Mbuzimzee na mzizi mkavu

CHUAKACHARA

JF-Expert Member
Jun 3, 2011
12,358
6,422
Wapendwa kwa nia nzuri naomba kuwajua hao watu wawili hapo juu. Nawapenda wanavyotoa picha za kuburudisha na kuelimisha. I do enjoy them very much! Najua humu JF kila mmoja has to remain at large INCOGNITO!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Mmmmm, umemsahau kaka yangu BujiBuji, naye huwa analeta picha murua!!! Mbona mimi umenisahau jamani kunisifia!!!
 
Wapendwa kwa nia nzuri naomba kuwajua hao watu wawili hapo juu. Nawapenda wanavyotoa picha za kuburudisha na kuelimisha. I do enjoy them very much! Najua humu JF kila mmoja has to remain at large INCOGNITO!!!!!!!!!!!!!!!!

Thanks for the complements. It is always pleasure to save you.
 
Wapendwa kwa nia nzuri naomba kuwajua hao watu wawili hapo juu. Nawapenda wanavyotoa picha za kuburudisha na kuelimisha. I do enjoy them very much! Najua humu JF kila mmoja has to remain at large INCOGNITO!!!!!!!!!!!!!!!!

Asante sana mkuu kwa complement kwa watu ambao wanatumia muda wao kuipa JF habari. There are so many of them, umeweza kutaja hawa kina Mbuzi Mzee na Mzizi Mkavu. Ila pia kuna wale ambao wanatupa social media hapa hasa za maisha kama kina Lara 1 na wengine. Receive our tributes GUYS.
 
Kweli kabisa nimeanzana hawa, kuna akina mwanakijiji wote nawapongeza ku ku-devote their precious time kutuhabarisha. I love them all!!!
 
Wapendwa kwa nia nzuri naomba kuwajua hao watu wawili hapo juu. Nawapenda wanavyotoa picha za kuburudisha na kuelimisha. I do enjoy them very much! Najua humu JF kila mmoja has to remain at large INCOGNITO!!!!!!!!!!!!!!!!
Mbuzi Mzee na Mzizi Mkavu, shukran kwa kulichangamsha jamvi
 
Back
Top Bottom