Mbuzi wanaopanda kwenye Miti Huko Moroco

Inanambo

JF-Expert Member
Jun 26, 2011
3,976
2,755
Before you jump to conclusions: no, these were not created by a bored geek in Photoshop. Amazingly, these uncanny animals are actually real: they climb the Argan trees of Morocco in search of food, which is otherwise sparse in the region. Over time they have become not only able to climb trees but downright adept at the art – the traipse across trees with a sure-footedness that is hard to imagine from a hoofed animal


Known as skilled navigators of treacherous mountain conditions, maybe it isn’t such a surprise after all to find goats making their way up the steep and narrow trunks and branches of only slightly more dangerous trees. Unfortunately, the Argan tree is slowly being over-harvested so you may have to hurry to see the real thing. Still not sure you believe the images of goats climbing trees up to heights of 30 feet? There is nothing quite like a video to convince even the most cynical skeptics:
MBUZI 6.jpg

Haya wanaJamvi msije kusema ni Duka Picha. Jamaa wameshajieleza. Nimekosa video yake ningewatumia. Haya yote ni katika kuperuzi kule na huku tuweze kupeana habari.

View attachment 38173 5813244792-8f7770eb08-b_182901.jpg 5373357625-0c8a2e0a01-b_182854.jpg GOAT TREE.jpg GOAT 9.jpg

Note that instead of the careful climbing one might expect these brave goats simply hop from one cluster of branches to another in search of food. In the middle of the video you can even see a younger goat run down the almost vertical slope of the tree before hopping lightly onto the ground below – followed shortly after by another that simply jumps from a higher set of branches to land on its feet
 

Attachments

  • MBUZI 7.jpg
    MBUZI 7.jpg
    77.5 KB · Views: 68
Kama ndivyo hivyo, basi huu ni uthibitisho wa evolution, wanyama wanabadilika tabia kulingana na hali ya mazingira.
 
Kama ndivyo hivyo, basi huu ni uthibitisho wa evolution, wanyama wanabadilika tabia kulingana na hali ya mazingira.

Kwa hiyo wewe ulikuwa sokwe zamani? na hao masokwe wa sasa walikuwa kina nani?
 
attachment.php


Mbuzi ni kawaida yao, labda ungeniambia nguruwe, ng'ombe nk. Wepesi wa mbuzi na balance ya kupanda miti iliyo horizontal ni kitu cha kawaida, ila hawezi kupanda mti uliosimama vertical. Kwa asiyeweza elewa ajaribu kuwatembelea wafugaji wa mbuzi hutakuta wakishangaa kwa hilo. Mwenyewe nimeshuhudia kitu hicho kwa macho yangu, labda wanaoshangaa wameishia born city na hawana haja ya kutembea bush kuna nini kinaendelea.

attachment.php


Pamoja na utundu alionao mbuzi, katika picha hizi kuna jambo la kujifunza kwamba baadhi ya picha zimechakachuliwa kwa photoshop. Mbuzi ana uwezo wa kupanda mti ulilala kitogo horizontal, na anaweka kusimama kwenye gome kama wanyama wengine jamii ya paka wafanyavyo. Katu hawezi kupanda mti uliosimama vertical kama wafanyavyo wanyama jamii ya paka kwa vile mbuzi ana kwazo, hata wanabayologia wanaweza tetea ukweli huo.

Picha nyingine hapa ni more exaggerated, tuweni waangalifu katika kuzitafsiri pic hapa.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom