MBWANA SAMATTA ROAD/AVENUE

N'yadikwa

JF-Expert Member
Aug 10, 2014
6,825
9,532
Tumewapa heshima viongozi wengi wa nje kwa kuzipa barabara zetu majina yao kwa mfano barabara ya Mwai Kibaki, Barack Obama Kenyatta,nk nk....Lakini huyu kijana ambae angalau kwa siku za hivi karibuni amepunguza aibu ya Tanzania kwenye anga za Soka Kimataifa hatujampa heshima inayostahili...Nashauri Mbwana Samatta apewe heshima kwa barabara mojawapo katika miji yetu muhimu kv Dar,Arusha,Mwanza au Mbeya na Tanga hata Dodoma kupewa jina lake...Binafsi ningeshauri New Bagamoyo Road iitwe SAMATTA ROAD
 
Kapewa barabara uko Mbagala,uwanja aliokua anafanyia mazoezi umepewa jina lake na aizawadiwa kiwanja.
 
Mpaka sasa Samatta kama Samatta hajafanya lolote kwa Taifa, maganikio aliyo nayo ni yake yeye na familia yake, angalau basi hata angeanzisha foundation au hata hamasa kama alivyofanya Wanyama ningemuelewa, kumbuka Samatta si mara moja amekuja nchini, ni kipi kikubwa cha Kijamii alichokifanya? Wanyama kaja once tena kiutalii but kachukua Muda wake angalau kidogo kujichanganya Kijamii na kutoa hamasa kwa wana Ndondo
 
Back
Top Bottom