Mbwa mwenye cheo cha juu cha kijeshi

Ben Zen Tarot

JF-Expert Member
Dec 13, 2014
2,159
2,000
Huko nchini thailand.familia ya kifalme ambaye prince Maha Vajiralongkorn huyo alikuwa na mbwa wa kutembea naye. Mbwa huyo kwa jina Fufu ambaye alikuwa na cheo

Cha Air chief Marshal ambavyo vyeo hivi ni vya juu vya kijeshi kwa mambo ya anga. Sasa sijui mbwa alikuwa rubani .
Alizaliwa mwaka 1997 na kufariki 2015.

Kambwa haka kalijiona katawala na kalikuwa kana pokea heshima zote kama bosi wake. Na kanaweza kukuzingua hata kukupeleka jela. Kalikuwa na bajeti na kulindwa na nyumba nzuri ambayo sawa na matajiri wakubwa.

Yaani kuna mda unaweza kusema utawala ni tatizo la akili mda mwengine.


FB_IMG_1626200472475.jpg
 

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
13,474
2,000
Mmmh chai ya tangawizi na mchaichai isiyo na majani....kivipi ka dog kakufunge jela aah kudadeki bongo Hapa tunapenda kuchukuliana wote Ni mitambo
 

kizaizai

JF-Expert Member
Mar 31, 2010
4,238
2,000

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom