MC Aitoroka Harusi Msasani! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

MC Aitoroka Harusi Msasani!

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by kilimasera, Dec 8, 2010.

 1. kilimasera

  kilimasera JF-Expert Member

  #1
  Dec 8, 2010
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 3,073
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Kwa heshima na taadhima naomba uweke hii habari hapa kwani sitaki tukio kama hili lijitokeze kwa mtu mwingine, naomba sana naomba sana, Juzi jumamosi tarehe 4/12/2010 tulikuwa na harusi ya mshikaji ilifanyika pale Msasani Club. Ilikuwa ni harusi nzuri imeandaliwa kwa mda mrefu. Lilitokea tukio la ajabu sana kwani MC wa Shughuli hiyo ambaye anaitwa MC ( Jina kapuni) hakuonekana (aliingia mitini). Cha ajabu zaidi akawa hapokei simu na ukimpigia simu anaandika msg (kwa namba xxxx) na (xxxxx) kwamba amepata dharura ameenda Arusha kitu ambacho tunaamini si kweli alikuwa yupo kwenye shughuli nyingine. MC huyo tayari alikuwa ameshalipwa kiasi cha 350,000. Wananchi nimelileta hili kwenu hasa kwa wale waliopo Dar/TZ ili mjihadhari na utapeli wa aina hii. Kwa kweli sherehe nzima iliharibika japo ilibidi tutafute MC wa haraka haraka na sherehe kuanza saa mbili na nusu.
   
 2. A

  Aine JF-Expert Member

  #2
  Dec 8, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,613
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Kamateni huyo na mumsweke ndani ili awe na nidhamu na kazi yake
   
 3. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #3
  Dec 8, 2010
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,590
  Likes Received: 18,575
  Trophy Points: 280
  kilimasera, najua umelihifadhi jina lake, ili kuilinda hadhi yake kwa kutumia kipengele cha the right to privacy.

  Hata kama sio mtumishi wa umma, yaani you are not public servant, therefore you are not paid by taxpayers money, lakini kwa kazi kama za MC, unalipwa na michango ya wanachi, hivyo ma MC wote ni public figure paid by public money, hivyo ile cover ya the right to privacy inakuwa haipo, hivyo the public has the right to know, their public as well as their private life kwa sababu analipwa na pesa zao.

  Hivyo nakuomba umtaje kwa jina, ili kumsaidia, ama abadili katabia hako, ama kuwa-alet wengine waliomline-up kwa sherehe zao wajiandae kwa no show mapema.
   
 4. Polisi

  Polisi JF-Expert Member

  #4
  Dec 8, 2010
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 2,087
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  naunga mkono hoja. atajwe, otherwise kilimasera unaweza kushtakiwa kwa kuihadaa jf
   
 5. bucho

  bucho JF-Expert Member

  #5
  Dec 8, 2010
  Joined: Jul 13, 2010
  Messages: 4,547
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 180
  acha kutu enjoy wewe . kama ulitaka tujiadhari ungeweka jina lake hadharani . sepa zako una maana .
   
 6. N

  NINAHASIRA Member

  #6
  Dec 8, 2010
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 58
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  we utakuwa muongo! unaomba msaada gani wakati mtu mwenyewe hutaki kumtaja! sasa unamtadharisha nani wakati huyo uliyemficha jina anatarajia kuwa MC this weekend ktk harusi nyingine. Au kama ni hivyo yawezekana kamati ilisahau kuweka mc ndipo mkaamua kusingizia hajatokea. Please mtaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaje......! kama una nia ya kututaadharisha
   
 7. N-handsome

  N-handsome JF-Expert Member

  #7
  Dec 8, 2010
  Joined: Jan 23, 2008
  Messages: 2,317
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 160
  Weka jina lake au acha majungu
   
 8. birungi

  birungi JF-Expert Member

  #8
  Dec 8, 2010
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 388
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Sasa unasema tujihadhari nae tutamjuaje?? wengine tuna harusi za ndugu zetu hivi karibuni.
   
 9. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #9
  Dec 8, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,496
  Likes Received: 19,901
  Trophy Points: 280
  weka jina huyu MC ni puplic figure kama Sheikh Yhaya Makamba na wengineo
   
 10. Mkeshahoi

  Mkeshahoi JF-Expert Member

  #10
  Dec 8, 2010
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 2,494
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Waijua falsafa ya JF...?
   
 11. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #11
  Dec 8, 2010
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 18,720
  Likes Received: 8,281
  Trophy Points: 280
  Jokes, Utani, udaku, gossip..u r in the ryt place!!!
   
 12. O

  Optimistic Soul JF-Expert Member

  #12
  Dec 8, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 205
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  tehe tehe, kweli hii ni thred ya vitimbi, MC kasepa, hapa nafikiri best man alikamata mic na kuchana
  serious thing!
   
 13. M

  Mundu JF-Expert Member

  #13
  Dec 8, 2010
  Joined: Sep 26, 2008
  Messages: 2,719
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  MC kasepa na muanzisha post kasepa! Pure gossip!!
   
 14. Good Guy

  Good Guy JF-Expert Member

  #14
  Dec 8, 2010
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 4,511
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  What's funny?
   
 15. b

  bob giza JF-Expert Member

  #15
  Dec 8, 2010
  Joined: Apr 29, 2010
  Messages: 265
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kama ulikuwa kweli unataka kuwatahadhalisha watu ungeweka jina na namba zake za simu hapa, ila kwa kuwa wewe ni muongo unaleta blah blah..sasa usipoweka namba na jina lake tutajihadhali vipi?? Unaanzaje kujihadhali na jambo usilolijua..acha ukuda wewe..weka jina lake na namba za simu hapa au lah tokomea mwehu wee!!
   
 16. kilimasera

  kilimasera JF-Expert Member

  #16
  Dec 8, 2010
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 3,073
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Angalieni post ipo kwenye forum gani sijasepa masela nawasikilizia tu wana mna hasira!!tulizeni mpira bas!
   
 17. O

  Optimistic Soul JF-Expert Member

  #17
  Dec 8, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 205
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mh na wewee! don't u c what's funny? Kilimasera is funny!
   
 18. The Inquisitive

  The Inquisitive Senior Member

  #18
  Dec 8, 2010
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 178
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Kama humtaji jina utakuwa hujatusaidia, bora usingesimulia hicho kisa. Au hiyo habari sio yako originally, umefanya plagiarism.
   
 19. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #19
  Dec 8, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,512
  Likes Received: 5,744
  Trophy Points: 280
  haya ni marudio ya mama na mwana binafsi nimeshaleta mara mbili mada hizi za utapeli wa ma mc;kwanza msifanye kosa tena kumpa hela nyingi hivyo hiyo ndio inamtia kiburi akipata dili la ikulu anawakimbia ....anyway ikitokea kama hivi msiumize sana kichwa wanandoa wakae waulizane kulikoni kuna nini wakati mwingine kila jambo lina sababu zake uwezi jua kwa nini mungu kakubali hivi itokee..polen sana sana wapendwa
   
 20. M

  Machamle Member

  #20
  Dec 8, 2010
  Joined: Mar 29, 2010
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  We mc thamini kazi yako .Na wewe unayetoa taarifa ikamilishe acha kuchakachua mtaje .............................................................................
   
Loading...