Mbwembwe Nyingi, lakini ni Povu tupu!

Rev. Kishoka

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
4,526
1,530
When I look at President Kikwete, try to absorb and understand his leadership and management style, I end up with Hamid Karzai, the interim President of Afhganistan.

Both are very good friends of President Bush. Both are leading countries that are at the bottom of Transparency International Corruption Index, both Karzai and Kikwete depend on grants and aids to lead and rescue their country.

Just like Karzai with Uranium, Oil and even Opium, Kikwete has Oil, Gas, Gold, Uranium, Diamonds, Tanzanite and so is tourism.

However both Karzai and Kikwete have continued to show the world and people of their countries that, they have prestige, they are pompous and handsome! What both Karzai and Kikwete have failed to realize is that they are leading their countries harboring corruptio. Both Governments of Karazi and Kikwete have not been able to establish authority and sound credibility inside their countries!

It is only when Karzai and Kikwete can show some authority, can demonstrate ability to make tough descicion and stop begging for money and resources form someone else, then Tanzania just like Afghanistan will see a true development.

However if Kikwete who now apppears has no will or desire or as stated by my fellow harakati collegue, that Kikwete has given up, continues without respectfully step down, his Presidency will be remembered as the worse period in our nation's history!
 
Look at them, both handsome and charming, but extremely uncharismatic, extremely ineffective and they are yet to establish positive credibility to their country's citizens!

225px-Hamid_Karzai_2006-09-26.jpg
Kikwete.JPG
 
to compare Karzai and kikwete, u are not doing karzai justice. kikwte is worse!.

angalau karzai ana kiji-excuse kuwa ana wa-taliban and other militants wanaoshambulia nchi yake, wasiompa nfasi ya kutoa maendeleo halisi.

kikwete ana excuse gani?
 
Kweli mchungaji umemuamulia
Naona umeamua kumpa ukweli wake, ndiyr Rais wetu tena eti kachaguliwa kwa 80% kweli tunakiona

Ila naona mbwembwe zimeanza kumuishia maana kaanza na mpya ya kuwambia wananchi wavumilie shida, atumii tena Ari mpya, kasi mpya na nguvu mpya ila ni vumilia shida, mafuta bei juu
 
"VUMILIENI SHIDA!!"hii kweli imenimaliza nguvu. hana tofauti na mramba aliyewaambia watanzania watembee kwa miguu kama nauli ni kubwa. kazi ipo
 
.....It is only when Karzai and Kikwete can show some authority

....can demonstrate ability to make tough descicion

.....and stop begging for money and resources form someone else,
Mchungaji ni kweli kabisa kuwa: Hawa mabwana wana ugonjwa unaolandana. They have lost their inner nobility and all strength given to Man by God.

Thamani yao kama watu ina didimia kila kukicha...na dalili ya ugonjwa ni hizo ilizozitoa.

Dawa ya hilo tatizo ..is to tell the victm the really situation kama ilivyo mbele ya macho na uso wake bila kusita sita na kumbembeleza. Its tough Love!

Such hard truth delivered with good intention...is so metabolic and can bring some practicle effect.

Tatizo ni nani aliyepona kuliko mgonjwa wetu..ili asogee mbele hatua chache ajitenge na waliobaki na kumbwatukia Mpendwa Rais wetu Kikwetu ukweli mguma kama dawa ya ugonjwa wake...?

hakuna dawa nyingine zaidi ya hiyo..kumpigia makofi ya kinafiki na kumtukuza kwa upuuzi unaoendelea ..ugonjwa hauwi sugu kwake tu ..bali unaambukiza wale walioshindwa kusimamia ukweli katika nafsi zao....na ugonjwa unasambaa na kumeza jamaii yote.

Dawa hii haitengenezwe kiwandani...

Wala sio Mabomu....ya kivita

Ni UTU wa kiwango cha juu..

UTU unaojali ukweli tu....Ukweli tu .... na sio kingine.

