Sterling kwnye picha la UKIMWI lazima afe tu.Tatizo ni mama mwenye nyumba alipowasikiliza wezi bila kujua kama wale ni wezi na kushilikiana kumuangamiza yule mbwa. Ila ile ni filamu inachezwa sema tu mbwa sasa hivi yuko kwenye kipindi kigumu. Ukumbuke mbwa ndo stering.,...
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Watu hawajui kama ile ni fimamu tuManeno mazito sana umeandika
Mbwa Hana akili wala utashi asamehe ila Kama ni mfano wakumhusu binadamu mwenye akili then ni wa kumuua
Nimejifunza kuwa sabaya ni jambazi tu ila kuna mandezi wanamtetea. Acha mahakama ifanye kazi yake.TUJIFUNZE KIDOGO HAPA KUHUSU HUYU MBWA
(Jeremiah kipoya)
Mwenye nyumba aliamua kufuga mbwa ili amsaidie kulinda mali zake nyumbani hasa nyakati za usiku
Akamfundisha yule mbwa kulinda nyumba na mbwa akawa mkali kweli yani ana bweka hata ukisogelea tu uzio wa nyumba anayolinda
Mwenye nyumba akampenda sana yule mbwa kwakua alikuwa anafanya kazi aliyo mfundisha pia wana familia wa nyumba hiyo walifurahi pia kwa utendaji wa yule mbwa
Majirani na wezi walimchukia sana yule mbwa kwakua kubweka kwake wao waliona ni kelele usiku anawasumbua wezi nao wakaona anawakosesha fursa ya kuiba mali za mwenye nyumba
Siku moja mwenye nyumba alifariki na hapo mambo yakaanza kuwa magumu kwa yule mbwa, Majirani na wezi walisema atakoma aliyemfuga na kumpa chakula kashaondoka sasa ngoja tumnyooshe huyu mbwa.Mbaya zaidi hata wanafamilia wa hiyo nyumba anayoilinda nao wakaanza kumuona huyo mbwa ni kero anawapigia kelele usiku na amezidi ukali na ukorofi
Wanafamilia wakajadili wamfanye nini huyo mbwa? Wamtupe mitaani? Wamuue? Wakaona hapana ni bora wamng'oe meno na kucha kwakua hata kuwa tena na nguvu ya kung'ata, atakuwa mnyonge na mwenye msongo wa mawazo yani hata kuwa na maana tena na hata piga kelele za kubweka
majirani na wezi wakafurahi sana kwakuwa kazi ya kumkomesha huyo mbwa imefanywa na wanafamilia wenyewe
Je nani wa kumtetea mbwa? Watu wote wamemgeukia?Amepewa hukumu nzito kwa kufanya kazi aliyo fundisha na aliye mnunua na kumfuga je tumlaumu marehemu mwenye nyumba?
UMEJIFUNZA NINI KWENYE HIKI KISA??
Jeremiah Kipoya
Mbwa atupwe mtaani tumpasue