Mbwiga mbwiguke wa clouds fm | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbwiga mbwiguke wa clouds fm

Discussion in 'Sports' started by myao wa tunduru, Oct 8, 2011.

 1. myao wa tunduru

  myao wa tunduru JF-Expert Member

  #1
  Oct 8, 2011
  Joined: Mar 9, 2010
  Messages: 613
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0
  kama kuna mdau yeyote wa soka aliyebahatika kumsikia huyu jamaa katika kipindi cha mchezo redio clouds bila shaka atakubaliana nami kama jamaa ana kipaji cha kuongea na kama mpira ungekuwa unachezwa mdomoni basi huyu jamaa kiwango chake tungefananisha na kina messi!ningependa tupeane baadhi ya maneno yake anayoyatumia!...........anakuambia yeye fundi wa mpira ukiutaka mpira anakupa kama hataki anakufanyia ubahiri anapiga nje ya kumi na nane mabeki wakizubaa anawafanya kama mahindi machanga hatemi kitu anayatafuna gudugudu!huyo ndo mbwiga baba na mama yake wazaramo yaani kama sketi na blauzi usafiri wa kwenda kijijini kwao uzaramoni anapandia buguruni stendi siyo ubungo bus terminal!
   
 2. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #2
  Oct 8, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  mmmmm mbona hueleweki khaa..
   
 3. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #3
  Oct 8, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 278
  Trophy Points: 180
  Mkuu huwezi kumuelewa jaa mpaka uwe umewahi kumsikia huyo mbwiga wa mbwiguke, jamaa ni nomaaaaaaaaa!
   
 4. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #4
  Oct 8, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 278
  Trophy Points: 180
  anakwambia sio ukimuona simba kakupa ****** we unachukua panga badala ya bunduki kwenda kumuua!
   
 5. Pdraze

  Pdraze JF-Expert Member

  #5
  Oct 8, 2011
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 611
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Dah sugu aliwafukuza mbeya!! nimemiss huyo mbwiga.
   
 6. myao wa tunduru

  myao wa tunduru JF-Expert Member

  #6
  Oct 9, 2011
  Joined: Mar 9, 2010
  Messages: 613
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0
  ukiona huelewi basi jua umepotea njia mkuu!
   
 7. Raimundo

  Raimundo JF-Expert Member

  #7
  Oct 9, 2011
  Joined: May 23, 2009
  Messages: 13,552
  Likes Received: 10,939
  Trophy Points: 280
  Jamaa aliizungumzia mechi ya Simba na Mfulila Wonderers 'spelling sina uhakika' nikawa kama naiona mechi. Simba alipigwa nne mtungi nyumbani na yeye ugenini akapiga mtu tano kibuyu. Jamaa ni noma.
   
 8. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #8
  Oct 9, 2011
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,574
  Likes Received: 840
  Trophy Points: 280
  ni wakati gani anasikika?
   
 9. myao wa tunduru

  myao wa tunduru JF-Expert Member

  #9
  Oct 9, 2011
  Joined: Mar 9, 2010
  Messages: 613
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0
  kipindi hurushwa kila siku jumatau hadi ijumaa kuanzia saa tatu usiku ila mara nyingi mbwiga hupewa karibu na tamati ya kipindi kufanya uzaramo wake!binafsi nakizimika hiki kipindi siku hizi kwa ajili yake kwani jamaa ana vitu vipya masikioni mwangu huwezi pata katika blog yeyote
   
 10. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #10
  Oct 9, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Uliyeandika hii thread ndo mbwiga sasa
   
 11. myao wa tunduru

  myao wa tunduru JF-Expert Member

  #11
  Oct 9, 2011
  Joined: Mar 9, 2010
  Messages: 613
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0
  mama watoto kweli mumeo unanijua!hata kwa maandishi umenijua!
   
 12. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #12
  Oct 9, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  mkuu mbona hasira relax..
   
 13. myao wa tunduru

  myao wa tunduru JF-Expert Member

  #13
  Oct 9, 2011
  Joined: Mar 9, 2010
  Messages: 613
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0
  one mkuu!kuna watu wanaboa ni bora kitu ukipotezee kama hakina inshu kwako!nimeanzisha huu uzi ili wadau wanaomsikiliza mbwiga wanipe baadhi ya vineno vyake kwani binafsi sijabahatika kumsikiliza mara nyingi ila nafeel anachofanya!
   
 14. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #14
  Oct 9, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  ahaa kumbe ila unafahamu kabisa humu ndani kunajemba za kila aina kwa upande wangu huyu jamaa si mfahamu na jinsi ulivyouliza lazima mtu akujibu kiaina ila hakuna noma mkuu siku njema..
   
 15. Papa Mopao

  Papa Mopao JF-Expert Member

  #15
  Oct 9, 2011
  Joined: Oct 7, 2009
  Messages: 3,353
  Likes Received: 387
  Trophy Points: 180
  Duh! Kumbe hasira zinawezekana kufumuka JF eeh?
   
 16. myao wa tunduru

  myao wa tunduru JF-Expert Member

  #16
  Oct 9, 2011
  Joined: Mar 9, 2010
  Messages: 613
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0
  poa mkuu weekend njema kwako pia na naomba anisamehe niliyemtpolea maneno makali!
   
 17. myao wa tunduru

  myao wa tunduru JF-Expert Member

  #17
  Oct 9, 2011
  Joined: Mar 9, 2010
  Messages: 613
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0
  one mkuu!weekend njema kwako pia na pia anisamehe niliyemtolea maneno makali au kumkwaza!
   
 18. Muuza Sura

  Muuza Sura JF-Expert Member

  #18
  Oct 12, 2011
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 1,990
  Likes Received: 218
  Trophy Points: 160
  ahahahaha!dah!huyu **** mbwiga mikosi ana maongezi aibu!kama cherehani alivyo fasta
   
 19. K

  Kesban Member

  #19
  Oct 28, 2011
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 13
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 3
  Mbwiga ana maneno sana, anakwambia ....sio kubadilikabadilika km sauti ya muuza samaki, akiwa mtaani anauza samaki anabana pua, akirudi nyumbani sauti kibesi, teh!
   
 20. K

  Kesban Member

  #20
  Oct 28, 2011
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 13
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 3
  'Anakwambia nr 9 uwanjani anatakiwa awe km gobagoba(I'm not sure)' yaani huko hilo pikipiki sio pikipiki, gari si gari, in short inafanya shughuli zote.
   
Loading...