikali Yao ila Kama sisi wananchi tutakuwa kitu kimoja na serikali ya JPM hao wazungu itakula kwao Kama Zimbabwe
nawapenda sana wa tz kwa unafiki leo unasema hivyo lakini yakikubana tu unakua wa kwanza kulalama
 
Usitake kuwaondoa watu kwenye mada, uchaguzi wa Zanzibar usiwe mada , nimelizungumzia vizuri sana, kwanini leo uwe sababu? 1997 watu walikufa kule Zanzibar Marekani walikuwa wapi? Mpaka inakuja kuundwa serikali ya Umoja wa Kitaifa nani alisikia kauli ya Marekani? LOWASSA bado alikuwa CCM na alikuwa akifanya kazi aliyotumwa vizuri sana, sasa baada ya kutoka imekuwa NONGWA? Watanzania lazima tusimame imara , nyie mnaotaka kutupeleka LIBYA na MISRI mshindwe na mregee na LOWASSA wenu.

Kama umetumwa, sawa maana inawezekana usipoandika ushuzi huu hutakula. Ila kama umeandika mawazo yako mwenyewe then it's obvious that white thing in ur skull called brain is dead. Umebakiwa na ile subconscious part inayoendesha uhai wako tu. Men this is not about CCM or UKAWA acheni kureason kibwabwa bwabwa eti mbona kila siku huwa tuna-rig election na hawatunyimi misaada!!!

Hata hivyo, wafuga mbwa wenyewe wanaowatuma wanaelewa mziki huu ila kutokana tu na immaturity iliyoonyeshwa na administation hii wanaresort kwenye kuonyesha ego kwa nje tu. Mkulu mwenyewe kaenda kupumzika ili arefresh mind, hii ngoma nzito. Tuombe tu arudi vizuri
 
Neno Fisadi litaendelea kuwa na maana ileile ambayo JPM anaitumia kutumbua MAJIPU ya MAFISADI wa Chama Cha Mapinduzi-CCM. Ndiyo maana mpaka dakika hii JPM hajamgusa LOWASSA kwa vile anajua maana halisi ya Neno Fisadi.
Najua bado hajamaliza kutumbua majipu japo ameshaigusa tayari familia ya Lowassa.
Hata hivyo kama asipomgusa kabisa Lowassa imani ambayo nimeshampa Magufuli itashuka mpaka sifuri. Mtu pekee nitakayebaki nikimuamini atabaki kuwa dokta Slaa.
 
Shirika la misaada ya Marekani, MCC limesitisha msaada wake wa awamu ya pili kwa Tanzania kwa kisingizio cha Uchaguzi wa Zanzibar na Sheria ya Makosa Mitandaoni.

Uongo mkubwa. Marekani siyo wageni wa siasa za Zanzibar, wapo siku zote, Adui namba moja wa Marekani ni Muislamu kutokana na dhana yao potofu kwamba Ugaidi duniani unatekelezwa na Waislamu. Vita yao ya Ugaidi katika nchi za kiislamu zinadhihirisha hilo. Kauli ya Mgombea urais mmoja nchini humo iladhihirisha hilo. Zaidi ya 85% ya ndugu zetu wa Zanzibar ni Waislamu. Leo Marekani ni rafiki yao? Kichekesho.

Marekani ni Wakeukaji wakubwa wa haki za binadamu na faragha. Ni marekani haohao walioingia mgogoro na Ujerumani na Brazil kutoakana na kitendo cha kuingilia mawasiliano ya marais wa nchi hizo, Marekani hata ukienda Chooni unamulikwa na Kamera. Nani wa kulalamikia vitendo hivyo? Au kwa sababu wao ni baba wa Dunia? Kunya anye kuku, akinya Bata Kaharisha.

SITISHO hilo limekuja siku chache baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Daktari John Pombe Magufuli kusema kuwa anakerwa sana na Mikataba isiyo na tija kwa Taifa na kutolea mfano mkataba unaoifanya Kampuni ya SYMBIONS ya Marekani kufanya shughuli zake nchini.

Aidha SITISHO hilo la MCC awamu ya pili limeungwa mkono kwa haraka sana na CHADEMA(chama ambacho Aliyejiuzulu kwa kashfa ya RICHMOND ambayo mitambo yake ilinunuliwa na SYMBIONS, kampuni ambayo inatoka katika nchi inayositisha msaada wa MCC aligombea urais kupitia kwa chama hicho na kugharagazwa na rais anayejongoza Serikali inayokataa kulamba miguu ya Wazungu). Tamko hilo limetolewa kupitia kwa Waziri Kivuli- Mambo ya nje. Tena akisema kuchelewa kusitishwa kwa msaada wa MCC kumechelewa sana.

Tatizo siyo Uchaguzi wa Zanzibar wala Sheria ya Makosa Mitandaoni, tatizo ni RICHMOND, DOWANS NA SYMBIONS.

Richmond ndiyo ilipelekea Edward Lowsssa kushinikizwa kujiuzulu nafasi ya Uwaziri Mkuu mwaka 2008. Mpaka leo Lowassa anasema Mkataba wa Richmond ulikuwa halali na kwamba kujiuzulu kwake kulitokana na watu kuitaka nafasi ya Uwaziri Mkuu na siyo Mkataba feki wa Richmond.

Symbions , Kampuni ambayo ilinunua mitambo ya Richmond na ambayo mpaka leo inalipwa mamilioni ya pesa ambazo ni jasho la walipa kodi wanyonge pamoja na kufanya shughuli zake Tanzania, inaendesha shughuli zake sana katika nchi ambazo zimeumizwa sana na Marekani kwa njia ya vita kwa kisingizio cha kutetea haki za binadamu. Symbions iko katika nchi za Iraq, Mashariki ya Kati, Haiti, Afighanistan na zingine nyingi.

Ujasiri wa LOWASSA kusimama tena bila aibu na kusema RICHMOND ilikuwa halali hautokani na kitu kingine bali U-KIBARAKA wake kwa Marekani. Mahojiano yake na gazeti la "THE CITIZEN" la Mei 30, 2015 alipoulizwa kama mkataba wa Richmond ulikuwa halali unathibitisha ukweli huu pale alipojibu na kusema "It took a former US Secretary Of State, Hillary Clinton and US president, Barack Obama to come to Tanzania to confirm that the power generating plant was Okay" akimaanisha "Iliwachukua Katibu wa Ikulu ya Marekani , Hillary Clinton na Rais wa Marekani , Barack Obama kuja Tanzania kuthibitisha kuwa mtambo wa kuzalisha Umeme ulikuwa safi"(Tafsiri yangu). Kwa undani juu ya mahojiano kati ya LOWASSA na gazeti la the citizen, soma hapa: http://www.thecitizen.co.tz/News/Ric...z/-/index.html

Aliyekuwa Mbunge wa Igunga (CCM) na mshirika mkubwa wa Lowssa, ROSTERM AZIZ, ambaye kwa sasa kimya chake hakuna ajuaye kina maana gani na hakuna ajuaye alipo kwa sasa ni alikuwa mdau mkubwa sana wa RICHMOND, DOWANS na SYMBIONS. Rosterm alijaribu kukanusha kuwa hakuw na ubia wowote na Richmond , lakini mmoja wa waanzilishi wa Richmond, bwana GIRE alithibitisha kuwa Rosterm alikuwa ni mmoja wa wamiliki wa RICHMOND. GIRE alithibitisha hilo wakati anawasilisha nyaraka mbele ya Mahakama ya kimataifa kitengo cha Biashara(International Chamber of Commerce-ICC) wakati wa Sakata la TANESCO na DOWANS. soma hapa:http://www.theeastafrican.co.ke/news...z/-/index.html

Moja ya Changamoto ambayo Nchi za Kiafrika ambazo zinaonekana kuwa na misimamo ya kukataa kuwalamba miguu WAZUNGU ni pamoja na kuwa na VIBARAKA wa Wazungu ndani ya nchi hizo. Kenya, Uganda, Zimbabwe, Rwanda, Libya, Misri, Tunisia na nyingine nyingi zimekumbana na changamoto hiyo. Kenya, Uganda na Zimbabwe zinaelekea kuishinda changamoto hii siyo kwa sababu nyingine, bali misimamo ya Wananchi wake kupitia masanduku ya kura , upashanaji habari kupitia mitandao ya kijamii, vyombo vingine vya habari n.k. Misri, Tunisia, Libya wananchi wake hivi sasa wanajuta kwa sababu waliwafuata VIBARAKA.

NI zamu yetu Watanzania, kuamua kusuka au Kunyoa. Mwaka 2020 siyo mbali, kwa mara ya kwanza tutashuhudia MAREKANI wakitoa mapesa mengi kuhakikisha VIBARAKA wake wanaingia ikulu. Ni lazima wafanye hivyo kwa sababu sasa wanaamini chini ya JPM ni vigumu sana kujipenyeza kwenye rasilimali zetu.

Ni wajibu wetu Wananchi kusimama kama walivyosimama Uganda, Kenya, Zimbabwe, Rwanda n.k
Serikali nayo ifanye juhudi zote kung'amua haraka sana misaada yenye masharti kama MCC, kung'amua vibaraka wa Wazungu kama akina ROSTERM na Washrika wake.
Sasa hivi tunashuhudia serikali ya awamu ya tano ikiwafikisha mahakamani baadhi ya waliokuwa viongozi wa kada mbali mbali na mawaziri kwa makosa mbali mbali waliyofanya wakiwa madarakani. Swali langu kwako wewe mleta mada. Kuna ugumu gani ama kuna mpango wowote wa kuwafikisha mahakamani wahusika wa Richmond, Symbioni, Escroll, Deep green, Meremeta na wengine wote waliofanikisha mikataba ya kinyonyaji inayoumiza taifa mpaka leo? Hao MCC ile pesa yao na wangeweza kuacha kuisaidia TZ pasipo kutoa sababu yoyote, sisi tuangalie hiki chetu kilicholiwa na kinachoendelea kuliwa na wachache. Siasa kila mahali hazitufikishi popote. KWA NINI VYOMBO HUSIKA VYENYE MIKONO MIREFU HAVIMFIKISHI MAHAKAMANI LOWASA NA ROSTAMU ILI WENGINE TUJUE ZIPI MBICHI NA MBIVU?
 
Back
Top Bottom