Mbuzi VS kuku wataalam wa kuchambua risk za mifugo ipi ina risk na inaongoza Kwa kuingiza watu mkenge

Mbuzi kwy magonjwa wavumilivu kidogo kuliko kuku, ingawa shughuli ya ufugaji inahitaji umakini sana
 
ukitunza kwa kiwango cha juu kabisa kundi la mbuzi haliwezi kuongezeka zaidi ya mara 6 kwa mwaka kundi la kuku linaouwezo wa kuongezeka mara +100.
 
Kuna changamoto ya wizi wa mifugo Hii miwili. Namaanisha MBUZI na KUKU.
Lakini, Ni mala chache sana Kusikia Wizi wa KITIMOTO (NGURUWE) aka NOAH.
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom