Mc Pilipili: Gwiji la VICHEKESHO DUNIANI akiwa London

pongezi kwake aisee...alikamua sana siku ya komedi gala iliyoandaliwa na azam tv.
ila asibweteke.
 
Mitanganyika ndivyo tulivyo mkuu, hatuwezi furahis kuona mwenzetu anatusua na kusifiwa. Hapa uzi ungekua unasema Eric Omondi au Kevin Hart ndo magwiji wa kuchekesha wote wangekuja kusifia ila sababu ni pilipili mtanzania mwenzetu ambaye tunamfahamu hatuwezi vumilia kuona anasifiwa. Kama ambavyo hatupendi kuona Dayamondi anaendelea, Hakuna uchawi zaidi ya huu

Kweli kabisa ndugu yangu.....

Sijui mtu anapata raha gani kumuona mwenzie akiteseka na familia yake alafu yeye ndiye akiwa chanzo cha mateso hayo....!!!
 
Watanzania tuna roho mbaya sana.....tumetawaliwa na mawazo hasi ambayo yanatufanya tuamini katika kushindwa siku zote....

Mawazo hayo hasi yanatufanya tuwe na fikra mgando kiasi kwamba tunayaona mafanikio ni kitu cha ajabu sana......

Nafsi zetu hazipendi kuona mtu akifanikiwa kwa jambo lolote lile..tutafanya kila njia ili tumuangushe aliyefanikiwa.....badala ya kumtia moyo...

Hata hao wanaokutia moyo sio kwa dhati kutoka kwenye nafsi zao kwani hao hao ndio wanakuwa watu wa kwanza kukusengenya pindi mambo yatakapokuendea kombo.......

Chuki na husda zinakuwa kali zaidi hasa mafanikio hayo yakiwa yanahusisha MTANZANIA MWENZETU......

NB;

dc46367e0a3c7e945d0b6fc7da89a396.jpg
Wewe unataka tushangilie nakuvikuza ata vile ambavyo bado havijafika uko.anayestahili kupewa sifa stahiki atapewa asiyestahili lazima aambiwe ukweli ili aongeze bidii.aya mambo yakusifiana kwenye hakuna ndo unafiki wenyewe na ndo maana hatufiki mbali kwenye mambo yetu.
 
Hata hao ambao wewe unaona wanastahili sifa na kushangiliwa....huko walikotoka walisifiwa na kutiwa moyo bila ya kukatishwa tamaa....

Ndio maana leo tunawaona wanaweza na kustahili sifa......

Kama huwezi kumtia moyo kijana mwenzie kwa kile anachokifanya basi usimvunje moyo.....
 
Gwiji la vichekesho duniani aki-perofrm London

Uwa nakukubali sana classmate wangu tokea primary K/NDEGE adi secondary DOMSEC... MUNGU azid kukucmamia boy n nna iman unakoelekea kuna kila dalili ya ww kufika mbali zaid ya apo ulipo....
Sema ckuiz kigogo hautupiag ima kam enz zileee.... Kila lakheri boy

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Kama mashindano ya kumtafuta gwiji hayajawahi kufanyika sasa unapinga nini mleta uzi kudai pilipili ndio gwiji? Kwako wewe gwiji ni nani na alishinda wapi hadi kuvikwa ugwiji
Kama kawaida yako kukurupuka na hoja isio na mashiko!! soma tena comment yangu na uielewa,mleta mada ndio amedai kua Mc pilipili ni gwiji la vichekesho duniani,so alitakiwa alete uthibitisho wa madai yake,jaribu kua muelewa.
 
Mitanganyika ndivyo tulivyo mkuu, hatuwezi furahis kuona mwenzetu anatusua na kusifiwa. Hapa uzi ungekua unasema Eric Omondi au Kevin Hart ndo magwiji wa kuchekesha wote wangekuja kusifia ila sababu ni pilipili mtanzania mwenzetu ambaye tunamfahamu hatuwezi vumilia kuona anasifiwa. Kama ambavyo hatupendi kuona Dayamondi anaendelea, Hakuna uchawi zaidi ya huu
Usilazimishe watu wote kupenda unavyovipenda wewe,hatufanani.
 
Uwa nakukubali sana classmate wangu tokea primary K/NDEGE adi secondary DOMSEC... MUNGU azid kukucmamia boy n nna iman unakoelekea kuna kila dalili ya ww kufika mbali zaid ya apo ulipo....
Sema ckuiz kigogo hautupiag ima kam enz zileee.... Kila lakheri boy

Post sent using JamiiForums mobile app
Hapo kwenye red,mkuu kwa mujibu wa mleta mada huyo Mc pilipili tayari ni gwiji la vichekesho duniani.
 
Usilazimishe watu wote kupenda unavyovipenda wewe,hatufanani.

Kama hatufanani kwanini unapinga maoni ya mleta mada? Kwangu Mimi wewe ni gwiji wa kuandika pumba Duniani, ni maoni yangu, utanibishia?
Kama kawaida yako kukurupuka na hoja isio na mashiko!! soma tena comment yangu na uielewa,mleta mada ndio amedai kua Mc pilipili ni gwiji la vichekesho duniani,so alitakiwa alete uthibitisho wa madai yake,jaribu kua muelewa.
Kama mashindano hayajawahi kufanyika na kupata mshindi Ina maana Hakuna mchekeshaji anaweza kuclaim title ya gwiji Duniani, na yeyote yule anaweza kuclaim title hiyo vile vile since Hakuna mashindano ya kumpata gwiji. So mleta mada yupo sawa. Acha kukurupuka
 
Mc Pilipili kumbe ndo unatumia jina la joshua ok? Ha ha ha.... Wewe kwa mtizamo wangu kichekesho ulicholeta kwa mara ya kwanza ni hiki. Kuwa wewe ni bingwa wa vichekesho hata ungesema buguruni tu ningekukatalia. HUJUI KUCHEKESHA. HUNA VICHEKESHO SEMA HUWA UNAONGEA UJINGA UJINGA NA WAJINGA WANACHEKA lakini si watu wenge akili.

Nlikuina kwenye azam eid comedy gala...nikasikitika sana kwa kuja kuangalia upuuzi wako unatusimulia ujinga wa safar yako and yu think it was funny. Sisi ambao tumeenda usa,uk na canada more than two times sijui tungesemaje.

Kuna kuchekesha kuna kuongea upuuzi... Jarib kuwa unachekesha.jifunze kwa wenzio akina joti na erick omondi. Kama joti angefanya stand up comedy nadhan angekuwa mbali sana.... Sema tz tunakosa stand up comedians au hawapat promotions nzuri. Mtaani wapo kwa malipo kidogo sana.

WEWE MC PILIPILI HUJUI KUCHEKESHA ILA UNAWEZA JIFUNZA KUCHEKESHA IKIWA UTAKUWA HUJAOTA MAPEMBE BADO.

Gwiji la vichekesho duniani aki-perofrm London
 
Bila kupepesa macho. Mc pilipil hajui kuchekesha. HAJUI NA HAWEZ CHEKESHA WATU WENYE AKILI. 1000 JOTI NI best 1000 Times kwa huyo pilipili.

Mitanganyika ndivyo tulivyo mkuu, hatuwezi furahis kuona mwenzetu anatusua na kusifiwa. Hapa uzi ungekua unasema Eric Omondi au Kevin Hart ndo magwiji wa kuchekesha wote wangekuja kusifia ila sababu ni pilipili mtanzania mwenzetu ambaye tunamfahamu hatuwezi vumilia kuona anasifiwa. Kama ambavyo hatupendi kuona Dayamondi anaendelea, Hakuna uchawi zaidi ya huu
 
Bila kupepesa macho. Mc pilipil hajui kuchekesha. HAJUI NA HAWEZ CHEKESHA WATU WENYE AKILI. 1000 JOTI NI best 1000 Times kwa huyo pilipili.
Sina tatizo na maoni yako na nakubaliana na wewe kwamba Joti ni bora, matter of fact, Joti ni moja ya wachekeshaji bora kabisa duniani kwa mtazamo wangu Mimi.

Huyo Eric Omondi sioni Kama nimchekeshaji pia namuona kituko tu vile vile Kevin Hart.

Tatizo ni kuona mtu sio tu hamkubali jamaa Bali anataka kuona jamaa anafeli. Kuna tofauti ya kusema simkubali Dayamondi na kutamani Dayamondi afeli. Hapa ndo panaponipa ukakasi wakuona watanzania wengi sio tu hawawakubali wanyumbani ila pia wanataka kuona wanafeli, hawaendi popote, hawasifiwi na mtu yeyote anayewakubali anaonekana sio mjanja.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom