Mbuzi wa Ajabu

Sumbalawinyo

JF-Expert Member
Sep 22, 2009
1,282
247
Mbuzi unaowaona pichani hupatikana nchini MOROCCO, inasemekana ni kawaida kuwaona mbuzi wakiwa wamepanda juu ya vichaka na miti midogo ni kwa sababu wanafuata matunda yajulikanayo kama ARGO, kutokana na kuyapenda sana matunda hayo basi mbuzi hao hudandia juu ya matawi ya vichaka ili kupata matunda hayo.


1265628181_mbuzi_wa_commoro1.jpg


 
Ukichelewa kufa utaona mengi,sasa hao mbuzi kule juu ya mti wanashuka vipi?
 
watashuka kama walivyopanda au?
banaee, ukiona kobe juu ya mti ujue kapandishwa!!! hapo chacha!
 
Ukichelewa kufa utaona mengi,sasa hao mbuzi kule juu ya mti wanashuka vipi?


Logic kaka wewe inakuwaje?kama wameweza kupanda itakuwaje washindwe kushuka,hata wakidondoka tu ni usafiri tosha kufika chini mzee...Kupanda ni kazi zaidi ya kushuka mi nadhani hivyo...
 
I can't rule out the power of fotoshop. Mboni kwenye picha ya kwanza hapo sikioni kivuli cha huyo mbuzi?? Ati nyie mwakiona?
 
Back
Top Bottom