Mbuzi ni mbuzi hawezi kuwa Simba ndio maana wengi wameshindwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbuzi ni mbuzi hawezi kuwa Simba ndio maana wengi wameshindwa

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Vaislay, Aug 24, 2011.

1. Vaislay

Vaislay JF-Expert Member

#1
Aug 24, 2011
Joined: Jun 26, 2011
Messages: 4,512
Likes Received: 36
Trophy Points: 145
Jaman,kukupenda kote na umaskini na shida ulizonazo,nikagombana na ndugu zangu,nikavumilia yote,2kashiriki kwenye furaha.wote waliamini tunapendana tho sikuwah kukuamin lakin nilikpenda kweli.leo hii unanipa mateso,unanisaliti?nikufanyeje kulpiza muda wangu ulionipotezea?

2. Mtalingolo

Mtalingolo JF-Expert Member

#2
Aug 24, 2011
Joined: Aug 4, 2011
Messages: 2,188
Likes Received: 16
Trophy Points: 135

Nadhani unataka ufuate ule msemo wa "dawa ya MOTO ni MOTO", akati dawa ya moto ni maji,

3. Husninyo

Husninyo JF-Expert Member

#3
Aug 24, 2011
Joined: Oct 24, 2010
Messages: 23,814
Likes Received: 583
Trophy Points: 280

bora uninyonge

4. Eiyer

Eiyer JF-Expert Member

#4
Aug 24, 2011
Joined: Apr 17, 2011
Messages: 28,237
Likes Received: 3,650
Trophy Points: 280
Kumbe ulitaka something in return!Pole sana jifunze kupenda maana yake kisha ujue,halafu uonje raha ya maisha!

5. unlucky

unlucky JF-Expert Member

#5
Aug 24, 2011
Joined: Aug 9, 2011
Messages: 236
Likes Received: 19
Trophy Points: 35
pole dada kwa kweli mie pia yamenikuta hayo na mie pia hivyohivyo lakini mie bado nampenda na namvumilia mtu unayempenda huwezi kumlipizia au kumkomoa

6. AshaDii

AshaDii Platinum Member

#6
Aug 24, 2011
Joined: Apr 16, 2011
Messages: 16,247
Likes Received: 275
Trophy Points: 180
Hellow ... Hellow My love....
Hellow... Hellow my love...
Usiku silalii... Sina raha my beibe..
Umekwenda mbali... mbali na mii....

Wewe nilikupenda... Wewe ukanipenda...
itabaki umekwenda nilikokwenda...
Ona wimbo mzuri ninakwimbia...
Sikia beat ajali nibavopiga...

Ukweli nilikupeeenda... Wewee ukanipeeenda..
ikabaki umekwenda niliko kwenda...
Hellow ... Hellow My love....
Hellow... Hellow my love...

Ulofanya mi niyajue Mapenzi ni wewee...
Ulofanya nimchukia Mamangu ni wewee
Mbona sasa umenitupa, mbona sasa umenitenga My Love...'
Mbona sasa umenitupa, mbona sasa umenitenga My Love...

Najiuliza Mengi... Labda siyajui Mapenzi...

Dedication kwako toka kwa Ney...

7. Albedo

Albedo JF-Expert Member

#7
Aug 24, 2011
Joined: Feb 24, 2008
Messages: 5,566
Likes Received: 19
Trophy Points: 135
Si Ulishatupa Pete Kwenye Shimo la Mavi au umeanza kujuta

8. Mpatanishi

Mpatanishi JF-Expert Member

#8
Aug 24, 2011
Joined: Jul 1, 2011
Messages: 1,709
Likes Received: 43
Trophy Points: 145
Duuh ADI umekuwa msanii?!

9. AshaDii

AshaDii Platinum Member

#9
Aug 24, 2011
Joined: Apr 16, 2011
Messages: 16,247
Likes Received: 275
Trophy Points: 180

ha ha ha... niliposoma post nikakumbuka huo wimbo... But sio msanii...

10. Mtalingolo

Mtalingolo JF-Expert Member

#10
Aug 24, 2011
Joined: Aug 4, 2011
Messages: 2,188
Likes Received: 16
Trophy Points: 135
Mapenzi bwana...

11. TIMING

TIMING JF-Expert Member

#11
Aug 24, 2011
Joined: Apr 12, 2008
Messages: 21,837
Likes Received: 125
Trophy Points: 160
aisee..........

some broken hearts bwana!!

12. First Born

First Born JF-Expert Member

#12
Aug 24, 2011
Joined: Jul 11, 2011
Messages: 5,313
Likes Received: 95
Trophy Points: 145
copy moja iliyotulia, hapa naamini hakuna aliesoma. Bali wamesoma huku wanaimba kama nilivofanya mimi!

13. Pdidy

Pdidy JF-Expert Member

#13
Aug 24, 2011
Joined: Nov 22, 2007
Messages: 33,061
Likes Received: 5,552
Trophy Points: 280
nakupa mji nenda iringa!!!!!!!!!!

14. Angel Msoffe

Angel Msoffe JF-Expert Member

#14
Aug 24, 2011
Joined: Jun 21, 2011
Messages: 6,797
Likes Received: 74
Trophy Points: 145

<br /he! umemfumania?

15. Vaislay

Vaislay JF-Expert Member

#15
Aug 24, 2011
Joined: Jun 26, 2011
Messages: 4,512
Likes Received: 36
Trophy Points: 145

acha kukariri weweee

16. Vaislay

Vaislay JF-Expert Member

#16
Aug 24, 2011
Joined: Jun 26, 2011
Messages: 4,512
Likes Received: 36
Trophy Points: 145

siku ikatokea nmefumania nauaa weeee

17. A

Ave Ave Maria JF-Expert Member

#17
Aug 25, 2011
Joined: Apr 22, 2011
Messages: 10,757
Likes Received: 33
Trophy Points: 0
Unaweza toa pendo lako kwa furaha, kumbe moyoni umejijazia karaha. Hutakiwi juta kwani katu hutojua, unaempenda yeye anakuzingua. Mwisho wa yote ikawa ni matatizo, yanayopelekea kuwa na mengi mawazo!!

18. mikatabafeki

mikatabafeki JF-Expert Member

#18
Aug 25, 2011
Joined: Dec 29, 2010
Messages: 12,837
Likes Received: 2,101
Trophy Points: 280
ua na ujiue

19. BlackBerry

BlackBerry JF-Expert Member

#19
Aug 25, 2011
Joined: Mar 22, 2011
Messages: 1,844
Likes Received: 6
Trophy Points: 0
ushaambiwa hapa hakuna kupotezewa muda, mmepotezeana wote

20. Tulizo

Tulizo JF-Expert Member

#20
Aug 25, 2011
Joined: Jun 13, 2011
Messages: 849
Likes Received: 21
Trophy Points: 35
Bob Marley " Who the cap fits, let him wear it" -

Kama ameshindwa kuishi nawe..usife moyo..mwache aende akaishi na akatayemuweza..make your life simple..yaani anza kivyako na sahau yaliyopita..

Easy: Yaliyopita si ndwele na tugange yajapo..

Loading...