Mbwa mwenye sura mbaya zaidi duniani afariki | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbwa mwenye sura mbaya zaidi duniani afariki

Discussion in 'Jamii Photos' started by MziziMkavu, Jun 7, 2010.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Jun 7, 2010
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,608
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
  Miss Ellie akiwa katika pozi baada ya kupata tuzo ya “Mbwa mwenye sura mbaya zaidi duniani”
  MISS ELLIE, mbwa mdogo wa Kichina mwenye manyoya kiasi na mwenye kupendelea kutoa ulimi wake mrefu ambaye alishinda mpambano wa Sayari ya Wanyama katika kutafuta “Mbwa mwenye sura mbaya zaidi”, amefariki akiwa na umri wa miaka 17 huko Tennessee, Marekani.
  Ellie ambaye alikuwa akitumiwa katika maonyesho mbalimbali alikuwa pia akitumika katika matangazo mbalimbali ambapo kwa kipindi cha miaka mingi, alisaidia katika kupatikana kwa zaidi ya dola 100,000 kwa ajili ya misaada ya kibinadamu.Maiti ya mbwa huyo itachomwa moto.


  Mbwambayakulikowoteafariki.jpg
   
Loading...