Mbwa wangu anakuwa mkali bila sababu; nataka kumpiga risasi

Watafute wachina uwauzie utapata hela nzuri tu kwao hiyo ni mboga nzuri sana
 
Ni dume ila pia haliawahi kukutana na mwanamke tokalizaliwe.
 
Huyo mbwa ana nyege umemfungia hapo kwa muda gani ? Je amewai kuduu ? Jiongeze rafiki, alafu ukimfunga na kamba ya kawaida anakata ,mwite daktati wa wanyama akusaidie rafiki,
Mi nilikuwa cjui kama unamiliki banduki ,
 
Dalili za mbwa mwenye rebies
1.anakua mkali pasipo sabab
2.anapungua/anakonda
3.akibweka anatokwa mapovu

Ukiona dalil hzo ujue tayar...
Mbwa wangu alipataga hiz dalil..mim binafsi nilishindwa muua..manaa ni mbwa wangu walikua mapacha.wazur sana...niliendaga mtokomeza msitu wa makongo kule...roho yangu ilishindwa muua
 
Mpe muda wako na umuoneshe upendo mfano fanya nae matembezi ya jioni ila hakikisha amevaa maski ya mbwa mdomoni ili asiwadhuru watu njiani. otherwise mtafutie jike.

Kama huna muda wa kumfanyia hivyo mtambulishe kwa mtu mwingine amsoee kwanza ndipo amfanyie hivyo.

Mwisho ukishindwa hayo yote mgawe kwa wanaoweza kuishi nae.

Kama mbwa sio mgonjwa Ukali wa mbwa ni kwa adui/mgeni tuu baaaas.
 
Maskini, mbwa/paka wa Afrika hajawahi kupata stahiki zake kama ipasavyo.

Mbwa na paka (Pets) wa Ulaya wanaishi kwa kuthaminiwa mnooo hadi hujipumzisha kwenye kitanda cha bosi wao.

Ni kawaida mbwa kukaa siti ya mbele ya gari pamoja na bosi wake akishangalia mandhari ya nje (barabarani) kupitia kioo cha mbele cha gari.

Ktk matembezi, huku mbwa akiwa kafungwa ukamba maalumu mororo madhubuti ambao uko free kuvutika (kuongezeka urefu, sio mnyororo) ili kumpa uhuru mbwa, mbwa akiwa ananusa kitu fulani kwenye ardhi au majani bosi wake hamkokoti (kumlazimisha kuondoka) bali huwa akisimama kwa muda akimpa nafasi mbwa afanye analohitaji kufanya (mbwa atimize utashi wake). Mpaka mbwa anaporidhika ndio bosi huendelea na safari yake. Na mbwa aweza fanya hivyo mara kadhaa na wala bosi hakasiriki.

Mbwa ana msosi maalumu wa nguvu, sio mafupa fupa na dona.

Mbwa na paka wana madaktari na afya zao zafatiliwa.

Paka akipotea, mzungu anabandika matangazo kutoa taarifa atakae muona paka huyo awasiliane nae (bosi huyo) kwa simu (namba zake katia kwenye tangazo).

Sasa huku kwetu (Afrika) mbali ya kutompatia stahiki mbwa kama inavyotakikana kufanyiwa wanyama jamii ya Pets, tunapanga hujuma ya kumtandika risasi.

Pole sana mbwa kwa kuzaliwa au kuishi Afrika.
 
Dalili za mbwa mwenye rebies
1.anakua mkali pasipo sabab
2.anapungua/anakonda
3.akibweka anatokwa mapovu

Ukiona dalil hzo ujue tayar...
Mbwa wangu alipataga hiz dalil..mim binafsi nilishindwa muua..manaa ni mbwa wangu walikua mapacha.wazur sana...niliendaga mtokomeza msitu wa makongo kule...roho yangu ilishindwa muua
Sijaelewa mbwa mapacha. Kawaida mbwa huzaa vitoto vingi, au una maana uliwatoa kwa mama mmoja ?
 
Maskini, mbwa/paka wa Afrika hajawahi kupata stahiki zake kama ipasavyo.

Mbwa na paka (Pets) wa Ulaya wanaishi kwa kuthaminiwa mnooo hadi hujipumzisha kwenye kitanda cha bosi wao.

Ni kawaida mbwa kukaa siti ya mbele ya gari pamoja na bosi wake akishangalia mandhari ya nje (barabarani) kupitia kioo cha mbele cha gari.

Ktk matembezi, huku mbwa akiwa kafungwa ukamba maalumu mororo madhubuti ambao uko free kuvutika (kuongezeka urefu, sio mnyororo) ili kumpa uhuru mbwa, mbwa akiwa ananusa kitu fulani kwenye ardhi au majani bosi wake hamkokoti (kumlazimisha kuondoka) bali huwa akisimama kwa muda akimpa nafasi mbwa afanye analohitaji kufanya (mbwa atimize utashi wake). Mpaka mbwa anaporidhika ndio bosi huendelea na safari yake. Na mbwa aweza fanya hivyo mara kadhaa na wala bosi hakasiriki.

Mbwa ana msosi maalumu wa nguvu, sio mafupa fupa na dona.

Mbwa na paka wana madaktari na afya zao zafatiliwa.

Paka akipotea, mzungu anabandika matangazo kutoa taarifa atakae muona paka huyo awasiliane nae (bosi huyo) kwa simu (namba zake katia kwenye tangazo).

Sasa huku kwetu (Afrika) mbali ya kutompatia stahiki mbwa kama inavyotakikana kufanyiwa wanyama jamii ya Pets, tunapanga hujuma ya kumtandika risasi.

Pole sana mbwa kwa kuzaliwa aubkuishi Afrika.
Bima ya afya shida, sembuse kwa mbwa? Au mwenzetu upo uchumi wa kati?
 
Roho mbaya inakusumbua umuue ili iweje?
Hafu nyie wenye nyumba kukaa na wapangaji huwa mna gubu Sana.
Huyo mbwa Hana shida ana tatizo la kisaikolojia inatakiwa umtaftie mtaalamu na huku. Bongo sidhani Kama wapo
Kwa nini unamini hawapo labda?
 
Naomba ushauri mbwa wangu anakuwa mkali bila sababu anabwekea wapangaji nahisi nitapata kesi kwa ukali wake nyumba yangu haijawahi kuibiwa ila Sasa ukali wake ni too much.

Nimempiga zile sindano tatu wapi bado hakomi (ant rabis) nyumba yangu ni kubwa inawapangaji wengi naogopa siku akikata mnyororo atakula watoto wawatu.

Anachoniudhi Sasa ananibwekea hata Mimi hii inanipandisha hasira mbaya zaidi nasikia mbwa Hali sumu hivyo napanga kumchapa chuma.

Naomba ushauri.

Superbug.
Hajatafuna majani ya bange kweli? Huwa wanarandukaga balaa wakila mmea
 
Naomba ushauri mbwa wangu anakuwa mkali bila sababu anabwekea wapangaji nahisi nitapata kesi kwa ukali wake nyumba yangu haijawahi kuibiwa ila Sasa ukali wake ni too much.

Nimempiga zile sindano tatu wapi bado hakomi (ant rabis) nyumba yangu ni kubwa inawapangaji wengi naogopa siku akikata mnyororo atakula watoto wawatu.

Anachoniudhi Sasa ananibwekea hata Mimi hii inanipandisha hasira mbaya zaidi nasikia mbwa Hali sumu hivyo napanga kumchapa chuma.

Naomba ushauri.

Superbug.
Watakufanya kama walivyomfanya Kingunge.

Sent from my ONE A2001 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom