Mbwa aitwae Ping Pong wa Thailand amegeuka shujaa nchini humo baada ya kumuokoa Mtoto mchanga

Kichwa Kichafu

JF-Expert Member
Apr 13, 2017
44,560
188,751
Mbwa aitwae Ping Pong wa Thailand amegeuka shujaa nchini humo baada ya kumuokoa Mtoto mchanga aliyekuwa amezikwa hai na Mama yake mwenye umri wa miaka 15, inaelezwa Mama huyo alifanya hivyo kwa kuogopa Wazazi wake wangejua kuwa alikuwa mjamzito
millardayo.jpeg
 
Back
Top Bottom