upendodaima
JF-Expert Member
- May 23, 2013
- 4,072
- 4,482
Ninachokijua kuhusu mbuzi ni kwamba wana KIBURI.
Pole sana asee ungekuwa karibu ningekuadress kwa jamaa mmoja kiboko ya wezi.... Anatega tego kwenye eneo lako mwizi akifika tu anachezea fimbo kuanzia hapo mpaka atakaponasuliwa na mtegaji... Gharama ni buku 15 tu na kuku mmoja....Mie walisepa juzi na kuku 23 majogoo. Najipanga mkamuone mshana akiwa kazini
asante sana kakapole
upo maeneo gani??Pole sana asee ungekuwa karibu ningekuadress kwa jamaa mmoja kiboko ya wezi.... Anatega tego kwenye eneo lako mwizi akifika tu anachezea fimbo kuanzia hapo mpaka atakaponasuliwa na mtegaji... Gharama ni buku 15 tu na kuku mmoja....
Huyo mwizi akinasa ndiye atakaelipa gharama za mtegaji
nahitaji sana huo msaadaPole sana asee ungekuwa karibu ningekuadress kwa jamaa mmoja kiboko ya wezi.... Anatega tego kwenye eneo lako mwizi akifika tu anachezea fimbo kuanzia hapo mpaka atakaponasuliwa na mtegaji... Gharama ni buku 15 tu na kuku mmoja....
Huyo mwizi akinasa ndiye atakaelipa gharama za mtegaji
Nanjirinjiupo maeneo gani??
ulikuwa hujajipanga kwenye kuku,mm ninao 1000 na zaidi kufa wanakufa na bado napata faida,mbuz wako vizur,chamsingi ujipange faida ni ndogo kuliko kuku mkuuu ujipange na watalaam wa mifugo,kumbuka hakuna kaz rahisi hapa dunianiTatizo la kuku ni wezi tu kudadeki, wasenge wanaweza wakahamisha banda zima na asiwepo hata kuku mmoja wa kupiga kelele.
Mkuu nami namuhitaji huyo jamaa, nitampataje?Pole sana asee ungekuwa karibu ningekuadress kwa jamaa mmoja kiboko ya wezi.... Anatega tego kwenye eneo lako mwizi akifika tu anachezea fimbo kuanzia hapo mpaka atakaponasuliwa na mtegaji... Gharama ni buku 15 tu na kuku mmoja....
Huyo mwizi akinasa ndiye atakaelipa gharama za mtegaji
pole
Sasa kiongozi mitetea kumi tu unapagawa? hao mbuzi utawaweza? Ask your self what were the failuresWakuu baada ya kutafakari mda mrefu Mara baada ya kufiwa na makuku yangu matetea 10 licha ya kuwapa madawa nimepata wazo la mbuzi.... Vipi wazoefu wa mfugo huu
DuhMkuu nami namuhitaji huyo jamaa, nitampataje?
Kitu chochote chenye low risk kina faida ndogo. Ni kama kwenye soko la hisa zile kampuni ambazo zinakuwa na high risk zinatoa gawio (divident) kubwaHow?
Ninachokijua kuhusu mbuzi ni kwamba wana KIBURI.
Inategemea na mazingira pamoja na sokoAiseee mbuzi ni afadhali kuliko kuku
ulikuwa hujajipanga kwenye kuku,mm ninao 1000 na zaidi kufa wanakufa na bado napata faida,mbuz wako vizur,chamsingi ujipange faida ni ndogo kuliko kuku mkuuu ujipange na watalaam wa mifugo,kumbuka hakuna kaz rahisi hapa duniani