Lazima Kikwete aambiwe ukweli...Tena maranyingi inavyowezekana.

Lazima aambiwe...hivi.......

.......It is only when Karzai and Kikwete can show some authority

....can demonstrate ability to make tough descicion

.....and stop begging for money and resources form someone else,

aambiwe mara nyingi kwa njia ya upendo mgumu.

Uko upendo ambao ni dawa...ya matatizo ya watu ..kama hawa..

sio kumuumiza but this is TOUGH LOVE!!!

Ni dawa...

lazima aabiwe mpaka aambilike....!

Lazima wimbo huo urudie mara nyingi finaly matunda yatapatikana....

Hatumtende Kikwete HAKI kwa kumnyamazia!!
 
Kama hamujamuelewa mchungaji mujiulize ni kwanini haswa kawafananisha Karzai na JK...WOTE NI PUPPETS!
Hawana nguvu ya UONGOZI!
Afghanistan inaongozwa na Taliban technically kama vile TZ inavyoendeshwa na MAFISADI kwa niaba ya MKABURU.
 
Look at them, both handsome and charming, but extremely uncharismatic, extremely ineffective and they are yet to establish positive credibility to their country's citizens!

225px-Hamid_Karzai_2006-09-26.jpg
Kikwete.JPG

Kikwete is uncharismatic? I don't think so......
 
Kama hamujamuelewa mchungaji mujiulize ni kwanini haswa kawafananisha Karzai na JK...WOTE NI PUPPETS!
Hawana nguvu ya UONGOZI!
Afghanistan inaongozwa na Taliban technically kama vile TZ inavyoendeshwa na MAFISADI kwa niaba ya MKABURU.

Mushi,
Awe vyovyote anavyotaka na nchi iongozwe hata na na akina nani. Sisi tunasubiri tu mwisho wa siku maisha yetu na waneno kesho yatakuwaje. Haya mengine ni UPUUZI tu. Zimbwabwe haina puppest wana FISADI.
 
Wakati wa uchaguzi Octobe - December 2005
Ari mpya, kasi mpya na nguvu mpya
Maisha bora kwa kila mtanzania
vyuo, mahospitali, kila mahali patakuwa na standard ya kuwawezesha wananchi kupata huduma safi mkiichagua CCM

Baada ya Miaka miwili na nusu i.e July 2008Mramba
Tutakula majani ili mradi ndege ya raisi inunuliwe

Mramba

Tembeeni kwa miguu kama nauli mnaona ni kubwa

President (Ze commedy)
Vumilieni hali ngumu ya maisha ndio hali halisi

Mafisadi wanatawala na kujichukulia kila kitu cha walipa kodi wa Tanzania

Nini kinafuata kabla ya October 2010??
 
Kweli mchungaji umemuamulia
Naona umeamua kumpa ukweli wake, OTE]

Kama tunabakia bila kumeleza au kuelezana ukweli juu ya mapungufu yake.... Inabakia hatutofautiani naye....! Ni hilo sio tendo la busara.
 
to compare Karzai and kikwete, u are not doing karzai justice. kikwte is worse!.

angalau karzai ana kiji-excuse kuwa ana wa-taliban and other militants wanaoshambulia nchi yake, wasiompa nfasi ya kutoa maendeleo halisi.

kikwete ana excuse gani?

GAIJIN;

WEWE NI MTANZANIA KWELI NDUGU YANGU?

????????????????????:shock:
 
Kweli mchungaji umemuamulia
Naona umeamua kumpa ukweli wake, ndiyr Rais wetu tena eti kachaguliwa kwa 80% kweli tunakiona

Ila naona mbwembwe zimeanza kumuishia maana kaanza na mpya ya kuwambia wananchi wavumilie shida, atumii tena Ari mpya, kasi mpya na nguvu mpya ila ni vumilia shida, mafuta bei juu
Tena sasa hivi anavaa bracelet baada ya kuona cheni haitoshi..We have a yound and energetic Presidaaa
 
Back
Top Bottom