Naona MC Pilipili amekuwa mchungaji

Hawa roman catholic wanaodeclare watakusamehe dhambi kisa amevaa joho na ameend academy waacheni wahubir na wao
Kinachozungumziwa ni demokrasia, kwenye hizo taasisi maamuzi hufanywa na kupitishwa na wengi. ..na ni baada ya majadiliano.

Sasa huku kwa hawa Mapasta wenu anachoamka nacho siku hiyo ndio mnatekeleza...akija asubuhi akiwaambia ameoteshwa na Mungu kuwa mumchangie anunue Vogue hakuna wa kuhoji.

Na kwenye hizo taasisi rasmi wanarudisha sana kwa Jamii, wanajenga Hospitali, Shule n.k...sasa kahoji pesa ya Mzee wa Upako akutimue na bastola.
 
Nimebatizwa , kommunio na kupew kipaimar na askofu Antony mayala(RIP).
Roman naijua vzuri kuliko hao walokole pengine kuliko wewe,
kuanzia history yake mpaka leo.
Utapeli ni utapeli hata upitishwe na watu million.
Roman kunademokrasia gan?
Kanisa lililo ua zaidi ya watu million 50 demokrasia imeanza lin huko?
Hizo unazodai huduma za kijamii ni huduma au biashar, unazijua gharama za shule, hospitali zao?
Sadaka yao iko directly linked na vatican.
Huko ndio kunawapigaji kuanzia viiongozi wa jumuiya mpaka kanisa
Bora walokole wanatumia hap hap.
Nidanganye kuhusu kanisa jingine sio RC.
Yule sister aliye commit suicide bugando hospital unajua sabab?
Samahani, Mkuu!
Naomba unijazie jazie nyama hapo Yule... aliyeji "commit suicide".
 
Nimebatizwa , kommunio na kupew kipaimar na askofu Antony mayala(RIP).
Roman naijua vzuri kuliko hao walokole pengine kuliko wewe,
kuanzia history yake mpaka leo.
Utapeli ni utapeli hata upitishwe na watu million.
Roman kunademokrasia gan?
Kanisa lililo ua zaidi ya watu million 50 demokrasia imeanza lin huko?
Hizo unazodai huduma za kijamii ni huduma au biashar, unazijua gharama za shule, hospitali zao?
Sadaka yao iko directly linked na vatican.
Huko ndio kunawapigaji kuanzia viiongozi wa jumuiya mpaka kanisa
Bora walokole wanatumia hap hap.
Nidanganye kuhusu kanisa jingine sio RC.
Yule sister aliye commit suicide bugando hospital unajua sabab?
Mbona una makasiriko sana ..ulikua unasomea umishenari wakakufukuza nini? Maana unavyoandika utadhani wewe ndo mtakatifu wa mwisho usio na mawaa
 
Aanze naye kuuza mafuta ya alizeti na maji ya canadian , yaani hii nchi ina matatizo mengi sana kuliko ujuavyo, wengine na chumvi ya neel wanauza, wengine sijui vijitambaa gani yaani ni uganga uganga tu.

Mungu awasaidie tu kuujua ukweli , na kuujua ukweli bila kujishughulisha kuutafuta ni ngumu , unaishia kuwa ndondocha tu wa manabii na mitume feki.
Leso ya kawaida 500 ya upako 2000

Chumvi ndogo ya kawaida 250 ya upako 1000
Maji safi ya lita 1 500 ya upako 1000
Haya mafuta kachupa kadogooo 1000
Huenda haya mafuta ndio yanasababisha mafuta ya kula yapande bei
Ukute wanayanunua wao kwa jumla halafu wanakuja kuyauza makanisani kwao
 
Nimebatizwa , kommunio na kupew kipaimar na askofu Antony mayala(RIP).
Roman naijua vzuri kuliko hao walokole pengine kuliko wewe,
kuanzia history yake mpaka leo.
Utapeli ni utapeli hata upitishwe na watu million.
Roman kunademokrasia gan?
Kanisa lililo ua zaidi ya watu million 50 demokrasia imeanza lin huko?
Hizo unazodai huduma za kijamii ni huduma au biashar, unazijua gharama za shule, hospitali zao?
Sadaka yao iko directly linked na vatican.
Huko ndio kunawapigaji kuanzia viiongozi wa jumuiya mpaka kanisa
Bora walokole wanatumia hap hap.
Nidanganye kuhusu kanisa jingine sio RC.
Yule sister aliye commit suicide bugando hospital unajua sabab?
Duu jiwe gizani hili

Hata Mimi sijui tuambia mkuu
 
Back
Top Bottom