Mbwa ananyonya maziwa GRADE A

peace2007

JF-Expert Member
Oct 9, 2007
212
81
Naomba dada zangu wa kibongo msiige hii, Baba na mtoto tunategemea hako kanyonyo...akipewa mbwa tena tushee Khaaaa!

Last edited by a moderator:
Aisee, Aisee, Aisee......vichwa vyetu na cultures zetu viko tofauti sana kwa kweli! Yaani hapo tena atampa mtoto anyonye.....la haula lakwata!
 
Aisee, Aisee, Aisee......vichwa vyetu na cultures zetu viko tofauti sana kwa kweli! Yaani hapo tena atampa mtoto anyonye.....la haula lakwata!

Hivi mtu anaanzaje kufikiria kumweka mbwa kwenye nyonyo????
 
Back
Top Bottom