Mc Pilipili, Wana Apolo tumeona mkeo, Endelea Kumzungusha Siku Moja utalia zaidi!

chotera

JF-Expert Member
May 19, 2016
6,300
15,018
Wakuu
Kamati ya wana apolo imekaa na kujizatiti kumfundisha adabu mc pili pili kwa kufanya makosa yafuatayo
1.kutangaza mahari ya mchumba wake kua ni milioni nane ambazo anaona ni nyingi na tena anadaiwa hizo milioni tatu
2.kitendo cha kulia hiki kimefanya kikao chetu kuamua na kuazimia yafuatayo.

Kwanza inabidi mtoto yule apate mwana apolo ili atulie, hivo huyu jamaa hafai kukaa na ile shepu maana atakua analia kila siku.
Aendelee kufanya media tour maana iko siku atazunguka peke yake kwenye hizo media huku mtoto akiwa na wana apolo.
Mtoto mzuri yule anatakiwa apate mwanaume na sio mtoto wa kiume kutoka Dodoma.
 
hana hamu
47691340_2122776837781274_8958838085541017221_n.jpg
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom