Mbwembwe zilizokuwa zikifanyika Nairobi hatuzioni ubeligiji

Mbowe amegundua udhaifu wenu hatumii nguvu!

Mbowe anaakili sana kiasi kwamba CCM unadanya kila mambo Vijana AS CDM wamchukie.

Pole sana endeleeni kula Muda ukifika mtaacha.

Lakini kiboko ya CCM ni Lissu na Mbowe.Mkisikia Mbowe mnahamisha server zote za vichwa vyenu pamoja na Mwenyekiti wenu.

Na bila kumtaja Mbowe hamuwezi kuishi
 
Asingekurupuka kumponda lowassa asubuhi akazugwa na yeye akaamua kuizuga misekure yake!
 
Wewe muuaji huna raidhi una laana ya mkono wa Mungu huna faida kwa wazazi wako wala nchi baki kuwa cha kula cha wa kubwa na sasa wanakufaidi haswa maana utafanyaje huna akili huna mtoto huna makalio achana na lissu
 
Lowassa ndio nguvu ya mshindwa Magufuli maskini mpaka bashite una piga mapambio lowassa ameijuwa chadema hadi msemaji wake kamuombea Radhi kwa taifa
 
*********
Serikali Ya Kenya Imezindua Ndege Zake Mpya Aina Ya Boeing 787 Dramliner Zenye Uwezo Wa Kubeba Abiria 234 Kila Moja Ambazo Zitafanya Safari Za Moja Kwa Moja Kutoka Uwanja Wa Ndege Wa Kimataifa Wa Jomo Kenyata (JKIA) Nairobi Hadi Uwanja Wa Ndege Wa John Kenedy (JFK) New York, Marekani.

Tiketi Za Kawaida Zinauzwa Ksh. 89,000 ($890). Kenya Airways Itafanikisha Safari Hizo Kwa Ushirikiano Na Shirika La Delta Airlines La Marekani.

Mambo Muhimu Kuhusu Safari Hiyo:
Safari Hiyo Itachukua Saa 15 Kutoka New York Hadi Nairobi Na Saa 14 Kutoka Nairobi Hadi New York.

Kila Ndege Itakuwa Na Marubani 4 Na Wahudumu 12.

Safari Zote Zitafanywa Na Ndege Za Kisasa Aina Ya Boeing 787 Dreamliner Ambazo Hubeba Abiria 234 Kila Moja.

Ndege Za Kwenda Marekani Zitaondoka JKIA Nairobi Saa 23: 25 Na Kufika JFK New York Kesho Yake Saa 06: 25.

Ndege Za Kurudi Nairobi Zitaondoka New York Saa 12:25 Na Kutua JKIA Nairobi Saa 10:55 Kesho Yake.
*********

Nyie endeleeni kukalia kiki za politic.
Huƴo jamaa akikujiɓu uni tag mzee
 
Mwacheni Mungu aitwe Mungu Magufuli makonda gambo siro mnyeti polepole ndugai wanasemaje ati
 
IMG_20180113_111149_843.jpg
unapenda picha.Nuna sasa
 
*********
Serikali Ya Kenya Imezindua Ndege Zake Mpya Aina Ya Boeing 787 Dramliner Zenye Uwezo Wa Kubeba Abiria 234 Kila Moja Ambazo Zitafanya Safari Za Moja Kwa Moja Kutoka Uwanja Wa Ndege Wa Kimataifa Wa Jomo Kenyata (JKIA) Nairobi Hadi Uwanja Wa Ndege Wa John Kenedy (JFK) New York, Marekani.

Tiketi Za Kawaida Zinauzwa Ksh. 89,000 ($890). Kenya Airways Itafanikisha Safari Hizo Kwa Ushirikiano Na Shirika La Delta Airlines La Marekani.

Mambo Muhimu Kuhusu Safari Hiyo:
Safari Hiyo Itachukua Saa 15 Kutoka New York Hadi Nairobi Na Saa 14 Kutoka Nairobi Hadi New York.

Kila Ndege Itakuwa Na Marubani 4 Na Wahudumu 12.

Safari Zote Zitafanywa Na Ndege Za Kisasa Aina Ya Boeing 787 Dreamliner Ambazo Hubeba Abiria 234 Kila Moja.

Ndege Za Kwenda Marekani Zitaondoka JKIA Nairobi Saa 23: 25 Na Kufika JFK New York Kesho Yake Saa 06: 25.

Ndege Za Kurudi Nairobi Zitaondoka New York Saa 12:25 Na Kutua JKIA Nairobi Saa 10:55 Kesho Yake.
*********

Nyie endeleeni kukalia kiki za politic.
Magufuri alkinunua ndege nyie mnapinga.
 
Wewe muuaji huna raidhi una laana ya mkono wa Mungu huna faida kwa wazazi wako wala nchi baki kuwa cha kula cha wa kubwa na sasa wanakufaidi haswa maana utafanyaje huna akili huna mtoto huna makalio achana na lissu
Maoni yako yataheshimiwa upo huru!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom