Mbwembe za Ma-Doctor | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbwembe za Ma-Doctor

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by KakaJambazi, Aug 13, 2011.

 1. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #1
  Aug 13, 2011
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,030
  Likes Received: 3,231
  Trophy Points: 280
  Huwa sielewi ni kwanini medical doctors wanapokuwa wanapita kwenye macoridor hospitalini wanakuwa wanavaa kifaa flani ivi mabegani mwao.

  Au hiyo ndio symbol ya kuwa ni dr? kwanini wasitembee na drip, mikasi au gloves?

  Kwani wakivaa yale makoti meupe si sign tosha?

  Cha ajabu hata kama atakua anahojiwa kwenye kipindi maalum cha tv, atauza sura kwa kuvaa icho kifaa mabegani.

  Ivi hakuna hook ya kukitundika humo maofisini au kwenye ward zao?

  Hata kwenye vipindi vya komedi, session ya dr lazma avae hicho kifaa,,kwanini? Mbona kuna vifaa vingi tu humo hospitali?

  medical doctor - Google Search

  Dr2.jpeg Dr 1.jpeg Dr3.jpeg
   
 2. Y

  Yakuonea JF-Expert Member

  #2
  Aug 13, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 601
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Duu umenichekesha sana, eti kwa nini wasitembee na drip, haya bwana wenye fani yao wamekusikia...........
   
 3. pmwasyoke

  pmwasyoke JF-Expert Member

  #3
  Aug 13, 2011
  Joined: May 27, 2010
  Messages: 3,584
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Inabidi kabla daktari hajatoa huduma ajue kwanza iwapo mteja wake ni mfu au mzima kwa kutumia hicho kifaa. Hivi ni lazima awe nacho kila wakati. Nadhani wenyewe wanakiita stethoscope.
   
 4. africa6666

  africa6666 JF-Expert Member

  #4
  Aug 13, 2011
  Joined: Aug 18, 2008
  Messages: 281
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Mambo sio ya kuhoji ya kuhoji tangu nakua naakili madakitari nawaonaga hivyo hivyo, na manesi nawaonaga na vigauni vifupi, watu wa theata nawaonaga na nguo za kijani.
   
 5. Ngaliba Dume

  Ngaliba Dume JF-Expert Member

  #5
  Aug 13, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 1,604
  Likes Received: 1,716
  Trophy Points: 280
  mliosoma kiswahili adi chuo kikuu mna dharau sana...!!udaktari sio vishazi na vitenzi vikurupushi...kile kifaa huitwa stestoscope!ni kama mwalimu na chaki,au lecturer na makapen,mlinzi na bunduki,spika na joho au siwa.....
   
 6. samirnasri

  samirnasri JF-Expert Member

  #6
  Aug 13, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 1,377
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Nenda na wewe ukasomee udaktari kama unakapenda hako kadude au unawaonea wivu, kumbuka wamesoma miaka mitano darasani na mmoja wa mafunzo kwa vitendo yaani internship. So miaka sita sio kitu kidogo kwa digrii moja.!!!!!!!!!
   
 7. CHE GUEVARA-II

  CHE GUEVARA-II JF-Expert Member

  #7
  Aug 13, 2011
  Joined: Jun 17, 2010
  Messages: 531
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  Peripheral pulses not felt
  Cold extremities
  Pupils dilated
  No pupillary response to light
  First and second (S1S2) heart sounds not heard (kazi ya stethoscope)

  Person certified to be dead!
   
 8. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #8
  Aug 13, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  gag reflex =0
  corneal reflex=0
   
 9. CHE GUEVARA-II

  CHE GUEVARA-II JF-Expert Member

  #9
  Aug 13, 2011
  Joined: Jun 17, 2010
  Messages: 531
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  Hapo pekundu>
  Hao wanaoigiza nd'o wanakosea kwa sababu hako kadude huwa kanatumika at the last stage katika kupima mgonjwa:
  PPA, i.e
  P-Palpation
  P-Percussion
  A-Auscultation

  Sasa wao(comedians) huwa mgonjwa akija tu wanaanza na hako kadude!
  Na kana gharama! From 35,000 - 250,000+/= Tshs (ranging from Chinese to German, et.c, et.c)
  Na wakati mwingine kanaweza kasitumike (japo ni lazima), lkn ktksehemu ambapo kuna wagonjwa 1,000 na daktari mmoja kanaweza kasitumike kabisa - inategemea na aina ya ugonjwa ulionao.
  na wagonjwa wa Bongo ukitaka wakuone a good Dr., hata kama amejikata ukucha mwekee tu hicho kidude - utakuwa unakula vichwa kama nini!

  Ni cha muhimu sana hicho kidude katika Cardiorespiratory system pamoja ana magonjwa mengine ya GIT.

  You should respect these guys!
   
 10. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #10
  Aug 13, 2011
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,030
  Likes Received: 3,231
  Trophy Points: 280
  Jana kwenye kipindi TBC, kuna dr alikua anahojiwa huku akiwa nacho.

  Swali la kujiuliza kwanini kwa wakati ule? Kama swala ni atambulike kuwa yeye ni dr kasomea miaka 6, mbona jina lilikua lina-display kwa kuanza na "Dr"?
   
 11. Y

  Yakuonea JF-Expert Member

  #11
  Aug 13, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 601
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  <br />
  <br />

  Wengine hatukukiona hicho kipindi cha TBC, swali ni je, hayo mahojiano yalifanyika ktk studio za TBC au Hospitalini? , kama atakuwa alienda stethoscope kwenye studio duu......hii naona itakuw kali
   
 12. CHE GUEVARA-II

  CHE GUEVARA-II JF-Expert Member

  #12
  Aug 13, 2011
  Joined: Jun 17, 2010
  Messages: 531
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  Mwambi huyu!
  Kama alikuwa hospitali basi ALIKUWA KAZINI!
  Ulishawahi kuwaona wanatembea wamevivaa shingoni huku wakiwa barabarani au ndani ya magari!
   
 13. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #13
  Aug 13, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  sasa asipokavaa kale kadude utatofautishaje u-dr wake na wa kikwete na wa rwakatare rev?

   
 14. denoo49

  denoo49 JF-Expert Member

  #14
  Aug 13, 2011
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 5,658
  Likes Received: 5,244
  Trophy Points: 280
  Huliza maswali ya kuifunza nchi na sio familia yako au ukoo wako. Toka lini ukakuta jeshini wamevaa kanzu au majoho?? Kila kazi na mavazi na vitendea kazi vyake.
   
 15. Mupirocin

  Mupirocin JF-Expert Member

  #15
  Aug 13, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,596
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  utamtofautishaje na mtu wa maabara, pharmacy, muuza butcher na wengine ambao field zao wanavaa makoti meupe. kumbuka madaktari tunabiwa tunakula rushwa lakini kumbe wanaokula rushwa ni watu wa maabara, manesi na mwisho mwananchi akiulizwa anaambiwa dr ndiye aliyempa rushwa ukimhoji vizuri unakuta hata hajahusika lakini kisa ni koti jeupe alilomkuta nalo aliye mhudumia. mdaktari tunapakwa matope sana
   
 16. CHE GUEVARA-II

  CHE GUEVARA-II JF-Expert Member

  #16
  Aug 13, 2011
  Joined: Jun 17, 2010
  Messages: 531
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  Rushwa zenyewe elfu mbili, elfu tano!
  Eti mgonjwa au ndugu wa mgonjwa anaambiwa: "Hela/ Pesa ya Daktari a.k.a CCD (Chakula Cha Daktari)"
  Mbona tunaaibishwa!

  Kama wanaokataa rushwa wapo ni wachache na wale wanaokataa inategemea ni rushwa gani na ni rushwa kwa ajili ya nini (japo zote ni rushwa tu), lkn hii ya kusema elfu mbili, tano ya kumpatia Daktari, mjue mnaliwa na wafagiaji - wafanya usafi mawodini, kwenye ma-corridor n.k
   
 17. Y

  Yakuonea JF-Expert Member

  #17
  Aug 13, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 601
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  <br />
  <br />

  Je kama swala la kuning'iniza stethoscope ni kwa ajili ya kuwatofautisha madaktari na watu wa kadi nyingine, kwani zile name tags wanazoweka ktk makoti yao hazitoshi na je kila anaening'iniza stethoscope ni daktari?
   
 18. Kite Munganga

  Kite Munganga JF-Expert Member

  #18
  Aug 13, 2011
  Joined: Nov 19, 2006
  Messages: 1,298
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Acheni wivu wa kike...huyo anataka kuelimishwa kidogo tu yaani ni kumweleza kuwa "Je aliona wapi mvuvi baharini bila kuwa na nyavu au ndoano?"
   
 19. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #19
  Aug 13, 2011
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,030
  Likes Received: 3,231
  Trophy Points: 280
  Naona mnabaka thredi yangu.

  Swali ni kwanini ni hicho kifaa pekee ndio wanatembea nacho wakati ni nadra sana kutumia? Hicho ndo SI unit / Symbol ya udaktari?

  Hakuna device zingine portable?

  Kama swala ni kuweza kutua huduma wakati wa dharura anytime,,Je kwenye first aid kit kipo?
   
 20. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #20
  Aug 13, 2011
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,030
  Likes Received: 3,231
  Trophy Points: 280
  Alikua anahojiwa ofisini, lakini kwanini alikua amekitundika shingoni? kwani hakuna sehemu ya kukitunzia?
  Kwani angekiweka basi mezani asingekua dr?
   
Loading...