CHUAKACHARA
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 12,358
- 6,422
Wapendwa kwa nia nzuri naomba kuwajua hao watu wawili hapo juu. Nawapenda wanavyotoa picha za kuburudisha na kuelimisha. I do enjoy them very much! Najua humu JF kila mmoja has to remain at large INCOGNITO!!!!!!!!!!!!!!!!