Mc Pilipili, Wana Apolo tumeona mkeo, Endelea Kumzungusha Siku Moja utalia zaidi!


Smart911

Smart911

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2014
Messages
22,331
Likes
20,755
Points
280
Smart911

Smart911

JF-Expert Member
Joined Jan 3, 2014
22,331 20,755 280
Ngoja tuone...


Cc: mahondaw
 
zeshchriss

zeshchriss

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2017
Messages
6,056
Likes
8,236
Points
280
zeshchriss

zeshchriss

JF-Expert Member
Joined Apr 27, 2017
6,056 8,236 280
monde arabe

monde arabe

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2017
Messages
3,684
Likes
4,516
Points
280
monde arabe

monde arabe

JF-Expert Member
Joined Oct 22, 2017
3,684 4,516 280
Wakuu
Kamati ya wana apolo imekaa na kujizatiti kumfundisha adabu mc pili pili kwa kufanya makosa yafuatayo
1.kutangaza mahari ya mchumba wake kua ni milioni nane ambazo anaona ni nyingi na tena anadaiwa hizo milioni tatu
2.kitendo cha kulia hiki kimefanya kikao chetu kuamua na kuazimia yafuatayo.

Kwanza inabidi mtoto yule apate mwana apolo ili atulie, hivo huyu jamaa hafai kukaa na ile shepu maana atakua analia kila siku.
Aendelee kufanya media tour maana iko siku atazunguka peke yake kwenye hizo media huku mtoto akiwa na wana apolo.
Mtoto mzuri yule anatakiwa apate mwanaume na sio mtoto wa kiume kutoka Dodoma.
Noma sana!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
monopoly inc

monopoly inc

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2016
Messages
837
Likes
1,038
Points
180
Age
49
monopoly inc

monopoly inc

JF-Expert Member
Joined Dec 20, 2016
837 1,038 180
Ngoma ikivuma sana vuuu vuuu mwisho wake ni kupasuka, namuonea huruma huyu pilipili mwisho wake utakuwa mbaya sana
 
Numbisa

Numbisa

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2016
Messages
114,576
Likes
497,552
Points
280
Numbisa

Numbisa

JF-Expert Member
Joined Dec 12, 2016
114,576 497,552 280
Picha zipo za kutosha,angalia nyuzi zinazomhusu pilipili utamuona huyo mwanamke
Mkuu kama hutojali unaweza kuipandisha hapa picha ya huyo mwanamke wake?

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
Value

Value

Senior Member
Joined
Jan 4, 2019
Messages
185
Likes
219
Points
60
Value

Value

Senior Member
Joined Jan 4, 2019
185 219 60
Naona hii couple ikivunjika muda si mrefu...

Pamoja na Mc pilipili kuwa na uzoefu wa hizi mambo ya mahusiano, lkn namuona bado ni mlimbukeni...

Sent using Jamii Forums mobile app
Ila.mangi aisee.kutoa mahari milioni 8 aisee ni uharibifu wa pesa. Max ingekuwa 2m! Nyingine awekeze
 

Forum statistics

Threads 1,251,870
Members 481,917
Posts 29,788,371