Mbwa Mwitu anapoanikiwa nyama bila jasho

Sawa, lakini tatizo ni pale mtu anapojenga darasa moja na kusema katumia milioni 200. Je, kweli voda wametumia kiasi hicho kama corporate social responsibility au kiasi sahihi ni just a fraction of it. Najaribu kuchanganua jinsi USD 450,000 zinavyoweza kutumika kutunza mbwa mwitu 11 kwa miaka mitatu naona hesabu hazikubali.Nafananisha na darasa la milioni 200 la matofali ya kuchoma...

Hilo la kujenga darasa moja na kuonyesha matumizi makubwa ni jambo ambalo sikubaliani nalo.

Makampuni na wafanya biashara ukwepaji wa kodi wa aina hiyo ni wa kawaida na hata serikali yenye inajua na inafanya hivyo mara nyingi kumaliza pesa zote zilizotengwa katika bajeto zosirudishwa hazina.

Kwa taarifa yako
ZeMarcopolo mimeshafanya mara nyingi tu hivyo nchini nchini na wengi wanafanya hivyo. Nikafikiri ni ujanja wa wabongo, nilipokuwa nje taifa moja kubwa nilipokuwa nafanya kajibiashara kangu nikaona waofisa wa revenue wakinifundisha namna ya kupunguza profit kwa kufanya purchase kubwa kipindi ninapokaribia kulipa kodi ili net profit isichajiwe. Kwa mwendo huo walikuwa wananifungua akili zaidi namna yakucheza na figure kitaalamu ili net profit yangu isiishie serikalini. Waliniambia indiviual small business si kama makampuni makubwa ambayo according the chamber of commerce wana accumulation ya profit kubwa ambayo haiwezi kuathiriwa, na hata kama wanapata loss wana advantage zaidi katika kupata package ya kuimarisha biashara kwa mkopo kuliko individual ambao hawana rasilimali za kuwasimamia kupata mikopo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom